Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Kijana napenda kukupa taarifa kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa takatifu ya kikatoliki. Sina mpango wa kufa hivi karibuni.

Nakukumbusha pia kuwa kutamani mke wa mtu ni dhambi kwa mujibu wa amri za Mungu katika biblia takatifu.

Leo nimekusamehe kwa kuwa ulikuwa hujui. Ila usije ukasema sijawahi kukuonya

Kasie Mahaba Matata ahsante kwa kunitaarifu hili.

Sky Eclat nakusubiri nyumbani kwa maongezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nisamehe mume wa mtu. Kwa bahati mbaya penzi ni kikohozi kulificha ni kazi. Nimejikuta tu namwagia huyu kigoli maneno mazito sababu ya kuzidiwa nguvu na penzi hilo la ghafla
 
Hujamletea habari za chama cha upinzani?

Serikali nyingine bila chama cha upinzani hazitekelezi sera.
 
Umemaanisha jambo au swala ambalo kimashiko halihusiani sana na nilichokielezea. Sasa kwa mfano, mtu kupata kazi na kumgeuka mwenzake how does that even sound alright kwako?! Its like unabariki maamuzi yake kuwa yupo sahihi alichoamua... What about me, umeelewa niliposema huyu mtu amewaste my very precious time.... Do u understand the magnitude of the level of pain am in just kwa kufikiria weww unaona ni sawa alichofanya.....?!

Wewe hiyo imekaa vipi kwako kuamini kuwa ni sawa kwa mtu kugeuka mwingine kwa sababu dhaifu kama kuangalia masilahi binafsi.

Nina uhakika ningekuwa nimeleta story ya tofauti ya mwanamke kufanyiwa hivyo ungecondemn sana hilo tukio na ungelaani wanaume wote kuwa wanatabia ya kucheza na hisia za mabinti wa watu na kuwapotezea muda. Ila since umeona the case haijagusa hisia zako ukaona urule in favor of the offensive party....

Haina shida...
Mimi niliangalia Hilo jambo kwa angle nyingine tu na wewe ulitaka nuandike ukipendacho ndo maana wanaume wenzako wameni attack bure tu, hyo scenario yako inaumiza Sana hasa ukiwekeza kwa mtu na kujiaminisha tuko kwenye boti moja kumbe sio it hurt a lot, na wengine tumepitia hzo issue na sibariki Jambo lolote lakuumiza hisia za mtu yoyote,
So my bro relax time heals everything shukuru umejua true color, na likuepukalo Lina heri mtoe huyo manzi moyoni uwe na furaha na wewe milango ya baraka ifunguke.
 
Na nimemwambia pale kuwa hapa hajanielewanhata chembe the way amedefend hiyo hoja yake... Of course ameongea vitu valid ila ambavyo haviapply katika conflict resolution ya hii situation yangu, ina maana alichofanya ni kuzima kelele bila kuhakikisha kila mtu anapewa haki na mkorofi anadhibitiwa.

I pray mtu kama huyu asipewe mamlaka ya kutoa haki sababu atakuja sababisha maafa makubwa zaidi kwa kuwa biased na maamuzi yake.
Shida ulitaka usikie upendalo, anyway sio case na akili ndogo sijui kuelewa maana wewe ndo wa kwanza kupata hizo case
 
Hapana, yupo sahihi lakini kukwambia hivyo, mimi mwenyewe nimestuka namna umerespond kwenye situation ambayo nimekuelekeza vema tu. The issue ni kwamba umeichukulia aidha personal au kuna angle haujalewa.....

Katika kila disagreement kuna mtu ndie ameleta hitilafu na kusababisha kukosekana kwa maelewano.

Mimi kwa upande wangu nimeshakuelezea na umeona story, na katika angle yangu hakuna namna utajustify swala la mtu kuvunja malengo aliyoweka na mwingine kwasababu binafsi..... Ukijustify hilo kuwa ni sawa basi pia kisasi nacho ni jambo sahihi kufanya.

Kimsingi never put pressure where there is pressure u will get a blowback.....

Nimeji identify kama mtu niliyekosewa and i have explained my situation, wewe unazungumzia mambo ya kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, how does that apply hapa Kwang?!

Au haujawahi kufanyiwa usaliti wa kimalengo, just wait one day perhaps utapitia scenario kama yangu then utaelewa kuwa some people only deserve a bullet or ten in their heads.
Watu tumetofautiana mtazamo na jinsi tunaelewa Mambo, so kuandika usichotaka haina haja ya kuni undermine yalikuwa maoni tu.
Mimi najua Sana Mambo ya usaliti na yamenikuta kwa watu niliowa amini Sana na maumivu niliyopata makubwa Sana na ili chukua mda ku recover mpaka Sasa nimepona nimesamehe nime relax,shavu dodo na simwamini mtu zaidi ya Mungu baba.
 
Hujamletea habari za chama cha upinzani?

Serikali nyingine bila chama cha upinzani hazitekelezi sera.
Mimi niliangalia Hilo jambo kwa angle nyingine tu na wewe ulitaka nuandike ukipendacho ndo maana wanaume wenzako wameni attack bure tu, hyo scenario yako inaumiza Sana hasa ukiwekeza kwa mtu na kujiaminisha tuko kwenye boti moja kumbe sio it hurt a lot, na wengine tumepitia hzo issue na sibariki Jambo lolote lakuumiza hisia za mtu yoyote,
So my bro relax time heals everything shukuru umejua true color, na likuepukalo Lina heri mtoe huyo manzi moyoni uwe na furaha na wewe milango ya baraka ifunguke.
Kuna Mzee mmoja Mmarekani, Profesa msomi mwenye heshima na pesa zake. Rafiki yangu sana huwa tunazungumza mengi sana.

Anasema yeye ndoa yake imedumu kwa muda mrefu sana kwa sababu yeye na mke wake wameweza kuachiana space.

Yani kuweza kuachiana nafasi kumedumisha ndoa yao.

Kwamba angetaka kumng'ang'ania mkewe wawe pamoja kila wakati, angempa talaka muda mrefu.

Kilichomsaidia ni kwamba, walikuwa wanakaa pamoja, wakiona wanachokana (both are very intelligent people, and intelligent people must clash, their intelligence is evident not in that they don't clash, but in how they resolve clashes), wakigombana, mmoja anachukua likizo peke yake.

Akiondoka, mwingine anaanza kum miss, wanarudi kuendeleza libeneke kama kawaida.

Kuna wakati mkewe alichukua likizo akaenda kutalii Alaska in the summer, kuna cruise alichukua. Huku Mzee yuko busy na mambo ya tafiti zake za kisomi.


Sasa kwa kufuata kanuni hizo, mtu akiwa nyumbani chumba kingine wala si jambo la hatari.

Namuuliza mtoa mada.

Yani mke yuko sebuleni wewe mwanamme uko chumbani unalalamika?

Na angeamua kwenda likizo nchi ya mbali mwenyewe kwa mwezi mmoja, si ungepasuka kabisa ufe?

Ndiyo umemuoa wiki hiyo au vipi? Huko sebuleni atakaa miezi mingapi bila ku surrender? Au unataka kumdinya kila siku kama una ukame?
 
Leo jitahidi saa moja jioni uwe umelala kwa watoto tuone kama ataingia kulala hapo.
 
Kuna Mzee mmoja Mmarekani, Profesa msomi mwenye heshima na pesa zake. Rafiki yangu sana huwa tunazungumza mengi sana.

Anasema yeye ndoa yake imedumu kwa muda mrefu sana kwa sababu yeye na mke wake wameweza kuachiana space.

Yani kuweza kuachiana nafasi kumedumisha ndoa yao.

Kwamba angetaka kumng'ang'ania mkewe wawe pamoja kila wakati, angempa talaka muda mrefu.

Kilichomsaidia ni kwamba, walikuwa wanakaa pamoja, wakiona wanachokana, mmoja anachukua likizo peke yake.

Akiondoka, mwingine anaanza kum miss, wanarudi kuendeleza libeneke kama kawaida.

Sasa kwa kufuata kanuni hizo, mtu akiwa nyumbani chumba kingine wala si jambo la hatari.

Namuuliza mtoa mada.

Yani mke yuko sebuleni wewe mwanamme uko chumbani unalalamika?

Na angeamua kwenda likizo nchi ya mbali mwenyewe kwa mwezi mmoja, si ungepasuka kabisa ufe?

Ndiyo umemuoa wiki hiyo au vipi? Huko sebuleni atakaa miezi mingapi bila ku surrender? Au unataka kumdinya kila siku kama una ukame?

Nimesoma liters ila hiyo sentensi ya mwisho, haijaniacha salama aaahahahahhaahahah.
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Pole sana mkuu sisi tulio single makitu kama hayo hayatuhusu kabisa
 
Nimesoma liters ila hiyo sentensi ya mwisho, haijaniacha salama aaahahahahhaahahah.
Wewe unaweza kumuwekea mgomo wa mto Baba Chanja kwa muda gani kabla ya kukubali matokeo na kupepea bendera nyeupe ya kusalimu amri?
 
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
Mkuu, ulibahatika kusoma hadi darasa la ngapi? Nakuelewa ila kwa taabu sana.
 
Wewe unaweza kumuwekea mgomo wa mto Baba Chanja kwa muda gani kabla ya kukubali matokeo na kupepea bendera nyeupe ya kusalimu amri?

Masaa ambayo kila mmoja atakuwa kazini, tukirudi nyumbani jioni ntaweka mjadala mfupi tuu wa kutatua tatizo kisha tunaenda kugonga cheers chimbani.

Kwa nilivyo mtata hata kama hana hamu na hataki, atataka tuu tena yeye ndo ataanza kunichojoa...
 
Pole sana mkuu sisi tulio single makitu kama hayo hayatuhusu kabisa
Mnabadilisha santuri bandika bandua kama DJ Bonny Luv bado, au sio?

Kuna mchizi mmoja anaitwa Buccaneer anaimba dancehall reggae, ana wimbo wake unaitwa "Plenty More Gal".

Anasema kuna wanawake wengi sana duniani, hawezi kucheza mchezo wa "Dolly House" (michezo ya kitoto ya Baba na Mama) mpaka aonje wanawake wa kila nchi.

Anasema mienendo yake ni kama ya Mfalme Selemani.

Inaonekana una kadi ya uanachama katika chama hiki.

 
Masaa ambayo kila mmoja atakuwa kazini, tukirudi nyumbani jioni ntaweka mjadala mfupi tuu wa kutatua tatizo kisha tunaenda kugonga cheers chimbani.

Kwa nilivyo mtata hata kama hana hamu na hataki, atataka tuu tena yeye ndo ataanza kunichojoa...
Hahaa, umezibuka.

Kama nakuona kwenye ki sexy night dress unaanzisha fujo zako hapo.

Wanasemaje?

Hakuna mkate mgumu usiolainika kwenye chai, au siyo?
 
Mwadelaa gawizaa bheebhee.
Gawizaa.

Hagayaa.Olebona mamihayo sagala genaga?

Wewe dada tuanzishe thread yetu ya internal service.

Usije kuwanyima watu uhondo kwa misamiati ya Usukumani.
 
Mnabadilisha santuri bandika bandua kama DJ Bonny Luv bado, au sio?

Kuna mchizi mmoja anaitwa Buccaneer anaimba dancehall reggae, ana wimbo wake unaitwa "Plenty More Gal".

Anasema kuna wanawake wengi sana duniani, hawezi kucheza mchezo wa "Dolly House" (michezo ya kitoto ya Baba na Mama) mpaka aonje wanawake wa kila nchi.

Anasema mienendo yake ni kama ya Mfalme Selemani.

Inaonekana una kadi ya uanachama katika chama hiki.

[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nisamehe mume wa mtu. Kwa bahati mbaya penzi ni kikohozi kulificha ni kazi. Nimejikuta tu namwagia huyu kigoli maneno mazito sababu ya kuzidiwa nguvu na penzi hilo la ghafla
Huyo sio kigoli. Huyo ni bibi yenu. Ni dhambi kumwita bibi "kigoli"

Hebu tuache kwanza tumalizie kutumia pensheni yetu...
 
Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?

Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.

Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.
Wewe unasema umpeleke hotelini huko unakotaka mkayajenge hataki na wala hatakuskiliza mtaishia kugombana kwamba umeamua umulete unakokujaga na wanawake zako kuna pointing inafikaga hauna namna unasubiri logo kiwatenganishe
 
Una dada wa kaz hapo kwako ama mtu mzima? Kama ni ndio fanya hivi:-
Mchukue mkeo siku moja umpeleke sehem tulivu jioni mpate chakula cha usiku akiisha shiba anza kuongea nae kwa upole na umwambie jinsi gan hiyo tabia inakuumiza,alafu chukua chumba mlale huko huko msirudi nyumban siku hiyo. Naku ahidi had kufikia asubuh atakuwa ameishajutia tabia anayokufanyia na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.

Nimeuliza kama una dada wa kaz ama mtu mzima ili mkitoka Usiku kuwe na mtu wakuangalia watoto
Bro! Kina watu pasua yaani no kwamba anataka akuonyeshe na yeye ni mwamba hataki kukusikiliza hata ukijishusha wee yeye ndo anaona anakukumbusha mpaka ukome
 
Back
Top Bottom