Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,425
Hivi kweli unaamini yale mafunzo ya masaa kadhaa kwenye kitchen party yanamuandaa mwanamke kwa maisha ya ndoa?Let us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.
Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Mpaka umemchagua kuwa mke wako Ina maana ulimuelewa. Sasa ni kwanini unashindwa kuwasiliana na mtu uliemuelewa ili kutatua tatizo.
Panga weekend moja hotelini mkae wawili tu siku tatu muone kama hamjafikia muafaka.