Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Hii ndo Hiphop halisi sasa

Roma ameitendea haki kazi yake vizuri sana

Kizazi cha leo kina bahati mbaya kinakosa vijana wenye tungo za kufikirisha kama hizi,

Afadhali ROMA anasaidia kupunguza pengo
Halafu nimegundua vijana wetu wa nchi hii wamejaa ushabiki maandazi ndio maana nyimbo za kiharakati hawana mpango Nazo kama Uganda au Kenya, huku manyimbo yasiyo maana kama Uno sijui viuno au baba lao ndio huwaambii kitu.
 
Huyu ndiye Roma nimjuaye miye.Sema naye mjanja huu wimbo angeutoa wakati yuko Bongo saivi angekua mikononi mwa wasiojulikana.Naona kawapa 'dole la kati' walilosahau kulivunja.
'mnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua'
'nimemzaa mpare ila siwachukii wasukuma'
da mistari konzi sana kweli fasihi Roma kaitendea haki.
KWANI AMEUTOA AKIWA WAPI AMESHAENDA ULAYA NA FAMILIA YAKE AU??? Safi internet inasaidia kuanzia production mpaka streaming ila wanajimarket sijui hatima zao zitakuwaje?!
 
Halafu nimegundua vijana wetu wa nchi hii wamejaa ushabiki maandazi ndio maana nyimbo za kiharakati hawana mpango Nazo kama Uganda au Kenya, huku manyimbo yasiyo maana kama Uno sijui viuno au baba lao ndio huwaambii kitu.

Huu utawala kupitia Chombo kisichojielewa cha BASATA ndo unaua creativity

Kwanza Music is a form of freedom of speech. Mtu akitaka kwenda political ni haki yake ya kikatiba

Utawala wa Mkapa na Kikwete vilisaidia sana kukuza muziki wa kizazi kipya, hawa akina Sugu waliibuka kipindi cha Mkapa na waliimba nyimbo zenye mahadhi ya kisiasa mno lakini hukuona Baraza la Sanaa wakati huo likifungiafungia nyimbo hovyo!. Ndo maana leo tuna nyimbo kama Kikao cha Dharura (Siyo mzee wa Prof J) kama urithi wa tungo za sanaa kwa ajili ya vizazi vijavyo

Laiti huo wimbo wa Prof J ungeimbwa kipindi hiki cha BASATA hii ya fungiafungia, huo wimbo ungefungiwa!

Nakuhakikishia, Kwa BASATA hii ya ajabuajabu, Magufuli atamaliza muda wake wa uongozi na hakutakuwa na tungo zozote za kifalsafa na fikirishi kutoka kwa wasanii zitakazokumbukwa katika masuala ya haki za kisiasa na kiuchumi za raia. kwa sababu BASATA hii ya zama za Magufuli inafungia kila aina ya wimbo wenye mahadhi hayo.

Kiufupi BASATA inataka tungo ndondocha zisizo na chakula chochote cha fikra za ukombozi wa kisiasa.
 
ROMA IS THE VOICE OF THE VOICELESS kama kaupload akiwa abroad (USA) alipo Mange tunatengeneza Evarist Chahali NGURUMO, MANGE, TUNDU LISSU na SASA NI ROMA. DIASPORA to warn and criticize the system which denies cricticism, freedom of speech and free elections
 
Huyu ndiye Roma nimjuaye miye.Sema naye mjanja huu wimbo angeutoa wakati yuko Bongo saivi angekua mikononi mwa wasiojulikana.Naona kawapa 'dole la kati' walilosahau kulivunja.
'mnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua'
'nimemzaa mpare ila siwachukii wasukuma'
da mistari konzi sana kweli fasihi Roma kaitendea haki.
ROMA IS THE VOICE OF THE VOICELESS kama kauapload akiwa abroad tunatengeneza NGURUMO, MANGE, Evarist Chahali TUNDU LISSU na SASA NI ROMA. DIASPORA to warn and criticize the system which denies cricticism, freedom of speech and free elections
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom