Anawezaje kumuacha msichana mzuri kama yule?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Swali la kipumbavu kuwahi kutokea, inashangaza kijana ambaye ana miaka zaidi ya kumi tangu abalehe bado anauliza swali kama hili.

Siji inakuwaje tunashindwa kung'amua kuwa mahusiano ni zaidi ya sura na urembo. Achilia mbali mke, ambae anahitaji sifa za ziada kuliko urembo unaoshadadiwa na wengi, mahusiano ya kawaida yana mengi ya kufanya.

Nimekutana na watu wazima, ambao wanaweza kuoa leo au kesho, wanauliza swali kama hili.
 
kwa mke unatakiwa kuwa na sifa za ziada...

vp hao wasio na hizo sifa wataolewa na nani?
 
hahaaa wamuulize Jay Z hana hamu na Beyonce.....anasubiri tuor iishe now atoe talaka official
'ndoa si kitu rahisi'......sometimes uzuri ndo unawapa viburi.....kuna nyimbo ya Beyonce allimba ' i can replace you in a minute'.......unaweza ona mentality za mke hapo zilivyo
 
Mkuu upo wewe!!

Watu wa aina hiyo huwa ni wavivu wa kufikiri kwa kina.....wanadhani mtu unaishi na uzuri wa mtu.....hahahaha
Nasema iviii mtu haishi na uzur wa mtu Bali mtu mwenyewe....
 
hahaaa wamuulize Jay Z hana hamu na Beyonce.....anasubiri tuor iishe now atoe talaka official
'ndoa si kitu rahisi'......sometimes uzuri ndo unawapa viburi.....kuna nyimbo ya Beyonce allimba ' i can replace you in a minute'.......unaweza ona mentality za mke hapo zilivyo
hyo ni lyric tu mkuu,hvi kati ya bey na jigga nan ana tabia mbofu zaidi,of all female celebrities bey ni mtulivu sanaaaa hana scandals,enewei Cwezi jua their life in details to conclude anything
 
Hizo lyrics zina reflects mtu anavyo jitazama pia
ndo maana zipo nyimbo akiimba watu wanajua anazungumzia ndoa yake...

Hata kama Jay Z ana mapungufu...Beyonce na Mama yake na dada yake wana tabia ya kujifanya
'perfect mno' na hawasamehi mtu...refer tu Baba yake walivyo mtenga...'ndoa haziendeshwi hivyo'

'ndoa ni kuvumiliana mno,ndo zote hata uwe Beyonce
 
hahahahahah nimekutafuta kote nikujuako mimi nikakukosa, PM nako nikijaribu kuku PM naambiwa nimezuiliwa teh teh, huwa mie sivaagi khanga na vaaga msuli teh teh!
umenitafutia wapi ukani kosa?
mwanamke unatakiwa uje pm na khanga moja kuniulizia bana..ha haa
si siku hizi mwanamke anaweza? we mbona umezubaa?
 
hahahahahah nimekutafuta kote nikujuako mimi nikakukosa, PM nako nikijaribu kuku PM naambiwa nimezuiliwa teh teh, huwa mie sivaagi khanga na vaaga msuli teh teh!

ha haaa basi wewe wafaa....mwanamke avae msuli bila kitu ndani ..ndo patamu...
 
hahaaa wamuulize Jay Z hana hamu na Beyonce.....anasubiri tuor iishe now atoe talaka official
'ndoa si kitu rahisi'......sometimes uzuri ndo unawapa viburi.....kuna nyimbo ya Beyonce allimba ' i can replace you in a minute'.......unaweza ona mentality za mke hapo zilivyo

Kuna tetesi kuwa eti Bey ana bad breath!
 
kwa mke unatakiwa kuwa na sifa za ziada...

vp hao wasio na hizo sifa wataolewa na nani?

Wasio na sifa wanatakiwa wazijenge, character hujengwa, sio kitu cha kuzaliwa nacho. Lakini kama alivyosema The Boss uvumilivu ndio kila kitu hata uwe nani, ndoa ni sadaka ambayo warembo saana hawako tayari kuitoa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom