Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).

The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.

Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.

I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...

Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...

Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.

Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.

I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.

Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.

nauliza jamani is this right???

wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?

wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Ana kibamia?
 
b329edfa837cffcbcaaa746a45f079ec.jpg
 
sio adabu..and me simfeel...namuheshimu
Aaah! acha hizo bhana...

Au basi mshauri Cuzo ampe mbunye wakiwa wamesimama ili awe anachechemea kuifikia, automatically atarefuka tu refer Darwin's theory of evolution utaelewa how giraffe got his long neck.
 
silly you
 
Nina huyu cuzo wangu ana bwanake,the guy ana kazi nzuri tu,kapole,he is a gentleman,anampenda sana my cuzo like sana yani and all that(kwa mimi navomuona).

The problem ni kwamba cuzo angu anataka kuachana nae kisa the guy ni mfupi kuliko yeye.

Back then walikua wanapenda sana tu,my cuzo alikua haishi kumuongelea huyo bwana. Hapo the guy alkua mkoa mwingine kikazi.

I started noticing changes the guy alipokuja dzm,first time cuzo akaomba twende ote,basi tukameet...tuka have fun hivo...

Second time tena tumeenda kwa the guy anapoishi kumuona alikua anaumwa...

Sasa tumerud home my cuzo ananiambia eti anataka abreak up nae....kumuuliza why,anasema amejipimisha nae the guy ni mfupi kuliko yeye na familia yao nzima ndo wako hivo so hajisikii poa kumpita mwanaume urefu.

Me nikamwambia kama u love the guy kimo si chochote unless otherwise una mengine,akasema hana kingine zaid ya ufupi and she feels uncomfortable kua nae kwasaabu hiyo.

I pity the guy coz yani ni kapole,kahandsome tu sema ndo hivo kafupi kidogo plus tumeshakula hela zake kibao mpaka i feel guilty.

Basi the guy hua ananiuliza kama my cuzo truly loves him,kama pia humuongelea nikiwa nae...basi me naishia kumpa moyo tu.

nauliza jamani is this right???

wasichana mliowapita wanaume zenu urefu kwani mnapata shida yoyote?

wanaume mliopitwa urefu na wachumba zenu imekaaje hii???
Hii story yako ndio ina justify ule usemi wa kwamba huwezi mridhisha mwanamke daima.

Ni kiumbe chenye tamaa mno hasa ya vitu ambavyo havina kichwa wala mguu ilimradi tu hisia zimemtuma hivyo na huwa hawazi impact ya maamuzi yake binafsi kwa watu wengine.
 
Namsikitikia sana huyo dada ...angalia karma itakavyomtafuna...amuache mkaka wa watu na anampenda kwa dhati ataumia,
Huyo dada ataenda kutafuta wa saizi yake kwa kimo, karma itakataa, wanaume wote watakaokuja watakua wafupi, ama anaaeza kupata mrefu, ama wa saiz yake kwa urefu, lakin wakazaa mtoto ambae atakua mfupi na watoto wao watakataliwa hivo hivo ...lakin yote ni maumivu ya kijana aliekupenda kwa dhati ukamuacha sababu ya ufupi ambao.ni uumbaji wa Mungu na Mungu alivomaliza uumbaji aliona kitu ni kizuri machoni pake kwaio pamoja na ufupi wake lakin ana uzuri wake
Vitu vingine tunajitafutia shida wenyewe.
mkuu hata kama genetics ni za urefu...
 
Tall and Dark men.. are on high mandate, watakusumbua..LOL!

Tena huyu andunje akitemwa, apige magoti kumshukuru Mungu.
-nothing Good gets away
tall black...eeeeh...nahisi na mm nimo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom