Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Muda mwingine hivi vitu havisaidii sio kwasababu sio mbinu sahihi hapana..... Ila ni kwasababu watu wanatoka katika different family backgrounds na hivyo wanakuwa na different past yenye migogoro ambayo huwezi ielewa.

Nitakupa kisa changu kwa ufupi ni kirefu sana. Nilikuwa na girlfriend wangu ambae nimekuwa nahusiana more than 8 years. Nimeanza nae tokea tukiwa o level. Huyu binti kwa namna nimekuwa nae nina uhakika alinipenda kweli na mimi nilimkubali kweli sababu ukitazama muda tuliodumu, mambo tuliyofanyiana, makosa niliyosamehe na ukaribu wake na familia yangu ni wazi she's the one.....

Tulianza kushindwana huku ukubwani tulipoanza mazingira ya kukaa pamoja kama wachumba wa kuoana kesho au keshokutwa.

Binti alikuwa ananijengea mazingira ya kutaka tupate sehemu kubwa ya kuishi yaani nyumba ya kuanzia vyumba vitatu jambo ambalo me nilistaajabu na kujiuliza why tuwe na sehemu kubwa hivyo yote ya nini na sisi ndio kwanza tunaanza kujijenga na kuanza maisha yetu. Hakuwa akisema kitu ila nadhani ndani ya moyo wake aliona nampinga jambo la msingi sana at least kwake......

So siku zinaenda nikawa naona katika mazungumzo na jitihada zake ni kunishawishi na kujenga mazingira ya kutaka kuja kuishi na wadogo zake watatu wa kike, wa kiume m'moja katika sehemu atakayokuwa anaishi na mimi jambo ambalo mimi sikuwa naona ni la busara kwa wakati huo na heri lingesubiri.

Siku zinaenda ile issue ikaja kuwa very serious akawa sasa ni anaiweka wazi wazi.... Mimi napinga kwa sababu zangu yeye anatete kwa sababu zake. Mimi napambania kujenga familia yangu na yeye, yeye anapambania kurekebisha changamoto za familia yake...

So hii kitu ikaja kuwa changamoto kwetu sisi wawili katika kufanya maisha pamoja sababu mwenzangu analeta issues za familia yake katikati yangu na yeye na hii inaanza kubana nafasi ya sisi kuweza kusimamia ndoto au malengo yetu wawili.

Akaja kupata kazi ambayo ni mimi ndie nilipeleka bahasha siku ya deadline tena kwa kumuiencourage maana alikuwa ameshakata tamaa na hakuwa tayari tena kutuma ile application. Kumbuka tokea tumeanza 2006 hakuwahi kupata kazi ya mkataba wala kuajiriwa hii ndio kazi yake ya kwanza kabisa ya kuajiriwa rasmi na sio magumashi.

Alipopata kazi tu duuuuuh hakuna rangi sikuiona hivyo vibweka na vituko alivyonianzishia.... Kauli za ajabu zilikuwa zinamtoka.

Nikimuuliza maswali anatoa majibu ya kitata ambayo nikihoji hayo majibu yanakeuga tena kuwa kesi kuwa nimemsema vibaya. Kwamfano nilimuuliza, wewe hauoni kama kuishi sasa hivi na wadogo zako hapa hatutaweza sababu bado hali yetu tunajipanga huwezi kusubiria kidogo, akanambia mimi ninapokwenda wadogo zangu nao wananifuata siwezi wafukuza, me nikamwambia sasa hapo tumewafukuza au tumesema tunajipanga, akanijibu ndio hivyo sasa, nikamwambia hapana hayo ni maisha ya kipemba hatuwezi ishi kama wapemba akaitikia tu "sawa" ila kumbe lile neno akaenda mwambia mama yake.....

Kulitokea mtafaruku wa kila aina hapo kati ila kwa kifupi huyu binti akawa kiburi, akaniruka futi mia na sasa akawa ni total stranger kwangu. Alikuwa anaukaribu na mama yangu but ukaribu ule ulipungua na ukakoma hadi mama akawa ananiuliza fulani yupo wapi nini kinaendelea, nikawa nakosa cha kumwambia mama sababu hata sielewi nianze wapi.

Ile kitu ilinichanganya sana sababu sikuwa nawazia kuwa tutafika hiyo hatua ila nilijikaza kiume. Maumivu yalikuwa makali nikapungua uzito, usingizi ulikuwa upaa most of the time nashindwa hata kuelewa nipo katika ndoto au uhalisia(kuelezea vichache tu maana nilipitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu sijawahi kuexpirience).

Nikamtumia tu text moja ya kumwambia ninavyojisikia na kuwa nimeona vita aliyonianzishia sikujiandaa nayo maana sikuwahi kumuona kama adui maisha yangu yote na nilimuamini kuliko mwanamke yoyote then nikasurrender nikasema famililahi heri kukosa kuliko kuumia kila siku na sipati jibu wakati yeye anaona ni mchezo tu hapa unaoendelea.....

Maisha yakaendelea hadi hapa ninavyosema ni mwaka wa pili huu vidonda havijapona but at least naweza kula, kulala na kufanya mambo mengine na kujipanga upya na akili yangu nimeiprogram kujenga maisha bila kutegemea assistance au uwepo wa mwanamke yoyote.

Nilichojifunza katika uhusiano huu nilioujenga kwa miaka mingi sana na ukanigharimu ni kuwa watu wanahistoria zao, na hizi historia huwa zinawashape kuwa na mienendo ya namna fulani ndani ya roho zao. Unaweza kutana na mwanamke akakuonyesha kila dalili kuwa ni perfect choice yako, mkajenga maisha mazuri pamoja kumbe mwenzako alishajiapiza kutafuta mali ili aje arithishe nduguze.... Wewe unajua sasa umemaliza kumbe mwenzako ndio anaanza ndio ile unashangaa utu uzimani mwanamke anaanza kukugeuka anakufitisha na watoto wako uliozaa nae.... Ili akuchanganye umuache abakie na mali au mgawane.....

Yule binti alimuona mama yake ujana wake so alimtazama namna anahangaika na maisha, ndani ya nafsi yake akajiapiza kuwa yeye hatapitia maisha kama ya mama yake na hapo hapo akawa anahofu juu ya wadogo zake wasiteseke (kiuhalisia hawa wadogo zake hawana mateso yeyote wanaishi vizuri, mama yake alipata mume utu uzimani na akaolewa na wanamtoto m'moja na huyu mzee. Ila huyu mzee analea hawa watoto wa kufikia kama wakwake). Ila kwa bahati mbaya binti anasikiliza sana story na mijadala ya manyanyaso ya wanawake so anajitune kuwa na yeye ni muhanga so anajihami kabla hatari haijamkuta.....

Ndio maana nikasema ni vema tukawajua hawa wenzetu wanamalengo gani kabla hatujafanya nao maisha serious. Wanawake wenye malengo Mazuri wapo na wanakuwa na shida moja tu kupata mwenza wa kufikia nae hayo malengo na hawapati. Imagine kupata mwanamke anaetaka kuwa na familia bora na wewe anakusaidia uimarike mfikie hilo lengo.... Halafu imagine kuwa na mwanamke ambae anapretend kupambana na maisha na wewe kumbe anatafuta mali na pesa za kwenda kusaidia familia yake ambayo si kwamba ni duni ila tu ni mihemko ya kujifanya mwanamke wa shoka anatafuta kuonekana mwamba kwa ndugu zake na marafiki..... Huu ni utoto na huwa unawagharimu sana watoto wa kiume....

Mimi niliumia na bado naumia sana hadi sasa, ile experience imenibadirisha.... Hadi sasa ukinambia nimchagulie adhabu naona haipo... Kuna muda hadi nilikufuru nikaamka usiku nikasema hivi kwann nisitafute pistol na risasi nyingi niende nikawachape risasi wadogo zake na mama yake halafu nimtazame usoni akiwa anaomboleza nimwambie hayo maumivu unayoyasikia ni gharama ya upumbavu wako ukiouleta kwenye maisha yangu kunipotezea mda so nimekulipa and we are now even i go to jail wewe go and live the hell u wished upon yourself. Then nikamuwaza mama yangu, nikamuwaza niece wangu, nikawaza mdogo wangu wa kike na ndugu zangu wa kubwa nikajisemea hawa wananihitaji zaidi kuliko ninavyodhania, nikifanya kitu kibaya huyu kima nitamuumiza but hawa nitawaumiza zaidi..... Aisee basi nikapiga goti nikamwambia MUNGU hiki kisasi nakirudisha kwako... Sitafanya chochote ila siwezi kumsamehe huyu binti, siku nitaridhika ni hadi nione na yeye amevunjika mara mbili yangu na maisha yake hayana direction tena na akumbuke alinikosea hapo ndipo nitatulia ila as long as napumua na ndani ya roho yangu milele, sitamsamehe kwa maana sikuwahi mtakia baya lolote na kosa nililolifanya nikukabidhi moyo wangu kwake.... Sitomsamehe....

Hadi hapa ninavyoongea kila siku ninapomkumbuka nanuia ndani ya nafsi yangu kumkumbusha MUNGU kuwa kisasi nimemuachia yeye mimi sitofanya chochote yeye atajua.....

Mhmmmm duh maneno makali sana umetamka,tumefundishwa kusamehe saba mara sabini ingawaje sijajua kwa imani yako inakufundishaje.

Mim kiukwel tu kusamehe ni rahisi sijui nikoje lakn baada ya kukusamehe sitaki tena sehemu ya maisha yangu.

Nitatoa mifano miwili kwa mambo niloyaacha yakapita nikasamehe.
1.Moja-mapenzi kiukwel yanaumiza sana sana.Hapa tunazungumzia mapenzi ya kwel kabisa acha ile ya kupretent.Make mim hadi nafika hapa nimependa mara mbili tu kwenye maisha yangu na nimekua kwenye mahusiano ambayo siwez kuyahesabu.
Ok sasa kwa mim kunarelationship moja kwenye hizo mbili nilizokutajia nishapenda maishani mtu from no where anachange mazima.Ushawekeza mda wako na kila kitu baada ya mda kumbana make unaona haeleweki anakwambia KIUKWELI KWA SASA SINA HISIA NA WEW.
Mhmm ilikua kipindi kigumu sana,niliona wanawake wote wabaya ehee eti hadi mama.

Ujue kunakupenda mtu hadi unafikia point ukiwa unaplan jambo lako la mbeleni maisha automaticaly na yeye pia anakua na space kwenye fikla zako kwamba mtakua sehemu flani.
Nilimpenda sana yule mwanamke sijui kama nitakuja kupenda tena vile,i wish [emoji23]

Kupitia lile jambo nilijifahamu kidogo ninawezaje vp kudeal na situation mbaya.
Sikumbeleza yule mtu baada ya pale make niliona ule ni udhaifu make in real sense huwez kulazimisha penzi husipopendwa sijui kwa wengine lakn mim no izo nguvu bora niwekeze sehemu nyingine.
Lakn alikua ananitafuta naona amechoka make nilikua kila siku namuuliza nani.

Nilisha samehe now my heart is clean.

2.Mbili.
Kunasehemu nilikua nafanya kaz baada ya mda alikuja mfanyakaz mpya pale.Jamaaa alikua muongeaji sana na nini fresh mimi nikapenda make mimi sijui kiukwel kuongea sana lakn napenda story kinoma ata za uongo.

Baada ya kukaa mda analalika pale mara ohoo hamna pesa atakufa njaa tu haelewi maisha ya pale na polojo nyingi.
Pale kazin ubaya ni kwamba mshara yetu ilikua inafahamika na mimi nilikua nawapiga gape kubwa sana tu.Sasa jamaa sijui chuki au nini mim sielewi kuna kipindi nilipata dharula nikatoka kwa hiyo jamaaa ndo akawepo akawa aniuliza jinsi ya kupata pesa nje na mshahara mimi namuelekeza ehee kumbe si kaniweka round speaker mbele ya wafanyakazi wengine.Nilifanya kumuelekeza awe anapata pesa tunavyojua mshahara hautoshi siku zote
Mhmm kiukwel jamaaa alinikwera kinyama sana na baadae kumuuliza anajiuma uma nilikeleka sana.

Nilimuacha lkn nilisitisha mazoea nae zaidi ya salamu,jamaa sijui alikua anatafuta nini mara ya pili si akawafata watato wa bosi eti ohoo mim nimesema watoto wa mzee wanatamani afe warithi mari.
Kuna mtoto wa boss alikua anakaa pale mara kwa mara nae nimesema hana akili anashinda tu ndani anasubiri urithi.

Mhmm asee kiukwel mamba aliniweza,baada ya hayo yote mtoto wa boss alinitafuta na kunambia nifate yalionilete niache kufatilia maisha yake nilikosa jibu nikamwambia nani alokwambia ndo kumtaja duh nikaishiwa nduvu nilikwambia muache tu nitamfurahisha.

Asubui jamaa nilipomuona nilimfata akaanza kujiongelesha oho sio mimi nini na nini nikamwambia endelea na upuuzi wako nitakufumua akatulia lkn angenijibu ningemchafua kiukwel make nakuaga na asila za haraka badae zinanicost.

Sijui ilikua kesho yake nikaitwa nikaachishwa kaz na mkataba ulikua umeisha life likaanza kua gumu make nilikaa mda sina kaz but trust me huyu mwamba hata haikuzidi week nilikua nishamsamehe lakn ndo ivyo sitaki kua karibu nae.

Nilitoa story hizo kidogo uone haijarishi ni mabaya gani umetendewe lakn JIFUNZE KUSAMEHE.
 
Pole kwa experience yako Mimi naona kwanza nyie hamukuendana pili mlikuwa mna date same age na mda mrefu na wewe hukuwa na experience ya mapenzi zaidi ya huyo mmoja tu.

Pili kabla ya mahusiano lazima muangalie muta benefitiana kivipi nyie wawili na tatizo kubwa lilianza baada ya huyo dada kupata kazi, nyie wanaume sometimes hamtakagi wanawake wapate kitu, hata mkiheshimiwa mnaona mna dharauliwa tu, kiukweli Hilo swala la ndugu Mimi naona lilikuwa la kawaida tu kukaa chini na ku solve basi
 
Ningekuwa sitaki apate kazi sidhani hata ile bahasha ningepeleka. Mimi ndie nilimshawishi kuapply alikuwa ameshakata tamaa nikamwambia andika mimi ntakupelekea mwenyewe. Maana ameshajitolea zaidi ya sehemu tano anaambulia vihela vya vocha na posho.... Ila siku nimeshika bahasha nadhani hata ndani ya nafsi yangu nilikunjua maombi kuwa MUNGU safari hii fanya muujiza apate.....

Amepata anaanza kufanya siri nakuja mshtukia namuuliza ndio anamalizia probation period. Halafu anaanza niletea story za kupambana na shida za home kwao kwanza.... Anagekuwa hana hiyo kazi huko kwao angewasaidia na nini kwa mfano....

Na sio kwamba kwao wanashida hapana..... Ni basi tu ile tabia ya kuyataka majukumu ya familia na kupewa sifa kuwa eeeeh fulani anasomesha wadogo zake, anamsaidia mama yake....Sasa hiyo itakusaidi nini?!

Maana hao wadogo zako hawataishi na wewe milele, watapata wanaume zao wataolewa na wa kuoa wataoa wataanza maisha yao mama yako atazeeka na hatakuwa tena swahiba bali mzigo....

So nimekaa tu kimya but kisasi hiki sikifuti ni kisasi cha damu na nimejiapiza kabisa kuwa sitamsamehe..... Na hata kama ni dhambi ya kunipeleka motoni then am ready...... Wanasema usiruhusu hate ikuconsume but kwa hili i gladly accept to be consumed by hate.......
 
Nimejifunza kitu hapa:-
  • Kujua historia ya nyuma ya maisha ya mtu kabla ujawanae.
  • Maredhi ya wazazi wetu Yanaweza kutuathiri had kwenye Mahusiano yetu
True mfahamu mtu vema, ufahamu ujio wake katika uhusiano na yeye ana plan gani nyuma ya pazia..... Itakuepusha na majanga ikiwamo visasi vinavyoweza husisha umauti.

Ufoo saro aliketa usenge wa aina hii ikagharimu maisha ya mama yake..... Na yeye nusu afe.

Yule bwana kigamboni tumeona juzi zile gunia za mkaa alivyotumia kum'mteketeza mke wake aliyekuwa anamletea mambo hayaeleweki. Ogopa sana mtu anaekupenda na alikuwa hana mpango wa kupenda akikuchukia kukudhuru atakudhuru kwa passion kabisa na ataenjoy kukumaliza.... Sababu wewe ndio source ya maumivu yake......

Wazazi nao sometimes kuongea matatizo yao ya ndani kwa watoto wao huwa wanawanuia mikosi bila kujua.... Unakyta binti anamawazo ya kizee unajiuliza katoa wapi kumbe mzazi kasababisha....
 
Mhmmmm duh maneno makali sana umetamka,tumefundishwa kusamehe saba mara sabini ingawaje sijajua kwa imani yako inakufundishaje.

Mim kiukwel tu kusamehe ni rahisi sijui nikoje lakn baada ya kukusamehe sitaki tena sehemu ya maisha yangu.

Nitatoa mifano miwili kwa mambo niloyaacha yakapita nikasamehe.
1.Moja-mapenzi kiukwel yanaumiza sana sana.Hapa tunazungumzia mapenzi ya kwel kabisa acha ile ya kupretent.Make mim hadi nafika hapa nimependa mara mbili tu kwenye maisha yangu na nimekua kwenye mahusiano ambayo siwez kuyahesabu.
Ok sasa kwa mim kunarelationship moja kwenye hizo mbili nilizokutajia nishapenda maishani mtu from no where anachange mazima.Ushawekeza mda wako na kila kitu baada ya mda kumbana make unaona haeleweki anakwambia KIUKWELI KWA SASA SINA HISIA NA WEW.
Mhmm ilikua kipindi kigumu sana,niliona wanawake wote wabaya ehee eti hadi mama.

Ujue kunakupenda mtu hadi unafikia point ukiwa unaplan jambo lako la mbeleni maisha automaticaly na yeye pia anakua na space kwenye fikla zako kwamba mtakua sehemu flani.
Nilimpenda sana yule mwanamke sijui kama nitakuja kupenda tena vile,i wish [emoji23]

Kupitia lile jambo nilijifahamu kidogo ninawezaje vp kudeal na situation mbaya.
Sikumbeleza yule mtu baada ya pale make niliona ule ni udhaifu make in real sense huwez kulazimisha penzi husipopendwa sijui kwa wengine lakn mim no izo nguvu bora niwekeze sehemu nyingine.
Lakn alikua ananitafuta naona amechoka make nilikua kila siku namuuliza nani.

Nilisha samehe now my heart is clean.

2.Mbili.
Kunasehemu nilikua nafanya kaz baada ya mda alikuja mfanyakaz mpya pale.Jamaaa alikua muongeaji sana na nini fresh mimi nikapenda make mimi sijui kiukwel kuongea sana lakn napenda story kinoma ata za uongo.

Baada ya kukaa mda analalika pale mara ohoo hamna pesa atakufa njaa tu haelewi maisha ya pale na polojo nyingi.
Pale kazin ubaya ni kwamba mshara yetu ilikua inafahamika na mimi nilikua nawapiga gape kubwa sana tu.Sasa jamaa sijui chuki au nini mim sielewi kuna kipindi nilipata dharula nikatoka kwa hiyo jamaaa ndo akawepo akawa aniuliza jinsi ya kupata pesa nje na mshahara mimi namuelekeza ehee kumbe si kaniweka round speaker mbele ya wafanyakazi wengine.Nilifanya kumuelekeza awe anapata pesa tunavyojua mshahara hautoshi siku zote
Mhmm kiukwel jamaaa alinikwera kinyama sana na baadae kumuuliza anajiuma uma nilikeleka sana.

Nilimuacha lkn nilisitisha mazoea nae zaidi ya salamu,jamaa sijui alikua anatafuta nini mara ya pili si akawafata watato wa bosi eti ohoo mim nimesema watoto wa mzee wanatamani afe warithi mari.
Kuna mtoto wa boss alikua anakaa pale mara kwa mara nae nimesema hana akili anashinda tu ndani anasubiri urithi.

Mhmm asee kiukwel mamba aliniweza,baada ya hayo yote mtoto wa boss alinitafuta na kunambia nifate yalionilete niache kufatilia maisha yake nilikosa jibu nikamwambia nani alokwambia ndo kumtaja duh nikaishiwa nduvu nilikwambia muache tu nitamfurahisha.

Asubui jamaa nilipomuona nilimfata akaanza kujiongelesha oho sio mimi nini na nini nikamwambia endelea na upuuzi wako nitakufumua akatulia lkn angenijibu ningemchafua kiukwel make nakuaga na asila za haraka badae zinanicost.

Sijui ilikua kesho yake nikaitwa nikaachishwa kaz na mkataba ulikua umeisha life likaanza kua gumu make nilikaa mda sina kaz but trust me huyu mwamba hata haikuzidi week nilikua nishamsamehe lakn ndo ivyo sitaki kua karibu nae.

Nilitoa story hizo kidogo uone haijarishi ni mabaya gani umetendewe lakn JIFUNZE KUSAMEHE.
Mimi nasemehe mengi sana na huwa tokea moyoni nasamehe na huwa naelewa na kumpimia mtu kiwango cha kudharau kulingana na namna amenikosea.

Ila huyu alichofanya ni intentionally kwa aim ya kuniangamiza hana tofauti na mtu ambae ameambiwa anichomolee mashine ya kupumua na akachomoa bila mashaka.....

Alikuwa yupo na mimi kwasababu ana malengo yake.... Why sasa afake muda wote huu hadi pale anapoona mambo kwake yamemkalia vema kuchomoka. Plus mama yake ameplay part kubwa kumfanya afanye maamuzi ya kichoko vile.....

The pain nilisikia ilitokana na namna nilimtrust sababu yeye ni binadamu pekee nilimruhusu anione mimi kama nafsi na si mimi mtu..... Mama yangu tu ananijua kama mtoto wake wa kiume ila hajui now mimi ni nani, yeye amepata hiyo password halafu anafanya utani.... So nimeichukulia very personal. Ningekuwa wale madruglord kuke mexico mngeona kwenye habari tukio lake..... But at my position i can't do anything crays but inside kwenye nafsi yangu nimeshaplay 1000 scenes namna ya kumdhuru then nikafunga hiyo fikra kwa kurudisha kisasi kwa MUNGU, so ndani ya moyo kilichopo hakiwezi futwa na chochote hata ashuke Yesu mwenyewe muda huu amuombee msamaha nitamwambia take me back to the day nilipomuona then usimpitishe nilipo the i might consider understand the idea ya kupotezea.... But since that can't happen so will forgiveness, it won't happen.

Moyo wangu umeshafunga na kufuri ya kisasi na i have just signed revenge with tears of blood.
 
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote

PALE PADRE ANAPOSEMA MPAKA KIFO KITAKAPO TUTENGANISHAAAAAA.......NDOA LAZIMA IWE CHUNGU
 
Hapo akija chumbani hiyo usiku wa manane, we unahamia sebuleni au chumba kingine na mashuka yako. Dawa ya utoto na upuuzi ni utoto na upuuzi pia.

SIKU IKIMKUTAMZOA TAKA ANAFUKUNYUA MARINDA NDIYO UTAJUA UBAYA WA MAAMUZI YA KITOTO
 
Wewe haujaelewa hata moja katika kisa ninachokisema hapo. Hivi how do u take mahusiano kuwa ni kulala kufanya mapenzi na kwenda club then kila mtu aendelee na maisha yake.... Then what was the point ya kuwa karibu na mtu ukiwa hauna matarajio ya kuwa na maisha ya baadae nae?!

Hakuna mtu anapinga kusaidia ndugu ama familia yako. Shida ipo kwenye kumbadilikia mwenzako malengo mliyoweka pamoja ili utimize yale uliyopanga kichwani kwako yanayokuhusu wewe pekee yako.

