Anapenda nimchezee muziki kabla ya kungonoka

Anapenda nimchezee muziki kabla ya kungonoka

Duh, uenda unamakalio makubwa hivyo anayatamani au anataka kukufanya super Nyamwela. Ila ingekua vizuri kama mngezungumza kumueleza ukweli kua anakukera

Mkuu nilishamweleza akaninunia na kuninyima game kwa karibu wiki mbili eti anasema bila kushuhudia dansi hapati mizuka ikabidi niwe mpole, nacheza tu japo kwa shingo upande.
 
Mkuu nilishamweleza akaninunia na kuninyima game kwa karibu wiki mbili eti anasema bila kushuhudia dansi hapati mizuka ikabidi niwe mpole, nacheza tu japo kwa shingo upande.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah! We cheza bwana maana usipocheza utamkosa
 
Huyu mpenzi wangu ana fantasy ya ajabu kweli, mimi ni mwanaume lakini kila mara tunapokutana na mpenzi wangu ili kubanjua amri ya sita huwa anapenda kuweka muziki kwanza na kuniambia nicheze kwa kukata viuno huku yeye akiniangalia na kunipigia makofi.
Kwa mara ya kwanza hako kamchezo kalinikera, lakini nilipogoma akaniambia eti nikifanya hivyo yeye ndio anapata n.yege sasa imekuwa ni kama mazoea maana kila mara tukikutana basi ana wimbo mpya kwenye simu yake maalum kwa ajili ya dansi hilo la utangulizi, yaani nimeshachezeshwa muziki wa kila aina kuanzia bolingo hadi taarabu kinachoboa zaidi ni kutaka nicheze bila nguo,tena hupendelea zaidi ile staili ya mgongo-mgongo.

precaution......
asije akawa popobawa huyo binti, maana nasikia popoz wana uwezo wa kubadilisha muonekano wao
 
Kwikwikwi aisee u made my day napata picha jitu zima naked linacheza.....ngoja nimtext next tym akuwekee Sugua gaga wa Shaaa
 
Siku zote huwa nnasema huku kuna stress za ajabu, kule jukwaa la siasa mambo ni CCM na magwanda tu, hakuna mastress kabisa.

Huku, Duh.
lara 1, njoo huku ushauri wako kwenye hii nyuzi unahitajika sana.
 
Mmh!!! Unapaswa kuwa na msimamo. Huwezi kulazimishwa kuchezeshwa uchi kwa lengo la kumpandisha mzuka. Elewa hana mapenzi ya dhati huyo, kama ataendelea kukunyima achana nae, yeye mwenyewe atajirudi.
 
Mmh!!! Unapaswa kuwa na msimamo. Huwezi kulazimishwa kuchezeshwa uchi kwa lengo la kumpandisha mzuka. Elewa hana mapenzi ya dhati huyo, kama ataendelea kukunyima achana nae, yeye mwenyewe atajirudi.

avatar72022_3.gif
sio kwamba nimekutamani ila natamani siku nakuona uwe unafanania hivi angalau 50%
 
jamani!!mbona hata sie huwaga tunawachezea lol tatizo mleta mada hatunzwi madolar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom