M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,736
- 411
Huyu mpenzi wangu ana fantasy ya ajabu kweli, mimi ni mwanaume lakini kila mara tunapokutana na mpenzi wangu ili kubanjua amri ya sita huwa anapenda kuweka muziki kwanza na kuniambia nicheze kwa kukata viuno huku yeye akiniangalia na kunipigia makofi.
Kwa mara ya kwanza hako kamchezo kalinikera, lakini nilipogoma akaniambia eti nikifanya hivyo yeye ndio anapata n.yege sasa imekuwa ni kama mazoea maana kila mara tukikutana basi ana wimbo mpya kwenye simu yake maalum kwa ajili ya dansi hilo la utangulizi, yaani nimeshachezeshwa muziki wa kila aina kuanzia bolingo hadi taarabu kinachoboa zaidi ni kutaka nicheze bila nguo,tena hupendelea zaidi ile staili ya mgongo-mgongo.