Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

Kwanza kupata mwanaume Mfupi halafu mpole ni bahati kubwa sana, labda huyo mdogo wako ana jengine, ufupi sio sabab ya msingi au niulize mdogo wako ana umri gani?
 
Akiisha muacha pls niambie maana mmni 6'4 na nina mjeredi mrefu pia
Anipe nafasi na hatajuta ingawaje nina kazi dhaifu lkn hivyo hivyo tutakacho pata tutakula tukikosa tutalala
 
Akiisha muacha pls niambie maana mmni 6'4 na nina mjeredi mrefu pia
Anipe nafasi na hatajuta ingawaje nina kazi dhaifu lkn hivyo hivyo tutakacho pata tutakula tukikosa tutalala
Kwani huyo anayaogopa majogoo! Khe khe khe khe khe kheeeeeee!
 
Yani huwa sielewi hili likoje linapokuja suala la kimo,mm mwenyewe ni mhanga katika hilo licha ya kujiweka smart lkn kuna cku nilijsikia vbaya sana pale mpenzi wangu niliedumu nae almost 7yrs tulitibuana hakuliona tusi la kunifaa zaidi ya kuniita mbilikimo fof sure nliumia sana aliomba msamaha lkn hadi sasa psychologically nshaathirika huwa cpendi yule though ana mtoto wangu na nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani ila kwa hilo tu kanimaliza
Msamehe tu mkuu
 
Aaah, kama ni ubahili ni sawa kabisa. Nikadhani ufupi, ubahili siachi!!!

Hahaha...

Sidhani kama watani zangu nyie ni wabahili. Ni wachumi wazuri sana.

Mtani mmenifundisha nidhamu kwenye matumizi ya pesa.
 
Kama mtu amewahi kuangalia series moja inaitwa HAWAII FIVE 0, wapo jamaa wanne , wawili nadhani ni wajapan, afu kuna wazungu wawili ambao mmojawao ni shortie , sasa najiuliza huo ufupi unazungumziwa hapa ni sawa na wa huyu character wa hii series.
 
Kama mtu amewahi kuangalia series moja inaitwa HAWAII, wapo jamaa wanne , wawili nadhani ni wajapan, afu kuna wazungu wawili ambao mmojawao ni shortie , sasa najiuliza huo ufupi unazungumziwa hapa ni sawa na wa huyu character wa hii series.
Rafiki ake McGareth eeh hahah...jina limenitoka..
 
Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).

The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.

Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.

I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...

Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...

Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.

Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.

I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.

Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.

nauliza jamani is this right???

wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?

wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
kwa nini yeye ndo asijione tatizo kwa urefu wake?
 
Hahaha...

Sidhani kama watani zangu nyie ni wabahili. Ni wachumi wazuri sana.

Mtani mmenifundisha nidhamu kwenye matumizi ya pesa.
Umeona eeh mtani wangu, tukiwa wachumi na kwenda na bajeti twaitwa wabahili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom