Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Ananunua ndege wakati hiki na kile hatuna...

Watu wameiponda sana serikali kwa kimsingi kuliua shirika la taifa la ndege.

Sasa serikali hii inafanya kweli katika kulifufua, hilo nalo wanaponda.

What the f!!
Serikali imeamua kufufua shirika.... Imenunua ndege inayokidhi mahitaji ya;
1. Kipato cha watanzania walio wengi
2. Infrastructure (zinatua hadi viwanja vya vumbi)
3. Inland safariz (watanzania wangapi wanatoka nje? Maana watu wanataka waone lindege likubwa limepaki pale JNIT wakati abiria wenyewe wa kulihudumia hakuna....)

Stupid.

Ukisema usikilize kelele za hawa watu hutafanya lolote.... Hutakiwi kuwachukulia serious.
 
Nani kafanya makosa kisa mwingine alifanya makosa?

Kenya kuna MRI 21 , CT scan almost hospitali zote. Machine za kupima / to detect early signs and symptoms of cancer kila hospital ??. Dialysis machine kila County etc juzi kama ulitazama kongamano la afya tv za Kenya, bahati nzuri nilikuwa naangalia citizen tv
Kwetu Nchi nzima ina MRI moja for 50 ,milion people. We need to balance /prioritise our needs. Sawa ndege ni xinunuliwe na mengine ..........
 
Nchi haina vipaumbele tuliambiwa kipaumbele ni viwanda lakini kuchekesho wizara ya viwanda ikatengewa bilioni 88....

Tukabadili gia angani na kununua ndege za bilioni 61....

Wakati huo tunategemea kumwaga pesa kununua zingine......

Sijui viwanda na ndege ni kipi kitatoa Ajira za kutosha na kulipa kodi kubwa....

# only in black continent....
Hivi ndege sio kiwanda? Labda sielewi maana ya industry mnieleweshe wadau.
 
Hapo jibu ni moja tu
Watanzania baadhi wanakurupuka na kufuata mkumbo,
Unakuta MTU ni kibarua wa mitaro
Anajifanya kuchambua ununuaji wa ndege!!
Yaani ujuaji umekuwa mwingine sana,
Akiona mropokaji mmoja kutoka cdm karopoka naye hukohuko
Sababu zakitaalamu hana .

Ila sio shida ukisha elewa na kujua hawa wana matatizo unawadharau tu
Na utoto unachangia pia
 
Kenya kuna MRI 21 , CT scan almost hospitali zote. Machine za kupima / to detect early signs and symptoms of cancer kila hospital ??. Dialysis machine kila County etc juzi kama ulitazama kongamano la afya tv za Kenya, bahati nzuri nilikuwa naangalia citizen tv
Kwetu Nchi nzima ina MRI moja for 50 ,milion people. We need to balance /prioritise our needs. Sawa ndege ni xinunuliwe na mengine ..........

You can walk, chew gum, talk on the phone, and be mindful of passing vehicles all at the same and get home or wherever you are going safely.
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17829083, huyo ni Jaji Warioba. Aliyepata kuwa Jaji wa Mahakama Tanzania, na Waziri Mkuu, kipindi cha Mwalimu.
Mpaka amesema hivyo ujue ameona kitu hakipo sawa katika suala la uongozi kwa Tanzania.
Umeshikiwa ubongo na akili? Huwezi kufikiria mwenyewe ukiwa independent? Jaji hakosei? Anajua kila kitu??

Hebu changanya na zako kidogo tu za lasaba B
 
Ethiopia wana njaa hadi kwenye kucha, ila kwa Africa ndio nchi yenye ndege nyingi.
 
Serikali imeamua kufufua shirika.... Imenunua ndege inayokidhi mahitaji ya;
1. Kipato cha watanzania walio wengi
2. Infrastructure (zinatua hadi viwanja vya vumbi)
3. Inland safariz (watanzania wangapi wanatoka nje? Maana watu wanataka waone lindege likubwa limepaki pale JNIT wakati abiria wenyewe wa kulihudumia hakuna....)

Stupid.

Ukisema usikilize kelele za hawa watu hutafanya lolote.... Hutakiwi kuwachukulia serious.
Aliyekuwa ameliua shirika ni nani, na kwanini aliliua.
Je ni kipi kipya kitakacholifanya na hili lisife?
 
Aliyekuwa ameliua shirika ni nani, na kwanini aliliua.
Je ni kipi kipya kitakacholifanya na hili lisife?
Unajua kwanini shirika lilikufa??
Kama unajua usingeweka hiyo comment.... Thus hujui. Na kwavile hujui nakushauri ukafanye rejea ya kufahamu kilichoua shirika.
 
Kutokuridhika kwa binadamu ni jambo la kiasili.

Kunung'unika nako ni ada ya mja.

Bila ya kupoteza sana muda ngoja nizame moja kwa moja kwenye hoja.

Baada ya ununuzi wa hizi ndege za shirika letu la ndege, kumekuwepo na hoja kadha wa kadha zinazohoji eti kwa nini mheshimiwa MTUKUFU rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Joseph Magufuli pamoja na serikali yake wananunua ndege ilhali sehemu nyingi za Tanzania hazina viwanja vya ndege, eti hatuna sukari ya kutosha, hatuna sijui mashine gani mahospitalini, na kadhalika na kadhalika.

Sasa nami hebu ngoja niulize [maswali] yangu:

Hivi, kwani wakati ule tulipokuwa na zile ndege zetu za ATC, tulikuwa na viwanja vingapi vya ndege huko mikoani na wilayani?

Je, wakati ule hospitali zetu za serikali zilikuwa na kila kitu? Bugando ilikuwa na mashine zote zilizokuwa zinahitajika? Muhimbili nayo ilikuwa imejitosheleza kwa kila kitu?

Sukari, unga, sabuni, na mahitaji mengine nayo tulikuwa tumejitosheleza nayo vizuri tu?

Hizo Fokker Friendship [nadhani walikuwa nazo mbili au zaidi] za ATC ziliweza kutua hata huku kwetu Ikungulyabashashi, Ng'wamapalala, Lamadi, Madale, na Nyangokolwa?

Nchi zingine zilizo na mashirika yao ya ndege zenyewe zimetatua matatizo yake yote kabla ya kuamua kuwa na ndege zake zenyewe?

Huko Kenya kwa mfano, wao kila hospitali yao ina kila kifaa kilicho cha muhimu?

Sasa labda mimi kwa vile ni mbeba maboksi tu nisiye na elimu yoyote ile kubwa [niliishia kidato cha nne ambapo nilipata daraja la nne na pointi 30] ndo maana labda kwa kiasi fulani sizielewi hizo hoja za baadhi ya hao vipanga wanaozitoa.

Lakini nadhani mtu unaweza ukawa unatafuna jojo huku ukitembea na kuongea kwenye simu yako ukiwa unaelekea kwa Joji kwenda kula kiti moto au chipsi vumbi.
Waulize Kenya wanazo mpka dreamliner madege makubwa ya kisasa jee wana viwanja vya ndege vingapi? Kama sio Nairobi, Mombasa, na kisumu tu!!!Tz imejaa malofa na wapu
 
Mkuu kuna kipanga mmoja yuko UDOM anaingia mwaka wa 3 alipata daraja la 4 na pointi 30. Kwahiyo na wewe ni mmoja wa vipanga hapa nchini.
 
SAMAHANI MH RAIS
SAMAHANI MAMLAKA HUSIKA
SAMAHANI WASHAURI WA RAIS

Mh Rais leo umesema kuwa unazo hela za kununua ndege zingine mbili (NAOMBA NILIE KIDOGO hiiii hiiii hiii ng'aaa ng'aaa ng'aaa)

ni muda sasa umepita msd wanasema hawana hela za kuagiza Madawa (nalia tena hiiii hiii hiii hiii hiiii)

mwanangu wakambo hajachomwa sindano ya chanjo ile hospitali yetu ya kata haina (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

kule kigoma kumetokea tetemeko
(KILA SIKU WAHANGA WANALALAMA KUWA HAWAJALIWI) (nalia tena hiii hiii hiii hiii)

KWANI MH HIZO NDEGE MPYA ZITAKUWA ZINABEBA MAITI AMA WAGONJWA WALIOKOSA MADAWA MAHOSPITALINI?

ama je kipaombele cha serikali hii ni ndege tu??

WAHESHIMIWA INAWEZEKANA NIMEWAZA VIBAYA HIVYO NISAMEHEWE BILA KUADHIBIWA
Waingereza wametupa b 6! Bukoba itajengwa tu
 
Kenya kuna MRI 21 , CT scan almost hospitali zote. Machine za kupima / to detect early signs and symptoms of cancer kila hospital ??. Dialysis machine kila County etc juzi kama ulitazama kongamano la afya tv za Kenya, bahati nzuri nilikuwa naangalia citizen tv
Kwetu Nchi nzima ina MRI moja for 50 ,milion people. We need to balance /prioritise our needs. Sawa ndege ni xinunuliwe na mengine ..........

Mkuu watakuita mchochezi.
 
Back
Top Bottom