Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Dogo nia yako ya harakati ni nzuri na njema sana japokuwa si kwa siasa za hovyo kama zetu hapa Tanzania. Itoshe kukuonya hebu acha kuchezea maisha yako kwa kuvimbishwa kichwa na Wanasiasa uchwara!

Tofauti na hivyo jihesabie mwenyewe siku zako za uwepo wako hapa Duniani.
 
Dogo nia yako ya harakati ni nzuri na njema sana japokuwa si kwa siasa za hovyo kama zetu hapa Tanzania.

Itoshe kukuonya hebu acha kuchezea maisha yako kwa kuvimbishwa kichwa na Wanasiasa uchwara!

Tofauti na hivyo jihesabie mwenyewe siku zako za uwepo wako hapa Duniani.
wacheni vitisho vya kitoto nyie MATAGA..
hata wafuasi wa Gaddafi nao walikuwa na upofu kama huu wa misukule ya MATAGA.

sasa.....aguswe Roma afu mtaona watu watakavyonuka shubamit!!
 
Hakuna kitu kama icho,na inawezekana tukakuzika wewe yeye akabaki,anaejua muda wa mtu kuondoka ni mwenyezi Mungu pekee,hata wauaji na nyie mnakufa.
Dogo nia yako ya harakati ni nzuri na njema sana japokuwa si kwa siasa za hovyo kama zetu hapa Tanzania. Itoshe kukuonya hebu acha kuchezea maisha yako kwa kuvimbishwa kichwa na Wanasiasa uchwara!

Tofauti na hivyo jihesabie mwenyewe siku zako za uwepo wako hapa Duniani.
 
Dogo nia yako ya harakati ni nzuri na njema sana japokuwa si kwa siasa za hovyo kama zetu hapa Tanzania. Itoshe kukuonya hebu acha kuchezea maisha yako kwa kuvimbishwa kichwa na Wanasiasa uchwara!

Tofauti na hivyo jihesabie mwenyewe siku zako za uwepo wako hapa Duniani.
Kwani Roma kaanza kuimba nyimbo za aina hii leo
Tangu enzi za JmK Mr president,Mathematics,Viva nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom