Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Mwalimu unamuoa nesi....?
Tuwe serious bhana,mwalimu oa mwalimu mwenzako au mtu wa kada yenye maadili ya ndoa.
Hahaha yaani ni maajabu sana mkuu. Alichonishangaza zaidi ni kuvaa bomu la kumsomesha na bomu limejibu.
 
Hizo pesa za kurogea si bora akalime mchicha!!hivi kwan kuchezea kibuti ndo mwisho wa maisha?khaa
 
Waambie vita ya uchawi haina mshindi
Atamuua huyo x wake, ndugu wa x wake wataagua na kujua aliyeua nao watalipa kisasi upande wa pili. Ndugu wa upande wa pili wataagua na kulipa kisasi. Utakua ni mwendo wa kuuana na kugeuzana mandondocha. Mshauri tu kuwa asiwe na shingo ngumu, amalize hilo kwa mazungumzo hata kama atapata hasara akubali tu maana wahenga tunasema " hasara roho, pesa makaratasi".
Labda isiwe uchawi wa Kigoma au Congo.mtu anakuchomoa roho na anaendelea kuishi miaka dahali
 
Hakuna kitu kibaya kama kumsomesha mkeo, wanabadilikaga sana, bora uendelee kuishi naye kwa jinsi ulivyomkuta tu, vinginevyo ukimuendeleza tu lazima ulie,
Mpaka leo sina jibu kwanini wanakengeuka hivyo!
 
Amfundishe tuu adabu asiuwe.

au kama inawezekana amfanye arudi kwake.
 
Kuna watu wanaroho nyepesi sana za kuamini binadamu wenzao kisa uchi.
Uch kitu gani bhana
Kitu unapata hata kwa buku 2

Yy anaenda kuisomesha
Kama yy ndo wa kwanza kuionja

Wacha avune alichopanda
 
Alafu ww ndo umegoma kunisomesha? Ngoja sasa nkuendee kwa huyo mzee wa pangan
Hehe utanikuta mimi ndo nimeshikilia matunguli sijui utafanyeje?

brain is the beautiful part of the body.
 
Alafu ww ndo umegoma kunisomesha? Ngoja sasa nkuendee kwa huyo mzee wa pangan
Mwanamke hasomeshwi hata siku moja, labda kama wanavosomesha watoto yatima bila kutalajia kupata chochote toka kwake, sisi wenye imani zetu tunasemaga ni ZAKA!

brain is the beautiful part of the body.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom