serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,354
- 4,771
Mkuu huo ni "udhalilishaji wa kijinsia",yafaa ukam-report kwenye dawati ktk kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe!ni mapenzi lakini duh,kucheza uchi tena mugongo mugongo style.!!!!dah...pole baba.
Mkuu, wakina Bob Junior wapo wengi kumbe... Wenyewe wanasema Msingi Kiuno..