Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

MKUU SHIDA MKIWA NA WATOTOO UNARUDI UNAPISHANA NA MWANAO ANAINGIA KWENYE SCHOOL BUS KESHO AMEKUWA KIDOGO KARUDI USIKU UTAPIGA KELELE

N WATOTO HAS A WANAFANYA NDOA ZIVUMILIKE ELSE DAH NAPITA TU
Watotonwanatufanya tuvumilie mentioned sana
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Ktk sheria za mapenzi kufanya tendo ni Sheria ya 17, lkn cc binadamu(watanzani ) tumeweka ndio sheria no moja, uzuli wake niliowa na nikaachana na mwanamke nikaachana nae baada ya kuona ameizoea ndoa na hashikiki, ktk sheria ya mapenzi kuna sheria inasema rekebisheni tofauti zenu kabla hamjalala, lkn sheria nyingine inasema ni bora kunishauli kuliko kunipinga, mapenzi na tendo ni vitu vinavyoshabiihana japo sio kwa ukaribu sanaaaa,

Ukiimudhi mwenza wako hakikisha anarudi ktk hali ya kawaida haraka ili kutowapa nafasi watu njee,mfano umemuudhi alafu nawe ukajifanya jiwe kumbe kule kazini kuna kabinti kameonyesha mazingira ya kumtamani yeye alikuwa anaijali ndoa yake sasa nyumbani hakuna amani kuna wenzangu na mm hapa tumevukiliaa wiki 2,anajiongeza mpaka unakuja kuweka sawa ndoa yako unakuta umesababisha mumeo awe a mchepuko, umemuudh mkeo. A ukajifanya jiwe kumbe kule sokoni kuna mtu anamsumbua sanaaa sasa kupitia hilo anaamua tu kumpa nafasi ili apate faraja ya moyo, jaman turekebishe tofauti zetu kabla hatujalala.
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Hayo ni matatizo yako unalalamika nn? Wewe umeshindwa kabisa kumfanya muwe mnaenda nae kulala, mwanaume huitaji kulalamika
 
Bro! Kina watu pasua yaani no kwamba anataka akuonyeshe na yeye ni mwamba hataki kukusikiliza hata ukijishusha wee yeye ndo anaona anakukumbusha mpaka ukome
Bas mletee mke mwenza
 
Hujawahi kutana na kidume asiyependa sex na kuona kama ni usumbufu? Kama ndio basi jua wapo wanawake wa aina hio hio.

Hasa wale wanaowaza maendeleo zaidi katika maisha.

Huyo nimemsikiliza tu..

Wapo wanawake hawapendi sex huu ni ukweli kabisaaa...

Huyo dada si ajabu hajaolewa.

Moja ya kitu cha kijinga sana ambacho wanaume tunadanganyana ni ukioa utagonga mara 7 kwa week tena bao 3 kila mechi.

Ukweli nikwamba mwanamke yule yule ambaye uliyekuwa unakesha nae unapiga show za kibabe ukimuoa usipokuwa makini kwa week unaweza kugonga mara 1 au mbili.

Mwanamke yule yule aliyekuwa anakwambia kakumiss uje mgonoke ukimuoa atakuwa dada yako She will NEVER show any sign of wanting sex yaani kila siku utaanzisha wewe.

Hapa ndo wanaume wanaonekanaga wakorofi ,wanadharau wake zao,wanalala na wanawake wa nje hovyo,wana shinda baa,hawajali familia....

Kitu cha kwanza mwanamke ukimuoa atafanya nikuondoa sex kwenye mahusiano yenu,ukiondoa sex kwenye mahusiano huyo mwanaume HUNA cha kumlamikia chochote,akikupiga sawa,asipoacha hela ya kula sawa,akilala na housegirl sawa,akikutukana sawa yaani as long as sex is not there,Mwanamke hatakaa afurahie upendo wa mwanaume.

Hapa ndo wanawake wanasema mwanaume kabadilika kawa mkali hajali,ana tukana,halipi kodi,.Bahati mbaya kuna kipindi kikifika mwanaume anasusa sex mazimaaaaaa sasa hapo ndoa inakuwa imekufa bila mwanamke kujua.

Ndoa iliyokufa ni ipi?Ni ndoa ambayo moja mwanaume kasusia sex baada ya kuchoka kuanzisha sex mda wote,mbili atakijsribu kuboresha sex mwanamke anaini sio jukumu lake kbs kushiriki kuboresha sex kwenye ndoa

Mtu aliyewaambia wanawake,mwanaume ndo mwenye jukumu la kuwaridhisha nimngese sana sababu wamebung’aaaaa tu hawajui hata miili yao ikoje wanasubiri mwanaume ndo uanze kujaribu jaribu sijui nimpige dole la mkuuuu ndo hisia zake zilipo,sijui ning’ate sikio!!!!yaani yee kakaa tu anakusibiri wewe hata yeye mwenyewe hana analojua hata kuonyesha ushirikiano hawezi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Sasa kila mwanamke yupo tofauti kwahiyo trial and error lzm situmike mpk upate formula yake.Mnafanya mijitu inanyonya hadi mitaro ili yapate Formula ya kumridhisha mwanamke. Yee katulia kimya kama bwege vile hapendi unachofanya hasemi kitu ila katulia tuli anakusubiri umridhishe

Shenzyyy[emoji35]
 
Wewe haujaelewa hata moja katika kisa ninachokisema hapo. Hivi how do u take mahusiano kuwa ni kulala kufanya mapenzi na kwenda club then kila mtu aendelee na maisha yake.... Then what was the point ya kuwa karibu na mtu ukiwa hauna matarajio ya kuwa na maisha ya baadae nae?!

Hakuna mtu anapinga kusaidia ndugu ama familia yako. Shida ipo kwenye kumbadilikia mwenzako malengo mliyoweka pamoja ili utimize yale uliyopanga kichwani kwako yanayokuhusu wewe pekee yako.

Sijasema nataka kulipwa fadhila kwa kusaidia maombi ya kazi that was me being helpful, ningeamua nichelewe kwenda au nisingeenda hiyo kazi pengine asingekuwa nayo. Na mind you amemaliza chuo diploma for more than five years anasota na kazi hapati. Muda wote huu nilikuwa namuiencourage kuwa hata akikosa kazi still tuna namna nyingi za kutengeneza kipato kupitia biashara so tutatulia na kupanga biashara zipi tufanye.....

Swala usilolifahamu ni kuwa unapoishi na mtu muda mrefu tayari anakuwa sehemu ya routine ya maisha yako na anakuwa ni sehemu ya mipango yako unless upo nae kwa maigizo kama huyu takataka alivyokuwa.

Hivi kwa mfano wewe, uwe na mwenzako halafu mshaishi muda mrefu na mnapanga malengo then ghafla huyu mwanaume wako unakuja shangaa anaanza kukukatia mawasiliano baada ya kupishana kauli mbili tatu na mwisho wa siku anaamua kuwa busy na habari zake as if wewe ni stranger kwake....

Na unakuja kuchunguza unagundua tu alikuwa na wewe sababu hakuwa na kazi na so hakuwa na pakwenda then wewe muda wote ulikubali kuwa nae for the sake of your relationship. Then amepata kazi the all of a sudden ana plans ambazo hamkuwahi zijadili....

Achana naye huyo.

She is selfish

She is feminist

Yeye amechagua kutokukuelewa badala yake anajibu kama mtu selfish ambaye pia ni feminist..

Mtu yeyote aliyesoma vizuri ataelewa jinsi gani wewe ulijitoa kwa huyo mwanamke ukiwa na malengo makubwa sana ya pamoja..

Kama mtu akisema hajaona shida ni kwasaba u hata yeye ni mbinafsi kiasi kwamba hawezi kuona shida kwenye case kama hiyo
 
True mkuu. Nashindwa kuelewa kwann kuna watu wanajifanya wao maisha ni kuhangaika bila malengo. Yaani wao wanahisi maisha ni kutapatapa kama bata na kuhenyeka. Hawawazi familia, hawawazi mahaba, hawawazi mume, hawawazi kuwa kuna kutulia na mji wako na familia yako...... Yaani ni kama wagonjwa wa akili.
 
walio oa ndo wanajua mambo haya wengine ss wageni wa mambo haya cjui unalala wapi mm nalala getto kwangu mchezo umeisha mambo yasiwe meng sana
 
Achana naye huyo.

She is selfish

She is feminist

Yeye amechagua kutokukuelewa badala yake anajibu kama mtu selfish ambaye pia ni feminist..

Mtu yeyote aliyesoma vizuri ataelewa jinsi gani wewe ulijitoa kwa huyo mwanamke ukiwa na malengo makubwa sana ya pamoja..

Kama mtu akisema hajaona shida ni kwasaba u hata yeye ni mbinafsi kiasi kwamba hawezi kuona shida kwenye case kama hiyo
Tafta hela upunguze stress hzo feminist huwa mnatumia Kama kichaka, narudia Tena tafteni hela jamani muache kulaumu wanawake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
wagombanao ndio wapendanao.

ukiona hamgombani kwenye ndoa basi hampendani.

mimi mke wangu huwa tukigombana namrukia vichwa vya kichwa cha juu na tukipatana namrukia vichwa vya kichwa cha chini
 
Tafta hela mkuu, maana ukiwa na hela zinaongeza confidence hutatuona wanawake na mapungufu kamwe
What deference will bring. Kama ni mtu mbaya mimi kuwa na hela itakufanya uwe muovu zaid tu.....
 
Huyo nimemsikiliza tu..

Wapo wanawake hawapendi sex huu ni ukweli kabisaaa...

Huyo dada si ajabu hajaolewa.

Moja ya kitu cha kijinga sana ambacho wanaume tunadanganyana ni ukioa utagonga mara 7 kwa week tena bao 3 kila mechi.

Ukweli nikwamba mwanamke yule yule ambaye uliyekuwa unakesha nae unapiga show za kibabe ukimuoa usipokuwa makini kwa week unaweza kugonga mara 1 au mbili.

Mwanamke yule yule aliyekuwa anakwambia kakumiss uje mgonoke ukimuoa atakuwa dada yako She will NEVER show any sign of wanting sex yaani kila siku utaanzisha wewe.

Hapa ndo wanaume wanaonekanaga wakorofi ,wanadharau wake zao,wanalala na wanawake wa nje hovyo,wana shinda baa,hawajali familia....

Kitu cha kwanza mwanamke ukimuoa atafanya nikuondoa sex kwenye mahusiano yenu,ukiondoa sex kwenye mahusiano huyo mwanaume HUNA cha kumlamikia chochote,akikupiga sawa,asipoacha hela ya kula sawa,akilala na housegirl sawa,akikutukana sawa yaani as long as sex is not there,Mwanamke hatakaa afurahie upendo wa mwanaume.

Hapa ndo wanawake wanasema mwanaume kabadilika kawa mkali hajali,ana tukana,halipi kodi,.Bahati mbaya kuna kipindi kikifika mwanaume anasusa sex mazimaaaaaa sasa hapo ndoa inakuwa imekufa bila mwanamke kujua.

Ndoa iliyokufa ni ipi?Ni ndoa ambayo moja mwanaume kasusia sex baada ya kuchoka kuanzisha sex mda wote,mbili atakijsribu kuboresha sex mwanamke anaini sio jukumu lake kbs kushiriki kuboresha sex kwenye ndoa

Mtu aliyewaambia wanawake,mwanaume ndo mwenye jukumu la kuwaridhisha nimngese sana sababu wamebung’aaaaa tu hawajui hata miili yao ikoje wanasubiri mwanaume ndo uanze kujaribu jaribu sijui nimpige dole la mkuuuu ndo hisia zake zilipo,sijui ning’ate sikio!!!!yaani yee kakaa tu anakusibiri wewe hata yeye mwenyewe hana analojua hata kuonyesha ushirikiano hawezi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].

Sasa kila mwanamke yupo tofauti kwahiyo trial and error lzm situmike mpk upate formula yake.Mnafanya mijitu inanyonya hadi mitaro ili yapate Formula ya kumridhisha mwanamke. Yee katulia kimya kama bwege vile hapendi unachofanya hasemi kitu ila katulia tuli anakusubiri umridhishe

Shenzyyy[emoji35]
True sana mkuu, when sex gets out through the door, mans love goes out through the window.
Hamna amani ndani bila constant supply of pussy!
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote

Mimi nina mfano sahihi kabisa.

Anakaa kwa watoto akichat na kina Arushaone wala sio anakaa tu kama mchawi. Aidha ana line ingine anayobadili na kuwasiliana au anatumia aliyo nayo tu.

Kama huamini mfanyie ziara ya kushtukiza siku moja na hakikisha unampora simu uangalie. Labda utasema hana simu ila nakuambia huenda kuna simu inafichwa somewhere hapo kwa watoto.

Vinginevyo basi ana mimba au ukute ana majini.

Wanawake wengine ni shida sana. Wengi kwa tabia zao huponza tuwe na nyumba ndogo au tuwe tunakaa bar mpaka usiku wa manane na wakati mwingine kuwatumia Masada poa au kutembea na house girls nyumbani mke anapokwenda kazini.

Ajirekebishe before is too late.
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Mapenzi yakishaisha mnakuwa hamsikilizani tena. Mwanaume atamuonya jambo mwanamke, lakini mwanamke ataendelea kufanya bila kujali. Mwanamke atajitahidi apike chakula kizuri, mwanaume hali kabisaa. So ikifika hapo, kama mna mali mluzochuma wote na mnahofia mgao, mtaishi kinafiki. Ila kama mwanaume anaamini atazipata nyingine, talaka itatoka.
Lakini bora, yanini kuja kutiliana sumu au kuchomana na magunia ya mkaa.
 
Back
Top Bottom