DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,900
Ebu fafanua hapo mkuu hio dhambi inakujaje hapo ?Kuna kitu nakiona kwa mbaali kutokana na hiyo story... Kumbuka ni dhambi kuwa saana kumtenda mtu ambaye ni Innocent...
Ebu fafanua hapo mkuu hio dhambi inakujaje hapo ?Kuna kitu nakiona kwa mbaali kutokana na hiyo story... Kumbuka ni dhambi kuwa saana kumtenda mtu ambaye ni Innocent...
Wafupi nao wanataka warefukwani hakuna wanawake wafupi pia???
Licha ya upendo wa dhati wamejaliwa kimaumbile kunakoo kulee... Mtu uchague kipi important kwako,kufurahishwa ndani ama kuonekana couple nzuri nje...hupati complete package
eti ndan hupati full packageKwan ww huwezi mzidi baba yako urefu na bado unajisikia upo sehemu salama unapokuwa naeHahahhahaha,ss km miaka yote baba ni mrefu unafeel protected kivipi ukipata hubby mfupi.,mtihaniiii
Ww jibu swali mambo ya kunirudisha nyuma sipendi ujuesoma post no 6

Huu ni unyanyasaji wa kimaumbile.Usiombe upate mwanaume mfupi mwenye tabia za "kifupi"
Unajua ila unajifanya hujui.Hahahahahahahah sijui kwanini kila nkikikuta comment yako inanichekesha sn
Hahaaaa! Unaanza kumwambia tangulia nitakuja kumbe hautaki watu wakuone na andunje!Nakuelewa vizuri, me nikiwa na mtu mfupi, aisee itabidi tu ubaki na "I tap into this" lol. But mtu mwingine ni hayupo comfortable kabisa na mwanaume mfupi, kiasi kwamba inaaffect mahusiano yao. Hajisikii comfortable kuonekana naye, and sijui kama kuna kitu kinaumiza kama kuwa na partner who isn't proud of having you. Anakuwa sawa na mwanaume ambaye ana mwanamke mnene/ hana chura na hayupo comfortable naye, au ku-date na mwanaume asiye na hela teh.
But again as you said, mtu aangalie mwenyewe what's worth the compromise, kama anaweza chagua ufupi over other qualities he possess, basi ni sawa and usishangae pia height ikawa ni deal breaker
I agree with you.... when karma strike back ... ndio wanaanza kulaumu wanaume hiv wanaume vile...Namsikitikia sana huyo dada ...angalia karma itakavyomtafuna...amuache mkaka wa watu na anampenda kwa dhati ataumia,
Huyo dada ataenda kutafuta wa saizi yake kwa kimo, karma itakataa, wanaume wote watakaokuja watakua wafupi, ama anaaeza kupata mrefu, ama wa saiz yake kwa urefu, lakin wakazaa mtoto ambae atakua mfupi na watoto wao watakataliwa hivo hivo ...lakin yote ni maumivu ya kijana aliekupenda kwa dhati ukamuacha sababu ya ufupi ambao.ni uumbaji wa Mungu na Mungu alivomaliza uumbaji aliona kitu ni kizuri machoni pake kwaio pamoja na ufupi wake lakin ana uzuri wake
Vitu vingine tunajitafutia shida wenyewe.
Anashindwa kusema walikutana onlineMtoa mada unazingua, unajua ulichoandika namba 6?
It ain't . Inatokea majority ya watu wa group fulani kunafanana tabia fulani, (kwa mfano wasukuma na ushamba); So sijawanyanyasa. Hata warefu tuna tabia zetu mbaya za kufananana piaHuu ni unyanyasaji wa kimaumbile.
Kabamia??Inawezekana isiwe ufup wa kimo tu inaweza Kua ufup wa mengne
Sijalielewa hilo honestly, maana kama mtu hapendi mfupi kweli, akitokea tu mfupi ni anakataliwa instantly. Labda kuna vitu havipo ok akaona atumie excuse ya kuwa he is short ili amuache. (They fell in love even before they met, umenielewa eeeh teh)Hahaaaa! Unaanza kumwambia tangulia nitakuja kumbe hautaki watu wakuone na andunje!
Ila inakuwaje watu mnakubaliana hadi mnaanzisha mahusiano then baadae unaanza kujiuliza, inamaana alikuwa mrefu then akawa mfupi ghafla!!
Au ndio ile unasikiliza mashosti ndio wanakuamulia!!