Anaitwa Souleyman Adam Khamis ana umri wa miaka 26 ana urefu Wa mita 2.45

Unawaza sana udini ndugu, ndio maana umeipinda comment kuonekana ya kidini
Kwa mfano nikuulize Pauli makonda , sabaya, jiwe no man muislam atawafikia hawa watu kwa ukatili wao?
Je kwa kuwa ni wakristo niwatetetee...
Mbona hapa nyumbani naishi na kijana muislam safi wa machane anauza duka la spea?

Kwa hiyo unadhan naweza kumpa Samia marks chache kisa dini take?
Kwangu mim Samia no mzuri Mara Mia kuliko like jiwe lililokuwa likituamuru tuliombee

Unajua tuko vizuri ila unalazimisha udini wangu hapo

Wewe ndio umeandika mwanzo kiingereza kuwa huyo jamaa amefanya mafunzo ya Islamists
Ndio nikakujibu kwa sarcasms kuwa hao nao ni waislam? Waliompiga TL na kupotea kwa B? Na viroba?

Ila hujanielewa bado
 
Back
Top Bottom