Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Mi mbona naimba siku hizi
Pita hapa mkuu kama wewe Mee

Nje wanaonekana kama baba watakatifu yohana ila ni malaya flani hivi mapoyoyo na hawakubaligi kuachika hawa, wengi wao wanazijulia K ukubwani
Hahaha muone huyu nae, kwa hiyo vipapa tumevujulia ukubwani? 😂😂😂
Yaani tumeanza kuchezea uke tukiwa vijana mnatusema hivi kweli?

Hii ni notion tu rafiki, hatujioni watakatifu wala hatupo karibu na utakatifu, ila kama wengine tuzidi kuombeana mtu wa Mungu.

Papa kila mtu anaipenda, hata rc, kkkt, muislam nk, kiukweli ni tamu rafiki 😂😂
 
Pita hapa mkuu kama wewe Mee

Wengine tulikuwa tunakesha bar juu ya meza, tumebadilika ukubwani shida nini? Wewe uliamua kuacha darasa la 7 muda huo wengine hatusikii hatuambiliki! Raha ya ngoma uingie mwenyewe ucheze kwanini tusimliane🥲
 
Hahaha muone huyu nae, kwa hiyo vipapa tumevujulia ukubwani? 😂😂😂
Yaani tumeanza kuchezea uke tukiwa vijana mnatusema hivi kweli?

Hii ni notion tu rafiki, hatujioni watakatifu wala hatupo karibu na utakatifu, ila kama wengine tuzidi kuombeana mtu wa Mungu.

Papa kila mtu anaipenda, hata rc, kkkt, muislam nk, kiukweli ni tamu rafiki 😂😂
Ila huyu mzee😂🙌🏾
 
Sasa mtu una mke na watoto wawili tayari bado Tena una wivu na michepuko Yako,kwahiyo huyo jamaa alitaka amuoe au alitaka amutumie tu huyo Binti asiolewe.Kashindwa kusomesha watoto wake et anasomesha mtoto wa watu wengine,Kisha analeta hasira kwani angetenda wema akaendanzake huyo Binti pengine si angekuja kurudisha fadhila kwa wanae au hata wajukuu wake.
 
Mi huwa nasikitika sana nikionaga hivi, inamana nyie Me hamnaga kingine cha kuwafanyia wapenzi wenu ili mwishowe msiwaletee haya madhara hadi muwasomeshe, mana kuna wengine hadi wanawaua na kuwaua hao wapenzi kisa tu waliowasomesha. Khaaa.

Huwa inashangaza sana pia sababu kipindi anamsomesha unakuta wala hakulazimishwa na huyo msichana bali ni kiranga chake mwenyewe cha kujifanya anajua kupenda. Lol

Mubadilike jamani ili haya mambo yaishe.
 
Back
Top Bottom