Sijasema nataka kulipwa fadhila kwa kusaidia maombi ya kazi that was me being helpful, ningeamua nichelewe kwenda au nisingeenda hiyo kazi pengine asingekuwa nayo. Na mind you amemaliza chuo diploma for more than five years anasota na kazi hapati. Muda wote huu nilikuwa namuiencourage kuwa hata akikosa kazi still tuna namna nyingi za kutengeneza kipato kupitia biashara so tutatulia na kupanga biashara zipi tufanye.....

Swala usilolifahamu ni kuwa unapoishi na mtu muda mrefu tayari anakuwa sehemu ya routine ya maisha yako na anakuwa ni sehemu ya mipango yako unless upo nae kwa maigizo kama huyu takataka alivyokuwa.

Hivi kwa mfano wewe, uwe na mwenzako halafu mshaishi muda mrefu na mnapanga malengo then ghafla huyu mwanaume wako unakuja shangaa anaanza kukukatia mawasiliano baada ya kupishana kauli mbili tatu na mwisho wa siku anaamua kuwa busy na habari zake as if wewe ni stranger kwake....

Na unakuja kuchunguza unagundua tu alikuwa na wewe sababu hakuwa na kazi na so hakuwa na pakwenda then wewe muda wote ulikubali kuwa nae for the sake of your relationship. Then amepata kazi the all of a sudden ana plans ambazo hamkuwahi zijadili....
Nimeelewa hoja yako from different angles mahusiano ni zaidi ya ngono na pia ka mtu umeanza naye olevel mlikuwa na vitu vingi vya kufanana even maturity.
Hyo ya kuomba kazi ulisema ulimuombea na akapata na Mimi msisitizo ulikuwa hapo from experience wanaume mwanamke akipata kitu ndo huwa chanzo Cha mahusiano kuwa shida wanaume huona mnadharauliwa kumbe mhhhhh!!

Na pia ulivosema tu mumetoka olevel wote nikajua tu mahusiano yasingedumu alivopata kazi maana hapo ndo mwenzako ameanza kula ujana, na wewe anakuona sio type yako alikuwa na shida tu vile Hana kazi, so shukuru Mungu kakuepushia na janga Kuna watu wamesomesha wapenzi walipomaliza chuo wakawaacha wakaenda kuolewa na wengine, ndio maana naona ukiwa na hela kupata mtu mwenye upendo ngumu, na ndio maana mahusiano sio vyema kukutana na mtu Hana kitu utegemee real love never.
 
Wadogo zake wanasoma vizuri na wanaishi kwa wazazi wake.... Hawana shida wala hawana hali ngumu of which leaves me so many questions kuwa anaposema ana majukumu ni yapi hayo na before hana kazi nani alibeba na mbona hakuwahi hata nambia....

But tukiongea ukweli utagundua ninyi watoto wa kike mnakaubinafsi sana inapokuja swala la maisha na utafutaji. Wanasema mwanaume akifanikiwa then anatazamia namna ya kurejesha fadhila na kumjali mwanamke wake aliesimama nae kipindi anapambana ila mwanamke akifanikiwa anahisi haitaji mwanaume.....

Hii ni dalili ya umasikini wa damu na tamaa....
Mkuu usitegemee hela ya mtu ikusaidie utaishi kwa shida Sana na sio swala la ubinafsi
 
Mkuu, mambo mengine ni rahisi sana hata hakuna haja ya kujadili. Yeye akilala kwa watoto hadi usiku wa manane, basi wewe lala kwa mke mwenzie hadi asubuhi.
Khaaah [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wakati mwingine mnawalaumu wanawake, tatizo waume wengi hawapendi kuwasikiliza wake zao, akirudi hana muda na wake zao wakurudi ni kula kwenda kulala mke anakuwa na vitu vingi vyakuongea na mme na akitaka kuongea naye jibu kachoka aachwe apumzike, sasa mke akaongee na nani wanaume wengi hamjielewi na hamjui nini maana ya mwenza, mechi zenyewe mbovu mke ataacha kuwa na stress? Nyie ndiyo mnafanya wachepuke kaeni na wazee mpate busara za ndoa.
Hakika umenena vyema
 
Una dada wa kaz hapo kwako ama mtu mzima? Kama ni ndio fanya hivi:-
Mchukue mkeo siku moja umpeleke sehem tulivu jioni mpate chakula cha usiku akiisha shiba anza kuongea nae kwa upole na umwambie jinsi gan hiyo tabia inakuumiza,alafu chukua chumba mlale huko huko msirudi nyumban siku hiyo. Naku ahidi had kufikia asubuh atakuwa ameishajutia tabia anayokufanyia na atarudi kwenye hali yake ya kawaida.

Nimeuliza kama una dada wa kaz ama mtu mzima ili mkitoka Usiku kuwe na mtu wakuangalia watoto
Una busara sana aiseeh, mwanzo sikukuelewa ila hiyo paragraph ya mwisho nimekuelewa vizuri sana aiseeh.
 
Huyo dawa yake ni kumrudia usiku hadi akili imkae sawa, njia hii inatumia na wanaume majabali tu wanaume laini na wanawake mtaona kama mke anaonewa
 
Muda mwingine hivi vitu havisaidii sio kwasababu sio mbinu sahihi hapana..... Ila ni kwasababu watu wanatoka katika different family backgrounds na hivyo wanakuwa na different past yenye migogoro ambayo huwezi ielewa.

Nitakupa kisa changu kwa ufupi ni kirefu sana. Nilikuwa na girlfriend wangu ambae nimekuwa nahusiana more than 8 years. Nimeanza nae tokea tukiwa o level. Huyu binti kwa namna nimekuwa nae nina uhakika alinipenda kweli na mimi nilimkubali kweli sababu ukitazama muda tuliodumu, mambo tuliyofanyiana, makosa niliyosamehe na ukaribu wake na familia yangu ni wazi she's the one.....

Tulianza kushindwana huku ukubwani tulipoanza mazingira ya kukaa pamoja kama wachumba wa kuoana kesho au keshokutwa.

Binti alikuwa ananijengea mazingira ya kutaka tupate sehemu kubwa ya kuishi yaani nyumba ya kuanzia vyumba vitatu jambo ambalo me nilistaajabu na kujiuliza why tuwe na sehemu kubwa hivyo yote ya nini na sisi ndio kwanza tunaanza kujijenga na kuanza maisha yetu. Hakuwa akisema kitu ila nadhani ndani ya moyo wake aliona nampinga jambo la msingi sana at least kwake......

So siku zinaenda nikawa naona katika mazungumzo na jitihada zake ni kunishawishi na kujenga mazingira ya kutaka kuja kuishi na wadogo zake watatu wa kike, wa kiume m'moja katika sehemu atakayokuwa anaishi na mimi jambo ambalo mimi sikuwa naona ni la busara kwa wakati huo na heri lingesubiri.

Siku zinaenda ile issue ikaja kuwa very serious akawa sasa ni anaiweka wazi wazi.... Mimi napinga kwa sababu zangu yeye anatete kwa sababu zake. Mimi napambania kujenga familia yangu na yeye, yeye anapambania kurekebisha changamoto za familia yake...

So hii kitu ikaja kuwa changamoto kwetu sisi wawili katika kufanya maisha pamoja sababu mwenzangu analeta issues za familia yake katikati yangu na yeye na hii inaanza kubana nafasi ya sisi kuweza kusimamia ndoto au malengo yetu wawili.

Akaja kupata kazi ambayo ni mimi ndie nilipeleka bahasha siku ya deadline tena kwa kumuiencourage maana alikuwa ameshakata tamaa na hakuwa tayari tena kutuma ile application. Kumbuka tokea tumeanza 2006 hakuwahi kupata kazi ya mkataba wala kuajiriwa hii ndio kazi yake ya kwanza kabisa ya kuajiriwa rasmi na sio magumashi.

Alipopata kazi tu duuuuuh hakuna rangi sikuiona hivyo vibweka na vituko alivyonianzishia.... Kauli za ajabu zilikuwa zinamtoka.

Nikimuuliza maswali anatoa majibu ya kitata ambayo nikihoji hayo majibu yanakeuga tena kuwa kesi kuwa nimemsema vibaya. Kwamfano nilimuuliza, wewe hauoni kama kuishi sasa hivi na wadogo zako hapa hatutaweza sababu bado hali yetu tunajipanga huwezi kusubiria kidogo, akanambia mimi ninapokwenda wadogo zangu nao wananifuata siwezi wafukuza, me nikamwambia sasa hapo tumewafukuza au tumesema tunajipanga, akanijibu ndio hivyo sasa, nikamwambia hapana hayo ni maisha ya kipemba hatuwezi ishi kama wapemba akaitikia tu "sawa" ila kumbe lile neno akaenda mwambia mama yake.....

Kulitokea mtafaruku wa kila aina hapo kati ila kwa kifupi huyu binti akawa kiburi, akaniruka futi mia na sasa akawa ni total stranger kwangu. Alikuwa anaukaribu na mama yangu but ukaribu ule ulipungua na ukakoma hadi mama akawa ananiuliza fulani yupo wapi nini kinaendelea, nikawa nakosa cha kumwambia mama sababu hata sielewi nianze wapi.

Ile kitu ilinichanganya sana sababu sikuwa nawazia kuwa tutafika hiyo hatua ila nilijikaza kiume. Maumivu yalikuwa makali nikapungua uzito, usingizi ulikuwa upaa most of the time nashindwa hata kuelewa nipo katika ndoto au uhalisia(kuelezea vichache tu maana nilipitia kipindi kigumu sana katika maisha yangu sijawahi kuexpirience).

Nikamtumia tu text moja ya kumwambia ninavyojisikia na kuwa nimeona vita aliyonianzishia sikujiandaa nayo maana sikuwahi kumuona kama adui maisha yangu yote na nilimuamini kuliko mwanamke yoyote then nikasurrender nikasema famililahi heri kukosa kuliko kuumia kila siku na sipati jibu wakati yeye anaona ni mchezo tu hapa unaoendelea.....

Maisha yakaendelea hadi hapa ninavyosema ni mwaka wa pili huu vidonda havijapona but at least naweza kula, kulala na kufanya mambo mengine na kujipanga upya na akili yangu nimeiprogram kujenga maisha bila kutegemea assistance au uwepo wa mwanamke yoyote.

Nilichojifunza katika uhusiano huu nilioujenga kwa miaka mingi sana na ukanigharimu ni kuwa watu wanahistoria zao, na hizi historia huwa zinawashape kuwa na mienendo ya namna fulani ndani ya roho zao. Unaweza kutana na mwanamke akakuonyesha kila dalili kuwa ni perfect choice yako, mkajenga maisha mazuri pamoja kumbe mwenzako alishajiapiza kutafuta mali ili aje arithishe nduguze.... Wewe unajua sasa umemaliza kumbe mwenzako ndio anaanza ndio ile unashangaa utu uzimani mwanamke anaanza kukugeuka anakufitisha na watoto wako uliozaa nae.... Ili akuchanganye umuache abakie na mali au mgawane.....

Yule binti alimuona mama yake ujana wake so alimtazama namna anahangaika na maisha, ndani ya nafsi yake akajiapiza kuwa yeye hatapitia maisha kama ya mama yake na hapo hapo akawa anahofu juu ya wadogo zake wasiteseke (kiuhalisia hawa wadogo zake hawana mateso yeyote wanaishi vizuri, mama yake alipata mume utu uzimani na akaolewa na wanamtoto m'moja na huyu mzee. Ila huyu mzee analea hawa watoto wa kufikia kama wakwake). Ila kwa bahati mbaya binti anasikiliza sana story na mijadala ya manyanyaso ya wanawake so anajitune kuwa na yeye ni muhanga so anajihami kabla hatari haijamkuta.....

Ndio maana nikasema ni vema tukawajua hawa wenzetu wanamalengo gani kabla hatujafanya nao maisha serious. Wanawake wenye malengo Mazuri wapo na wanakuwa na shida moja tu kupata mwenza wa kufikia nae hayo malengo na hawapati. Imagine kupata mwanamke anaetaka kuwa na familia bora na wewe anakusaidia uimarike mfikie hilo lengo.... Halafu imagine kuwa na mwanamke ambae anapretend kupambana na maisha na wewe kumbe anatafuta mali na pesa za kwenda kusaidia familia yake ambayo si kwamba ni duni ila tu ni mihemko ya kujifanya mwanamke wa shoka anatafuta kuonekana mwamba kwa ndugu zake na marafiki..... Huu ni utoto na huwa unawagharimu sana watoto wa kiume....

Mimi niliumia na bado naumia sana hadi sasa, ile experience imenibadirisha.... Hadi sasa ukinambia nimchagulie adhabu naona haipo... Kuna muda hadi nilikufuru nikaamka usiku nikasema hivi kwann nisitafute pistol na risasi nyingi niende nikawachape risasi wadogo zake na mama yake halafu nimtazame usoni akiwa anaomboleza nimwambie hayo maumivu unayoyasikia ni gharama ya upumbavu wako ukiouleta kwenye maisha yangu kunipotezea mda so nimekulipa and we are now even i go to jail wewe go and live the hell u wished upon yourself. Then nikamuwaza mama yangu, nikamuwaza niece wangu, nikawaza mdogo wangu wa kike na ndugu zangu wa kubwa nikajisemea hawa wananihitaji zaidi kuliko ninavyodhania, nikifanya kitu kibaya huyu kima nitamuumiza but hawa nitawaumiza zaidi..... Aisee basi nikapiga goti nikamwambia MUNGU hiki kisasi nakirudisha kwako... Sitafanya chochote ila siwezi kumsamehe huyu binti, siku nitaridhika ni hadi nione na yeye amevunjika mara mbili yangu na maisha yake hayana direction tena na akumbuke alinikosea hapo ndipo nitatulia ila as long as napumua na ndani ya roho yangu milele, sitamsamehe kwa maana sikuwahi mtakia baya lolote na kosa nililolifanya nikukabidhi moyo wangu kwake.... Sitomsamehe....

Hadi hapa ninavyoongea kila siku ninapomkumbuka nanuia ndani ya nafsi yangu kumkumbusha MUNGU kuwa kisasi nimemuachia yeye mimi sitofanya chochote yeye atajua.....
Aiseeh [emoji848]
Pole sana jamani
 
Kwa nini anafanya hivyo
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
 
Wewe Rudi morning tu,hakuna namna.
Na Hilo ndo tatizo la kuonyesha mnawapenda Sana,unatakiwa wasijue hata kidogo Kama wanapendwa Hawa viumbe. Wa kwangu huwa haamini Kama anapendwa,maana saa nyingine natoka saa name narudi asubuhi au sirudi kabisa,aliuliza nkamwamhia nauza machungwa buguruni na usiku ndo biashara ipo Kama vipi twende.
 
Back
Top Bottom