Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

We naye Kama hujui kushauri si unyamaze. Mtu hayuko sawa, wewe unatia chumvi kwenye donda Tena! Duuuh
Usinipangie Cha kuandika tafadhali ulitaka nimpake mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Pole kwa experience yako Mimi naona kwanza nyie hamukuendana pili mlikuwa mna date same age na mda mrefu na wewe hukuwa na experience ya mapenzi zaidi ya huyo mmoja tu.

Pili kabla ya mahusiano lazima muangalie muta benefitiana kivipi nyie wawili na tatizo kubwa lilianza baada ya huyo dada kupata kazi, nyie wanaume sometimes hamtakagi wanawake wapate kitu, hata mkiheshimiwa mnaona mna dharauliwa tu, kiukweli Hilo swala la ndugu Mimi naona lilikuwa la kawaida tu kukaa chini na ku solve basi
Soma tena umuelewe huyu jamaa ama vinginevyo wewe mdada una Uwezo Finyu sana wa kuelewa na Kuchanganua mambo. Hata hivyo nabaki kuheshimu Mawazo yako Finyu
 
Soma tena umuelewe huyu jamaa ama vinginevyo wewe mdada una Uwezo Finyu sana wa kuelewa na Kuchanganua mambo. Hata hivyo nabaki kuheshimu Mawazo yako Finyu
Wewe ndo hujaelewa nilicho maanisha, jifunze kujibu Jambo from different angles sio kujaji uelewa, kumbe wewe ndo si muelewa.
Uyaheshimu au usiyaheshimu ni maoni yangu na sio Sheria au katiba ya nchi useme lazima uyafate. Mfyuuuuuuu
 
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
Hapa nimetoka kapa kabsaa. Mkuu ulikuwa umepiga kvant ngapi?
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
Na wewe kalale kwa hause girl, saa tisa rudi room. Period
 
Wewe ndo hujaelewa nilicho maanisha, jifunze kujibu Jambo from different angles sio kujaji uelewa, kumbe wewe ndo si muelewa.
Uyaheshimu au usiyaheshimu ni maoni yangu na sio Sheria au katiba ya nchi useme lazima uyafate. Mfyuuuuuuu
Niwie Radhi Dada
 
Baaabuuuuuuu,

Le Big Sam Orijinaleee

ODM Asprin, njoooo hukuuu nkusomee barua iliyoandikwa post namba 45.

Hongera babuuu, bibi yuko vizuriii.

Masifa kedekede kwakoo, ukamtolee mahari mara ya tatu aahahahahaa.
 
Hebu ngoja nikwende haraka sana...

Siwezagi kukataa wito au ombi la Kasie Mahaba Matata...

Labda itokee tu
 
Umeongea bonge la point mpenzi. Sumu kali inayouwa mahusiano ya sasa ni kiburi kinachozaliwa na ukosefu wa mawasiliano mazuri.

Mtu akitoka kando huko akiwa na rafikj zake anafunguka mafaili yote na analielezea tatizo wazi wazi lakini akienda na mkewe hanyooshi maelezo au anakuwa bubu kabisa sasa sijui shida inakuwa nini.....?!

Hivi unashindwa mwambia mwenzako kuwa mahaba yanapungua siku hizi kwasababu umeacha kunijali hauniletei zawadi. Au sifurahii kukiss na wewe kwasababu hausafishi vizuri kinywa chako kinatoa harufu kali?! Au kumwambia kuwa unanikwaza tabia ya kuniomba pesa kila wakati kusaidia familia yako na huku sisi mambo yetu yanasimama...... Au sikukusamehe ile siku ulivyotoka na rafiki yako wa kiume mkaenda kula lunch bila ridhaa yangu?!
Communication ndio kila kitu yaani katika mahusiano.....
Kasie Mahaba... hii ndio post #45.

Sijakuelewa ujue... Ohooo
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
Hivi mbona sikumbuki kama nilishawahi kukutongoza?
 
Kasie Mahaba... hii ndio post #45.

Sijakuelewa ujue... Ohooo

Kama hujaelewa basi Babu funika kombe mwanaharamu apiteee.

Mambo haya yana wenyewe, tuendelee kuzigida K Vant, tuachane na hizi Habari za humu zinatupunguzia muda wa malabuku zetu eeehehhehee.
 
Hebu ngoja nikwende haraka sana...

Siwezagi kukataa wito au ombi la Kasie Mahaba Matata...

Labda itokee tu

Aahahaaahahahaha nilikumithii tuu Babu sina lolote hapa wala hakuna chochote nilichokuitia.

Mahaba yameninasa leo nataka nikupe ofa ya nyama nyeupe.......

K' Mahaba.
 
Aahahaaahahahaha nilikumithii tuu Babu sina lolote hapa wala hakuna chochote nilichokuitia.

Mahaba yameninasa leo nataka nikupe ofa ya nyama nyeupe.......

K' Mahaba.
Chizaz! Chinekeee! Igweeee!

Umesema nyama gani?

Afanaaleki, kifo hakina breki
 
Kama hujaelewa basi Babu funika kombe mwanaharamu apiteee.

Mambo haya yana wenyewe, tuendelee kuzigida K Vant, tuachane na hizi Habari za humu zinatupunguzia muda wa malabuku zetu eeehehhehee.
Mi mtu mzima ujue... ohooo

Nakufuata PM tuyamalize kimjinimjini

Liwalo na liwe

Afu mbona jana hujani"dipu" nikupigie? ODM nilikuwa taarab wallah
 
Chizaz! Chinekeee! Igweeee!

Umesema nyama gani?

Afanaaleki, kifo hakina breki

Nilikumithiiiii

Ila ukiendelea endelea kusoma hadi namba 49 utaona macho yako yanafunguka aahahahahhaaaa

Nipe lokesheni nifanye delivari, usichelewe kurudi.
 
Nilikumithiiiii

Ila ukiendelea endelea kusoma hadi namba 49 utaona macho yako yanafunguka aahahahahhaaaa

Nipe lokesheni nifanye delivari, usichelewe kurudi.
Anatii amri yako Kasie Asprin ODM

Lokeshen... stay tuned... Ushaacha woga?
 
Mi mtu mzima ujue... ohooo

Nakufuata PM tuyamalize kimjinimjini

Liwalo na liwe

Afu mbona jana hujani"dipu" nikupigie? ODM nilikuwa taarab wallah

Aahahahahhhaaaa kama nakuona ulivyokuwa vidole juu aahahahahahaaa
Umefanya nimkumbuke "R. Bonkey" mhubiri wa zamaniii alikuwa anahubiri viwanja vya jangwani basi akimponya mtu aliyekuwa haoni, utasikia anamwambia in English what do you see, aliyeponywa anasema kidolee (mhubiri anakuwa amenyoosha kidole chake juu)
Hadhira yote inashangilia aliyekuwa haoni sasa anaona.
Basi mhubiri na lafudhi ya kizungu anakazana kusema, kidoliiiii,kiiidoooliiiii kidoli, kidoliiii, kiiidoooliiiii (akimaanisha kidole aahahahahhahahaa)

Baabuuuu njoo tuu mbona huko PM ndo napapenda sana, kwani unanionea aibu hadi uniombe kibali cha kuja PM aahahahahhahaaaa mbiooooo.
 
Dah... Hivi we dada umeolewa?! Usinambie habari za una boyfriend sijui my man.... Naomba unambie kama haunapete seriously nijue....

Maana point zako unazoziongea hadi nadinda..... Ungekuwa ni mwanamke wangu halafu nisome hichi ulichokiandika walahi leo usiku tungefanya hadi kunakucha maana nimekutamani balaa hapa..... Dah kuna wanawake mnajua kusisimua wanaume jamani loooooh
Kijana napenda kukupa taarifa kuwa Sky Eclat ni mke wangu halali wa ndoa takatifu ya kikatoliki. Sina mpango wa kufa hivi karibuni.

Nakukumbusha pia kuwa kutamani mke wa mtu ni dhambi kwa mujibu wa amri za Mungu katika biblia takatifu.

Leo nimekusamehe kwa kuwa ulikuwa hujui. Ila usije ukasema sijawahi kukuonya

Kasie Mahaba Matata ahsante kwa kunitaarifu hili.

Sky Eclat nakusubiri nyumbani kwa maongezi
 
Back
Top Bottom