Anataka kumuacha kisa ufupi

warefu wengi ni wapole ndo wazuri, wafupi wabishi, wana maneno, wakorofi wanajiona wao ndio wao nadhani ule ufupi unawafanya kukosa kujiamini, wanahisi hawaonekani kwahiyo wanadhani wakiongea Sanaa ndo wanaonekana,
haha.. eti wanahisi hawaonekani..
ndio kusema wanajitutumua..
 
I hate much people who prefer code mixi g, cant you use one language to be understood and that is due to incompetance to both of the two languages
 
Nyinyi watu mbona hamuleweki?!! Mara mseme mnapenda warefu kwasababu ni warefu na kule....sasa leo tena unasema wafupi nao wamejaaliwa kule!!
Hahha warefu show-off nje mnapendezeana hatari, ndani sio wabaya sana ila kuzidiwa kimaumbile na wafupi ni fact... Atleast for what I have observed myself
 
Kwani wewe huna kigezo chako ?acheni habari zenu mkichagua nyie ni sawa ila tukichagua sie inakuwa tatizo. Huwezi kuwa na mtu mmesimama anakufikia kiunoni.
Umeua mkuu, kuna mdada alionesha kunipenda lakini ndo hivyo baada ya kuona ni mrefu zaidi yangu ikabidi nile kona.
 
Back
Top Bottom