Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Basi nilipomaliza kusoma huu ujumbe wako, ikaingia simu ya airtel nikasema kiruuuu, ODM ndo kaamua kuniibukia huyu pyiiieemyuuuu aahahahaaaaa kumbe ni baba mwenye nyumba anaulizia kodi Looh pozi yote ikaniisha aahahahahaa