Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Hizo hela mrudishe
Mapenzi ya Facebook hayo mtu alikua anatuma pic passport sizWalimeet mitandaoni nin!? Inakuaje muda wote walikuwa poah tu hadi jamaa kuja Dsm ndio kujua mapungufu yke?! Km hamtaki basi amuache asimpotezee muda wakt kuna watu wengine huko wanamhangaikia wampate kifup wa watu
Mbona ulinikataa na ufupi wanguWanaume wafupi mara nyingi huwa wana mapenzi ya dhati, bi dada aangalie moyo wake na vipaumbele vyake tu ila baadae asijesema "ningejua".

Kama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!Hujamsoma vizuri? Jamaa alikuwa mkoa ndio kaja Dar kamgundua ni mfupi. So its obvious ni yale mambo yetu ya blind date halafu mnaanza kuitaba bae kabla ya kuonana mubashara na unawaambia marafiki shem wenu yuko mkoa/ulaya sasa akija ndio unagundua picha zinaeefusha,zinaremba,zinajaza misuli etc.
Mbona ulinikataa na ufupi wangu![]()
Kwa hiyo alipokuwa mkoa walikuwa hawajakutana?.the guy alikua mkoa na alivokuja dzm wamemeet mara mbili tu ya pili ndo kagundua ufupi,mara ya kwanza haku notice mana hatukukaa nae sana
Hahahahah no walifahamiana bado wadogoKama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!
Si alikuwa amekaa kwenye kitiKama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!


Nahus yup kweny ule umri wa miak 19-25 mdada huw na katabia kakuchagua bcz anajua bd analipa...mwache achague subir miak30 imkute hana aliyemwaminisha ndo ile slogan ya" ufupi is bothing when it comes to love utakapomuingia"na kutamani muda urudi nyuma!!! Kale kamsemo ka majuto ni mjukuu katakapokuwa na maana...ila kingine nachokiona ni kuwa anaamini atapata mtu mrefu kumzd yy mweny hyo caring kama y jamaa mfupi....Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).
The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.
Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.
I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...
Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...
Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.
Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.
I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.
Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.
nauliza jamani is this right???
wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?
wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Aaah, kama ni ubahili ni sawa kabisa. Nikadhani ufupi, ubahili siachi!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nilikukana sababu ya ubahiri sio ufupi, si ulisema hutoi pesa labda uwe umezimia then nikusachi mifukoni.
Ufupi unaanzia cm/ft ngapi?
Kwahiyo sasa hivi wamekua!!Hahahahah no walifahamiana bado wadogo
Hahaaaa!! Hivi mtu mfupi akikaa kwenye kiti anarefuka eeh!!Si alikuwa amekaa kwenye kiti![]()
Hebu acha ubishi basi jamani, acha hata kidogo.Aaah, kama ni ubahili ni sawa kabisa. Nikadhani ufupi, ubahili siachi!!!
