Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Anataka kumroga hadi kumuua aliyeachana naye

Unganganizi kwenye mapenzi haujawahi kumuacha mtu salama.,samehe tu,kile alichokufanyia ndio hicho hicho anatakachomfanyia huyo jamaa mwingine,ni mfumo wa RIM.
 
Jamaaa nae n zezeta sana
Unaanzaje kwenda kuchukua
Mkopo kwa ajili ya kumsomesha mkeo


Unazomeshea wanaume
Wenzio pole yake tu
Ameshaukwaa

Hana tofaut na yule
Alienda kumkopea rafkiake 1m na hatak kumrudishia
Huku mkopaj akidaiwa

Wataftane washauriane
Wanaendana hawa
 
Wengi tumesomesha lakini hatukuwahi fikia hatua ya kuua, ipo hivi atafute msomi alie someshwa na wazazi wake,aoe na kumsahau huyo nesi. Maana wanawake wanajijua wenyewe akili zao ataua wengi
 
daudithefarmer angalia usilogwe huko
 
nashauri tu kusomesha mtoto wa kike ukitaraji kuwa mke hahaha sahau.kwenye kumi wanaofauli ni watatu saba wanalizwa tu.atulie ajipange atayasahau na akili ikipata tatzo ndo mwanzo mzuri wa kua makini
 
Kitu ambacho km anaamini mganga anauwezo ni bora aende akamsaidie kuvuruga akili ya huyo mke aliyeeondoka arudi walee mtt lakini kuuwa siyo kabisa...kingine usisomeshe mke wala mchumba ukitegemea atakusaidia never. ....Mm niko radhi nile bata na demu au mwanamke hata 2M iishe lakini siwezi kutoa ada hata km ni elfu kumi siwezi....hapo jamaa anaumia ksb kasomesha lakini asingekuwa kasomesha suala la kuachana ni kawaidaa tu
 
Mleta habari wewe ni muungwana mpaka amekwambia hayo nadhani mnaelewana vizuri, ivi kwa upeo wako unadhani anachotaka kufanya ni sawa? wewe umempa ushauri gani? kwanza hakuna mtu anauwezo wa kumuua mwenzie ila mwenyezi mungu peke yake mengine inakua sababu tuu, pili akiwa kama mwanamme aseme na roho yake na hakuna dawa nzuri kama kumuachia mwenyezi mungu yeye ndio hakimu wa haki,hata angechukua hela yote kimnya chake ingekua somo kwao lakini anavyo tatarika kama bisi hakumsaidi,amesha katwa hela huko apande bus mpaka tanga na kwa huyo babu anaeua watu unadhani ataua kwa elfu 10? atataka zaidi sasa why asichukue hiyo hela akala akapata akili mpya ya kutafuta mbinu ya kulipa deni anatafuta mbinu za kuua? unajua ukimpeleka na wewe pia umo ndani ya hiyo dhambi?
mwambie amlani shetani kama Muislam basi sita Shawwal imeshaanza afunge amuombe mwenyezi mungu amfanyie wepesi.
 
Jamaaa nae n zezeta sana
Unaanzaje kwenda kuchukua
Mkopo kwa ajili ya kumsomesha mkeo


Unazomeshea wanaume
Wenzio pole yake tu
Ameshaukwaa

Hana tofaut na yule
Alienda kumkopea rafkiake 1m na hatak kumrudishia
Huku mkopaj akidaiwa

Wataftane washauriane
Wanaendana hawa
Wonderful...tangu lini mke akasomeshwa?
 
Nilidhani mnapofunga mnatubu dhambi na kuziacha, kumbe ndiyo mnarecharge uovu? Shetani haondoki kwa kushinda njaa!. Mtafuteni Mungu kwa njia ya Yesu Kristo nanyi mtaokolewa pamoja na nyumba zenu. ELOHIM awarehemu.

Sasa were umejuaje km huyo mtu alishinda njaa jamani (alifunga) mbona makwazo ya nafsi unatutia ss wenye dini yetu.
 
Mali atapata zingine tu, aachane na huyo mwanamke ana roho ya kimasikini sana
 
Habari za Eid pili, bila kuchelewa niingie moja kwa moja kwenye jambo lenyewe, nina rafiki yangu ambaye nilisoma naye Tabora TC (2011) baada ya kumaliza hatukuwahi kuonana tena kwani yeye yupo Dodoma mimi Tanga lakini tuna mawasiliano ya mara kwa mara, juzi kanipigia simu ananiambia alifanikiwa kumpata binti na akaoa wakawa wanaishi pamoja na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ghafra mkewe akabadilika ghafra na hataki tena kuendelea naye na ameondoka yuko kwa dada yake Babati jamaa anasema hadi sasa kesharudishiwa na mahari kabisa na kinachomuumiza zaidi hadi anishirikishe ni kwamba wamemkata pesa kibao wakidai za mtoto na mkwe anamtusi na kumtishia atakujwa kuchukua vitu wagawane wakati binti kaondoka mwenyewe, kibaya zaidi binti ana jamaa na anamrusha fb ili kumuumiza mshkaji wangu hasira zaidi kwa msela wangu ni kwamba alichukua kamkopo sasa maisha kidogo yanakuwa havy na anapata wakati mgumu akikumbuka baadhi ya pesa alitumia kumsomesha mkewe hadi akamaliza nursing, sasa ameamua liwalo na liwe kaniambia anataka kuja kwangu nimpeleke pangani madanga kuna mzee makata ni shida sana akamalize kabisa biashara bora wakose wote maba akimuona hajisikii vizuri, bado sijamjibu natafakari sijui nimwambieje kuua siyo mchezo wakuu, nipeni mawazo nimshauri.
MPE pole huyo jamaa na mwambie Aache hiyo makitu na aangalie maisha ya mbeleni
 
Maisha yakiwa magumu kila mtu anafikiria kwa Mganga ndio suluhisho,mwambie aachane na Mawazo hayo Suluhisho pekee ni yeye kumwamini M/Mungu na kumshtakia yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom