Anataka kumuacha kisa ufupi

Anataka kumuacha kisa ufupi

Kwani huyo shem wako ana urefu kias gani?

Kuna dwarf na short na shortiii
 
Angeyajua matatizo ya wanaume warefu wala hata asinge tutafuta!! Naomba niwe mfano: mimi Ni mrefu tena kote so huwa nina ringa balaa! Maana kila demu anataka man mrefu so guess wat? Ni mwendo wa kumega na kupita tu sibembelezi mara mbili! Huyo rafiki ako akipata guy mrefu ajiandae nayeye kuachwa maana na man nae atataka demu mrefu or white/black cute zaidi yake! Mwambie aache ubwege Mume sio wa kuchagua Kama mshikaki labda Kama anataka mwanaume wa kuuzia sura hapo sawa
 
Hizo ndio athari za kutongozana kwenye mitandao ya kijamii. Labda jamaa alikua anatuma pics akiwa amekaa na mwanamke akampenda sana tu, ila baada ya kuonana ndo akajua kuwa kumbe jamaa ni mfupi kuliko yeye.
Maana unajiuliza, kama walikutana mahali ndio akatongozwa na kukubali huo ufupi hakuuona?
Wanawake mnaponzwa na machaguo.
 
Yani huwa sielewi hili likoje linapokuja suala la kimo,mm mwenyewe ni mhanga katika hilo licha ya kujiweka smart lkn kuna cku nilijsikia vbaya sana pale mpenzi wangu niliedumu nae almost 7yrs tulitibuana hakuliona tusi la kunifaa zaidi ya kuniita mbilikimo fof sure nliumia sana aliomba msamaha lkn hadi sasa psychologically nshaathirika huwa cpendi yule though ana mtoto wangu na nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani ila kwa hilo tu kanimaliza
 
aachane nae tu coz mwanaumea utakuwaje mfupi bhna alafua tambueni hiki kitu wanaume wenzangu hivi vitu ufupi,kibamia na kitambi is direct propotional vinaenda kkwa pamoja huwezi kuwa mfupi alafu huna kitambi wa kibamia so nafikili cuzo yupo sahihi
 
Yani huwa sielewi hili likoje linapokuja suala la kimo,mm mwenyewe ni mhanga katika hilo licha ya kujiweka smart lkn kuna cku nilijsikia vbaya sana pale mpenzi wangu niliedumu nae almost 7yrs tulitibuana hakuliona tusi la kunifaa zaidi ya kuniita mbilikimo fof sure nliumia sana aliomba msamaha lkn hadi sasa psychologically nshaathirika huwa cpendi yule though ana mtoto wangu na nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani ila kwa hilo tu kanimaliza
jamani pole sana.
 
ni short tu
Ahaaaaaa
How old is your cuzo?

If she is still a girl, usigombane naye mwache afanya anavyotaka. Wasichana huwa hawana maamuzi sahihi kabisa. Halafu huyo mwana (the short guy) asilalamike wala nini, maisha ndivyo yalivyo.

Am five feet 4 inches na maisha yanakwenda kama kawa with the said tall girls.

Mwanaume ujikatae kama huna hela tu ndio una lay low. Lakini vtu vya maumbile haviwez kuninyima raha hata sku 1, coz I cant change them.

One more thing for sure, kudate na mtu asiyekuvutia ni shida sana. Kuna vtu vya kichukulia poa na kuvumilia. Kuvumilia kunaumiza sana lakni huyo jamaa hana shida ya kuivumilia. Ni mfupi tu kitu ambacho unaweza chukulia poa.

Sku zote wasichana wanawaza namna ya kutoka out na spouse wake, namna gani atamtambulisha kwa her friends, siku ya harus itakuwaje muonekano wao (ndio maana sku ya kwanza kutongozwa wasichana huwaza ndoa) and all that luxurious moments. Wanasahu kumpe mpenzi ni maisha.....na maisha usiyape nafasi yaingiliwe na watu? Eti watakusemaje?

Kuna rafiki yangu anaowa leo....jana nimeongea naye usiku akaniambia unajua maneno ya watu yanaweza kukufanya ukonde hata siku ya harusi.
 
Huyu dd mtamlaumu bure, Kuna raha yake mwanaume akikuzidi urefu... U feel safe,protected nk...yani ts like how u feel mwanaume akiwa anakuzidi kipato ama elimu...unamheshimu zaidi.,
Japo ndo hvo Mungu nae ana mipango yake
 
Yani huwa sielewi hili likoje linapokuja suala la kimo,mm mwenyewe ni mhanga katika hilo licha ya kujiweka smart lkn kuna cku nilijsikia vbaya sana pale mpenzi wangu niliedumu nae almost 7yrs tulitibuana hakuliona tusi la kunifaa zaidi ya kuniita mbilikimo fof sure nliumia sana aliomba msamaha lkn hadi sasa psychologically nshaathirika huwa cpendi yule though ana mtoto wangu na nilikuwa na mpango wa kumuweka ndani ila kwa hilo tu kanimaliza
Dont give a shit on minor issues.....mi mtu hawez kuniharass kwa maumbile yangu nikajisikia vibaya, never?

Nilichogundua kwako ni mindset tu.....change it yourself.
 
Aaah! acha hizo bhana...

Au basi mshauri Cuzo ampe mbunye wakiwa wamesimama ili awe anachechemea kuifikia, automatically atarefuka tu refer Darwin's theory of evolution utaelewa how giraffe got his long neck.
 
Huyu dd mtamlaumu bure, Kuna raha yake mwanaume akikuzidi urefu... U feel safe,protected nk...yani ts like how u feel mwanaume akiwa anakuzidi kipato ama elimu...unamheshimu zaidi.,
Japo ndo hvo Mungu nae ana mipango yake
Labda kipato na elimu
Kwa case ya kimo mnadanganywa huko kwenye mitandao mnasoma eti ooh unafell protected na blah blah....mnapenda kuigiza maisha ya tamthilia wakat in real life things are different.

We ukitembea mmeongozana na baba yako mzazi na ni mfupi, dont u feel protected? It's all about mindset
 
Unajiskiaje unamhug mwanamke kichwa chako kinaishia kifuani kwake...Baba mzazi ni mrefu kwa wote nyumbani, ss mfano mtu akishakua ktk mazingira hayo choice yake unadhani itakuaje
 
Wa kuishia kifuani huyo ni dwarf.....mlemavu. kudatr mlemavu inataka moyo wa ziada.
Hahhahaah ndo ivo yataka moyo..choice ya mwezi wa maisha kati ya factors zitakazodumu maisha ni urefu,. Si vyema kuja kumnyima raha mwenzio mara hutaki kuonekana nae njiani nk
Ila aangalie kwa mapana pia.,
 
Kuna kitu nakiona kwa mbaali kutokana na hiyo story... Kumbuka ni dhambi kuwa saana kumtenda mtu ambaye ni Innocent...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom