Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Mapenzi yakishaisha mnakuwa hamsikilizani tena. Mwanaume atamuonya jambo mwanamke, lakini mwanamke ataendelea kufanya bila kujali. Mwanamke atajitahidi apike chakula kizuri, mwanaume hali kabisaa. So ikifika hapo, kama mna mali mluzochuma wote na mnahofia mgao, mtaishi kinafiki. Ila kama mwanaume anaamini atazipata nyingine, talaka itatoka.
Lakini bora, yanini kuja kutiliana sumu au kuchomana na magunia ya mkaa.
Hisia kuisha kati yenu inatokea mara nyingi. Afrika ndoa inahusu familia pia, unafikiria shangazi wa mume atasema nini wakati Akihito a sana kwenye harusi yenu. Wazungu wanafinguka tu kuwa hujanikosea lakini sina hisia na wewe tena. Hapo kama ulivyosema kama mmoja wenu uchumi wake ni mdogo hawezi kuhama atakubali matokeo na kulala chumba cha watoto.
 
Let us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.

Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Umeandika upupu hadi ishangaza
 
Shida ni moja nimegundua katika mahusiano ya siku hizi. Watu wanaanza mahusiano wakiwa hawajuani kwasababu mnatumia muda wa kudate kupretend tofauti na namna tulivyo kiuhalisia.

Tunaficha tabia zenye madhaifu ili kuwavutia wale wanaotutaka ili tuwapate then tukishawapata ndipo tunakuwa real na hapo ndipo mapungufu yetu huonekana na tunaanza kukosoana hatimae kushushana thamani.

Mwanamke anaekupenda atakusikiliza na atazungumza wazi na wewe pale anapopitia changamoto anakuwa very open sababu anakupenda. Mwanamke asie kupenda huwa anakuwa msiri, mnafiki na hapendi kuwa muwazi na direct na wewe sababu hahofii wewe kuharibikiwa au kufeli.

Kaa kitako na huyo mwenzako nauite hata rafiki zako watatu mnaowaamini mzungumzie changamoto zenu wazi wazi na ziwe za msingi ili mpate mawazo tofauti kutoka kwa wenzenu maana hawa wazazi wetu wameshakuwa wazee na mfumo wa mahusiano ya kisasa hawana mazoea nao hata kidogo

Kuwaita marafiki watatu?!?!
Wewe unataka kuvuruga mambo kabisa Wewe!!!
 
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
Mzee mbona umeandika kama huko chupa? rudia ulichoandika ukiwa hujanywa halafu jiweke nafasi ya msomaji kama utakielewa ulichoandika
 
Hahaa, umezibuka.

Kama nakuona kwenye ki sexy night dress unaanzisha fujo zako hapo.

Wanasemaje?

Hakuna mkate mgumu usiolainika kwenye chai, au siyo?

Aahahahahhaaa fujo za Kasie zisizoumiza bali kutuliza.

Hiyo ya night dress ni siku maalum kwa tukio maalum. Siku nyingine nakuwa na vurugu za khanga moko, au dera lililomwagiwa virgin olive oil linakuwa linanata mwili na mie mwenyewe nanata, siku ingine navaa combat ya jeshi ila bra na Psy holder vinaonekana nje.

Nyingine siri ya Bi. Kasinde eehehehe.
 
Gawizaa.

Hagayaa.Olebona mamihayo sagala genaga?

Wewe dada tuanzishe thread yetu ya internal service.

Usije kuwanyima watu uhondo kwa misamiati ya Usukumani.

Ooohhh bheebhee iiigghhh

Wuuhuuuuu twende mwaya kwenye thread yetu, tuanzishe tuu.

Nnavopenda mambo hayo mie, hapo hutonitoa kila mara ntakuwa hapo aahahahahhahahaaa.

Nakusubiria uje tubonyeze kitufe cha start thread pamoja, uzi wa Internal Service wa Kiranga na Kasinde aka KK aahahahahaa.
 
Bora huyo wa chumba Cha watoto au sebuleni ase huku shemeji yenu analala chini kwenye zulia aisee....Tena hapo hapo chumbani na taa anagoma kuizima..kwa kweli wanawake muache utoto asee...
 
Tafta hela mkuu, maana ukiwa na hela zinaongeza confidence hutatuona wanawake na mapungufu kamwe

Bahati mbaya sina njaa

Ingawa sina hela kama mo dewji lakini account ni kubwa kuliko ya bwana ako..

Kama una bisha screen shot ya mumewe njoo Dm na screen shot yangu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Tafta hela upunguze stress hzo feminist huwa mnatumia Kama kichaka, narudia Tena tafteni hela jamani muache kulaumu wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]

Njooo Dm na screenshoot ya bank ya bwana ako na yako

Na screen account yangu moja,lets compare

Umecomment kibinafsi na kiharakati sababu sijui ni mdangaji wewe yaani unaona fair kbs kupoteza furaha ya mtu kisa maslahi binafsi,very selfish.

Machame type [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha povu bwana wanaume wenye stress kazi yao kulaumu wanawake tu badala ya kutatua changamoto zao binafsi ili wasonge mbele. Halafu kila mtu Ni mubinafsi kwa nafasi yake.
 
Bahati mbaya sina njaa

Ingawa sina hela kama mo dewji lakini account ni kubwa kuliko ya bwana ako..

Kama una bisha screen shot ya mumewe njoo Dm na screen shot yangu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Nani ka kwambia na bwana Mimi najitegemea siishi kutegemea mwanaume ndio maana najiamini ka jike la Simba.
 
Acha povu bwana wanaume wenye stress kazi yao kulaumu wanawake tu badala ya kutatua changamoto zao binafsi ili wasonge mbele. Halafu kila mtu Ni mubinafsi kwa nafasi yake.

Mi sina povu ila ukicomment angalia mwenzako yupo kwenye state gani
 
Zungumza na mkeo, shida ipo wapi?
Mnaleta picha gani kwa watoto?

Ila ana roho ngumu, mimi hata tukitofautiana tutabanana hapohapo kitandani tena ndo nakukumbatia kabisaa hata unipige kikumbo nazidi kukusogelea tu

Tofauti kwenye ndo zipo tena wakati mwingine hata hamsemeshani lakini kitanda ni sehemu ya upatanisho
Hiyo ndiyo ndoa iliyo pikwa ikaiva vizuri, si wale waume mke akinuna naye anavuta mdomo na kidevu kwenye mzuzu kama kisigino [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Shida ni moja nimegundua katika mahusiano ya siku hizi. Watu wanaanza mahusiano wakiwa hawajuani kwasababu mnatumia muda wa kudate kupretend tofauti na namna tulivyo kiuhalisia.

Tunaficha tabia zenye madhaifu ili kuwavutia wale wanaotutaka ili tuwapate then tukishawapata ndipo tunakuwa real na hapo ndipo mapungufu yetu huonekana na tunaanza kukosoana hatimae kushushana thamani.

Mwanamke anaekupenda atakusikiliza na atazungumza wazi na wewe pale anapopitia changamoto anakuwa very open sababu anakupenda. Mwanamke asie kupenda huwa anakuwa msiri, mnafiki na hapendi kuwa muwazi na direct na wewe sababu hahofii wewe kuharibikiwa au kufeli.

Kaa kitako na huyo mwenzako nauite hata rafiki zako watatu mnaowaamini mzungumzie changamoto zenu wazi wazi na ziwe za msingi ili mpate mawazo tofauti kutoka kwa wenzenu maana hawa wazazi wetu wameshakuwa wazee na mfumo wa mahusiano ya kisasa hawana mazoea nao hata kidogo
Sasa huyo wakumsikiliza mke yupo wapi? Wanaume wengi hawapendi kuwasikiliza wanawake huona wanamidomo na gubu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom