Usiwe na wasiwasiKwani huyo anayaogopa majogoo! Khe khe khe khe khe kheeeeeee!
Teh sawa nshomilehata kuwa ni vyema nikisema mimi
hilo huwa nawaachia wao, kuna mtu nilimwambiaga aliponiuliza kama wewe, akaanza ooh! wahaya tumeshawazoea
Ila wanyaki hamuishi vituko kuna wanamke jana nimeshuhudia kapiga tukio kama lile ulilonambiaga, ingawa sina uhakika sana kuna mtu alisema (in joke mode) kuwa yule mother ni mnyaki..haha..Teh sawa nshomile
Kuna research yoyote iliyofanyika kuthibitisha kwamba watu wafupi wana care wenza wao kuliko warefu ?basically wanaume wafupi wanauzuri wao hasa kwenye swala la kucare ni waoga sana kuachwa,,, ila cuzo wako inawezekana ni under 17 ila akifika kwenye 25 afu amechezewa vyakutosha atamtafuta huyo mfupi(kitonkololo) na iwe too late
VEEEEEEEERY RIGHTInawezekana isiwe ufup wa kimo tu inaweza Kua ufup wa mengne
Sisi sio watu wa sport sport, ukizingua unakula tu mabanziIla wanyaki hamuishi vituko kuna wanamke jana nimeshuhudia kapiga tukio kama lile ulilonambiaga, ingawa sina uhakika sana kuna mtu alisema (in joke mode) kuwa yule mother ni mnyaki..haha..
Jirani yetu, mpangaji mtaa wa pili.
Haaa,haaa, wachaga na pesa bn, ni shida tuupu! Kwa hiyo hata huo ufupi hautaujali cyo?Nipe namba ya shemeji yako umesema ana pesa?
hauna madharaHaaa,haaa, wachaga na pesa bn, ni shida tuupu! Kwa hiyo hata huo ufupi hautaujali cyo?
Ufupi unaanzia cm/ft ngapi?
Dah.. Unahangaika nini? Mwambie akupe weweyani...nshamshawishi hadi basi
