Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Mwanaume wa kweli huwa halipizi kisasi huwa anamwachia Mungu...!!! Kwa ushauri wng wa kipumbavu Mwambie asishiriki dhambi ya kuua.
 
Hizo pesa za kurogea si bora akalime mchicha!!hivi kwan kuchezea kibuti ndo mwisho wa maisha?khaa
Kuroga hawatumii pesa mkuu, kuku mweusi, nazi, yai vinza, njiwa wa kijani na etc ambavyo vinapatikana buuuuree kabisa.

brain is the beautiful part of the body.
 
usikubali kuua hiyo ni dhambi itakayokusumbua milele....nawaza makanikia etiiiih
 
Habari za Eid pili, bila kuchelewa niingie moja kwa moja kwenye jambo lenyewe, nina rafiki yangu ambaye nilisoma naye Tabora TC (2011) baada ya kumaliza hatukuwahi kuonana tena kwani yeye yupo Dodoma mimi Tanga lakini tuna mawasiliano ya mara kwa mara,

juzi kanipigia simu ananiambia alifanikiwa kumpata binti na akaoa wakawa wanaishi pamoja na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ghafra mkewe akabadilika ghafra na hataki tena kuendelea naye na ameondoka yuko kwa dada yake Babati jamaa anasema hadi sasa kesharudishiwa na mahari kabisa na kinachomuumiza zaidi hadi anishirikishe ni kwamba wamemkata pesa kibao wakidai za mtoto na mkwe anamtusi na kumtishia atakujwa kuchukua vitu wagawane wakati binti kaondoka mwenyewe,

kibaya zaidi binti ana jamaa na anamrusha fb ili kumuumiza mshkaji wangu hasira zaidi kwa msela wangu ni kwamba alichukua kamkopo sasa maisha kidogo yanakuwa havy na anapata wakati mgumu akikumbuka baadhi ya pesa alitumia kumsomesha mkewe hadi akamaliza nursing,

sasa ameamua liwalo na liwe kaniambia anataka kuja kwangu nimpeleke pangani madanga kuna mzee makata ni shida sana akamalize kabisa biashara bora wakose wote maba akimuona hajisikii vizuri,

bado sijamjibu natafakari sijui nimwambieje kuua siyo mchezo wakuu, nipeni mawazo nimshauri.
Mpeleke huko pangani azidi kupoteza hela
Hakuna lolote yeye ajipange aanze upya cause life is game of survive and death
 
Kweli mwanamke hasomeshwi wazee, unaeza kuja kufa kwa presha!!!
 
Uch kitu gani bhana
Kitu unapata hata kwa buku 2

Yy anaenda kuisomesha
Kama yy ndo wa kwanza kuionja

Wacha avune alichopanda
[emoji3][emoji3]usikute bikra katoa mwingine lakini anavojitia ufundi wa kupenda.

brain is the beautiful part of the body.
 
Hivi hajui maisha nayo huwa yanalipa kisasi??!!
Mwambie ampe muda huyo mwanamke,atapigika kimaisha kias atarud mwenyewe kuomba msamaha kwa kigezo walee mtoto wao
 
piga kazi mkuuu .... tafuta pesa tu kwa sasa hayo yatajiseti tu automatically hko mbele
 
Habari za Eid pili, bila kuchelewa niingie moja kwa moja kwenye jambo lenyewe, nina rafiki yangu ambaye nilisoma naye Tabora TC (2011) baada ya kumaliza hatukuwahi kuonana tena kwani yeye yupo Dodoma mimi Tanga lakini tuna mawasiliano ya mara kwa mara,

juzi kanipigia simu ananiambia alifanikiwa kumpata binti na akaoa wakawa wanaishi pamoja na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ghafra mkewe akabadilika ghafra na hataki tena kuendelea naye na ameondoka yuko kwa dada yake Babati jamaa anasema hadi sasa kesharudishiwa na mahari kabisa na kinachomuumiza zaidi hadi anishirikishe ni kwamba wamemkata pesa kibao wakidai za mtoto na mkwe anamtusi na kumtishia atakujwa kuchukua vitu wagawane wakati binti kaondoka mwenyewe,

kibaya zaidi binti ana jamaa na anamrusha fb ili kumuumiza mshkaji wangu hasira zaidi kwa msela wangu ni kwamba alichukua kamkopo sasa maisha kidogo yanakuwa havy na anapata wakati mgumu akikumbuka baadhi ya pesa alitumia kumsomesha mkewe hadi akamaliza nursing,

sasa ameamua liwalo na liwe kaniambia anataka kuja kwangu nimpeleke pangani madanga kuna mzee makata ni shida sana akamalize kabisa biashara bora wakose wote maba akimuona hajisikii vizuri,

bado sijamjibu natafakari sijui nimwambieje kuua siyo mchezo wakuu, nipeni mawazo nimshauri.
Mpotezee kuwa hata mganga huyo kafa wangapi wamepigana chini maisha yakaendelea atafute chuma kingine asisomeshe tu tena
 
Mwambie aachane na hayo mambo ya uchawi ,haya mambo hayawezi kumwacha salama hata kidogo.Mwambie aendelee na maisha yake aachane na huyo mwanamke ,asijali gharama wala sijui mtoto ,sijui vitu gani.Aaanze maisha upya .Hakuna mtu aliemloga mwenzake akafanikiwa,uwe umemuua au umesababisha mambo yake yaharibike. Aombe Mungu amtie nguvu asahau kwanza hayo ya huyo mwanamke
 
Kuroga hawatumii pesa mkuu, kuku mweusi, nazi, yai vinza, njiwa wa kijani na etc ambavyo vinapatikana buuuuree kabisa.

brain is the beautiful part of the body.
sio kweli hujaona ule uzi wa mganga tapeli wa jf..yeye anatibia kuanzia elfu 50??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom