Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

Nilikuwa na kademu kamoja Ni Kafupi ila kipindi tunaanza alikuwa model na nilikapenda sana but soon kakaanza kunenepa kamekuwa kama jaba nimekosa kabisa hamu nako...binafsi sipend mademu wanene...so its just the matter of choice
 
Nilikuwa na kademu kamoja Ni Kafupi ila kipindi tunaanza alikuwa model na nilikapenda sana but soon kakaanza kunenepa kamekuwa kama jaba nimekosa kabisa hamu nako...binafsi sipend mademu wanene...so its just the matter of choice
tabia mbaya hiyo
 
Kama nimemuelewa amesema walifahamiana then ndio akahamishwa kikazi, ila siku ya kwanza wanafahamiana hakumuangalia vizuri, sasa sijui ilikuwa gizani!!
Alisimama juu ya 'fat wallet'
 
kwa jinsi alivokua amekaa its vigumu kujua kama ni mfupi....af unafkr ni mfup sana basi...yani mabega yao yanapishana kidogo tu sema ndo hivyo
Utoto unamsumbua akikua ataacha. Refer post yangu ya kwanza....huu ni muda wake kuchagua kuna muda utafika atatamani yeyote hata huyo anaesema mfupi.
 
mwambie aje kwangu ani PM mi nimrefu kidogo sio mbilikimo, ila mimi bahili, napenda tukatambulishane kwa wazazi next week. nipe namba ya simu PM, niandae mahari kidogo, pia mimi nina tatizo hata huo ufupi ni afadhali, mi Nina kitambi kikubwa and am 31
Braza Itabidi ulipie tangazo
 
Mapenzi ya kweli hayaangalii ufupi wala urefu, mm mbona hubby wangu nimemzidi urefu Na bado tunapendana sna. Labda kama kapata mwanaume mwingine, wanawake tuwe makini unataka kumpoteza mwanaume anayempenda kwa dhati kisa ufupi???????

Atakuja juta huyo huyo mdada,,,,,!!!!!
 
Wanawake hamkosag visa
Mpatapo chombo kipya
 
Dawa ya girl yeyote yule, hakikisha kila mnapo kutana unamsugua mpaka anaenda nyumbani, K inawaka moto... Afu usiache kumpa ela, we mpe ela tu.... Hata kama kiwete haji kukuacha maishani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom