Anapodai ushuhuda wa kupendwa........

Rutashubanyuma,
Nakwambia ukweli fuatilia mpiga ngoma na mcheza ngoma!
Mpiga ngoma uanza na mchazaji hufuatia, lakini ngoma unoga zaid kama mchezaji upatia midundo ya ngoma.
Utushangaa ukimtembelea akamaliza kilio chake kukawepo na vicheko. Nilisha kwambi nenda na mapigo, hiyo ndiyo kiboko ya dharau unayostukia!.
 
1.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe harakisha kumfunda, ukimtoa kwenye mashamsham yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
hima mpakate na kumdenda, huku ukikandakanda mashavu yake!

2.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
we mshuhudie unavyompenda huku ukisisitiza mahanjamu yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe mfungulie kibunda, huku ukipapasa kiwiliwili chake!
 
Mr Rocky hata nikimtendea hilo nahisi bado atakuja na linginelo..........tatizo lake hajiamini nionavyo tu.......ninapwaswa kushughulikia hilo vinginevyo I will be chasing shadows.......

Rutashubanyuma nahisi wasi wasi wako ndo unaokuangusha
Unahisi kuwa kila ukitenda hafurahii na haridhiki
Ondoa wasi wasi wako na fanya kile unachoona kinafaa na kwa uhalisia wake na kwa viwango vyako
Usipende kufanya jambo kama fulani au kwa kuambiwa fulani ndivyo afanyavyo ila wewe fanya kwa kiwango chako
Na jiamini na jipe matumanini kuwa u can do it
 
Kyaiyembe nikwambie huyu lemonade keshajua kila kitu na ndiyo maan kaingia mitini hataki kutujuza kulikoni.............lol
Tehe tehe tehe....................! atakuwa mchoyo huyu au ana wivu! kutuambia tu wala sikutaka anikaribishe nimtembelee. Angeniambia nione kama naweza kutembelea ningetafuta mwenyewe wa kumtembelea.
 
Rutashubanyuma,
Nakwambia ukweli fuatilia mpiga ngoma na mcheza ngoma!
Mpiga ngoma uanza na mchazaji hufuatia, lakini ngoma unoga zaid kama mchezaji upatia midundo ya ngoma.
Utushangaa ukimtembelea akamaliza kilio chake kukawepo na vicheko. Nilisha kwambi nenda na mapigo, hiyo ndiyo kiboko ya dharau unayostukia!.

Kyaiyembe ninatafakari huu ushauri wako.........
 
Last edited by a moderator:
1.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe harakisha kumfunda, ukimtoa kwenye mashamsham yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
hima mpakate na kumdenda, huku ukikandakanda mashavu yake!

2.
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
we mshuhudie unavyompenda huku ukisisitiza mahanjamu yake!
anapodai ushuhuda wa kupendwa huku akitoa na maangalizo yake,
wewe mfungulie kubunda, huku ukipapasa kiwiliwili chake!

Ms Judith pole na masomo kabla ya yote yaelekea wanishauri nisimlazie damu.......duh walakini wajua anataka nimtembelee kivipi?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma nahisi wasi wasi wako ndo unaokuangusha
Unahisi kuwa kila ukitenda hafurahii na haridhiki
Ondoa wasi wasi wako na fanya kile unachoona kinafaa na kwa uhalisia wake na kwa viwango vyako
Usipende kufanya jambo kama fulani au kwa kuambiwa fulani ndivyo afanyavyo ila wewe fanya kwa kiwango chako
Na jiamini na jipe matumanini kuwa u can do it

Mr Rocky huoni kuna mashinikizo kabla ya yote kuwa nifanye atakavyo yeye na wala siyo nitakavyo mie.................
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehe tehe........! atakuwa mchoyo huyu! kutuambia tu, wala sijataka anikaribishe nimtembelee. Angeniambia tu nione kama naweza tembelea, ningetafuta mwenyewe wa kumtembela.

huyu lemonade kakimbilia wapi anapitwa na majambozi huku ya Kyaiyembe..............
 
Last edited by a moderator:
Ushuhuda wa kumpenda mtu umekaa kimatendo zaidi kuliko maneno,lol! Mi matendo yangu yasiposhuhudia sina neno la kuongeza.
 
Unasubiri nini sasa! just go for it! I'm sure she will never regret having u, and you too.

Kyaiyembe tatizo ni masharti yake tu ndiyo kizungumkuti kwangu najishauri lakini nasita mie..................
 
Last edited by a moderator:
hata mimi naona yana-ruin dunia.......................
hivi yasingekuwepo si tungeishi kwa raha mustarehe?
hakuna kusumbuana................ unayempenda anakusumbua................ usiyempenda naye anakusumbua............... yaani tabu tupu

hivi hata Fixed Point kuna anayeweza kufurukuta kwako na hata kuthubutu kukusumbua......................bila ya kusumbulia kizazi kijacho kitatoka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom