Anawezaje kumuacha msichana mzuri kama yule?

Anawezaje kumuacha msichana mzuri kama yule?

Aaah poti, hata walioolewa wanagegedwa bwana, tena nasikia kila siku.

mke hagegedwe wewe.....mke anapewa haki yake. wewe kimada anaweza kwenda kwa wakubwa na kusema kuwa oh jamaa hanigegedi? lakini mke anaweza na ana haki ya kwenda kwa wazee na kusema kuwa hubby hanipi haki yangu
 
Hizo lyrics zina reflects mtu anavyo jitazama pia
ndo maana zipo nyimbo akiimba watu wanajua anazungumzia ndoa yake...

Hata kama Jay Z ana mapungufu...Beyonce na Mama yake na dada yake wana tabia ya kujifanya
'perfect mno' na hawasamehi mtu...refer tu Baba yake walivyo mtenga...'ndoa haziendeshwi hivyo'

'ndoa ni kuvumiliana mno,ndo zote hata uwe Beyonce

Alaf cha kushangaza ana scandal ya kuchepuka na Bodyguard wake sasa,, watu wengi huwa hawajui kama mahusiano hayana mtu perfect kwa 100%!
 
lot of cute girl think they should be treated like queen sheba! and worse enough they think they dont have to do anything in their relationship uzur wao tu unatosha ndio his part of the deal so mwananume has the remaining part care, begging, providing etc si rahisi ivyo wanashindwa elewa unakua extra special kabla cjakupata nkishakupata after a while naanza kukuona wa kawaida kama wanawake wengine uzur wako extra wanaanza uona wanaume wa nje tu!!!
 
Kuna tetesi kuwa eti Bey ana bad breath!
Nimesikia 50 CENT amesema hii kiutani...ha haaaa mimi nilimshangaa Bey kutoka na motto nywele ovyo ovyo hadi watu wakafanya 'public petition' ..dah niliona picha nikajiuliza huyo motto kama anapata malezi yanastahili
 
kuacha waliachana manabii itakuwa sisi viumbe dhaifu..???akizingua tupa kule....madada wapo wengi na wao ndo wanaozidi kuzaliwa day to day wanaume wenyewe wachache....!!!!sa we ng'ang'ania malaya ufe na gono
 
lot of cute girl think they should be treated like queen sheba! and worse enough they think they dont have to do anything in their relationship uzur wao tu unatosha ndio his part of the deal so mwananume has the remaining part care, begging, providing etc si rahisi ivyo wanashindwa elewa unakua extra special kabla cjakupata nkishakupata after a while naanza kukuona wa kawaida kama wanawake wengine uzur wako extra wanaanza uona wanaume wa nje tu!!!

tumia lugha yako ya taifa. Na wazungu nao hufanyaga hivi?
 
Hiyo kawaida mkuu, asilimia kubwa ya mademu wazuri hawajui maisha, sisi tuliodate mademu wakali sana na mademu wa kawaida tunaona..
 
mke mweeeeema anatoka kwa bwana

Tuache kukufuru, kuna watoto hawajala huko Gaza na wazazi wao wamekufa vitani. Mungu alishakupa utashi, hawezi kuacha mambo ya msingi akutafutie wewe mwanamke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom