Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Sikieni kutendwa jamani inauma mimi idd pili nimefilisiwa na mwanamke kaondoka na kila kitu nimekuja nakuta kachukua mpaka taulo langu la kuogea yaani hapa najiona kama ndiyo nimetoka kijijini jana naumia natamani kumvunja mtu lakini cmuoni
 
mm nilisomesha mpk Masters..tumezaa watoto 2 ndoa ina niaka 10..mwanamke kasepa nasikia anatiwa ja mganga wa kienyeji..ss nifanyeje..nimemwacha aende ..tupo mahakaman nadai watoto then ndo namgonga talaka akainjoi vzr
 
Maskini mwalimu, daah ajikaze bhana,na sijui ilikuaje hadi akaifikilia hii njia?
 
mm nilisomesha mpk Masters..tumezaa watoto 2 ndoa ina niaka 10..mwanamke kasepa nasikia anatiwa ja mganga wa kienyeji..ss nifanyeje..nimemwacha aende ..tupo mahakaman nadai watoto then ndo namgonga talaka akainjoi vzr


Pole sana kaka
 
Habari za Eid pili, bila kuchelewa niingie moja kwa moja kwenye jambo lenyewe, nina rafiki yangu ambaye nilisoma naye Tabora TC (2011) baada ya kumaliza hatukuwahi kuonana tena kwani yeye yupo Dodoma mimi Tanga lakini tuna mawasiliano ya mara kwa mara,

juzi kanipigia simu ananiambia alifanikiwa kumpata binti na akaoa wakawa wanaishi pamoja na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ghafra mkewe akabadilika ghafra na hataki tena kuendelea naye na ameondoka yuko kwa dada yake Babati jamaa anasema hadi sasa kesharudishiwa na mahari kabisa na kinachomuumiza zaidi hadi anishirikishe ni kwamba wamemkata pesa kibao wakidai za mtoto na mkwe anamtusi na kumtishia atakujwa kuchukua vitu wagawane wakati binti kaondoka mwenyewe,

kibaya zaidi binti ana jamaa na anamrusha fb ili kumuumiza mshkaji wangu hasira zaidi kwa msela wangu ni kwamba alichukua kamkopo sasa maisha kidogo yanakuwa havy na anapata wakati mgumu akikumbuka baadhi ya pesa alitumia kumsomesha mkewe hadi akamaliza nursing,

sasa ameamua liwalo na liwe kaniambia anataka kuja kwangu nimpeleke pangani madanga kuna mzee makata ni shida sana akamalize kabisa biashara bora wakose wote maba akimuona hajisikii vizuri,

bado sijamjibu natafakari sijui nimwambieje kuua siyo mchezo wakuu, nipeni mawazo nimshauri.
AUE UKOO MZIMA AKIMWACHA MTU KISASI NI CHAKE HATA PANYA KWAO HATABAKI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom