Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,447
- 88,008
Ila wasabato mmetia fora..Uasherati na uzinzi havina dini, wote tunafanya.
Ila wasabato mmetia fora..Uasherati na uzinzi havina dini, wote tunafanya.
Mi mbona naimba siku hiziHalafu wewe na usabato wako unamuo binti anayesomeshwa na mme wa mtu kisha unajipa imani Mke mwema anatoka kwa Bwana japo hata hiyo bikira hujaikuta.
Tukiwaambia mnavimba shingo haya sawa.
Funzo: Usioe mwanamke kwa kigezo tu eti cha Dini yako.
Zingatia: Usijaribu kumruhusu mkeo kuimba kwaya ya kanisa lolote lile usije jaribu labda kama wewe ni mzee na yeye ni bibi hapo sawa.
Kwa sababu vichwa vyenu vigumu haya .....sawa!
Tunaishi nao huku mtaani ujue😀😀😀. Nina shemeji yangu SDA..nina mfano wa karibu sanaMsihusishe dini na kilichotokea.
Halafu wala SDA hawapo judgemental, ni vile wamekuwa branded hivyo toka miaka.
Pole sana Seran Elvis Opiyo sio mtu mzuri kabisa atakaa sana gerezani kwa kweli hii imeuza wengiNi tukio la kusikitisha sana linaloonyesha madhara makubwa ya chuki, hasira na kushindwa kukabiliana na kukataliwa kwa njia ya afya.
Msituseme, hata RC, KKKT na wengine wanazini na kufanya uasherati bwana shemeji!!Bwana shemeji kanisa ni chafu, hapa leo hamchomiki 😀🌝
Hao wazinzi Mary na Elvis ni wasabato lakini au unataka kusemaje mkuu?Uasherati na uzinzi havina dini, wote tunafanya.
Kwamba tunawekana kuliko makanisa memgine?Ila wasabato mmetia fora..
Ndio, mmejiweka kitakatifu sana msio na makandokando kuanzia nje mpaka ndani how comes mnaongoza kwa kutembeza rungu?Kwamba tunawekana kuliko makanisa memgine?
Umelia sana kwa hili tukio la waimbaji wa SDA ChoirYani unanipa mimi pole kivipi?
Ndio ni wasabato mkuu, ila wazinzi na waasherati sio wao tu, hata madhwhebu mengine wanazini mkuu.Hao wazinzi Mary na Elvis ni wasabato lakini au unataka kusemaje mkuu?
Kimya kimya sana hawanaga mambo ya kupaza sauti ila wanakwaya unawajua vizuri sio wa SDA ni madhehebu yote ukisikia huyu ni mwanakwaya kaa mguu sawaNdio, mmejiweka kitakatifu sana msio na makandokando kuanzia nje mpaka ndani how comes mnaongoza kwa kutembeza rungu?
Ndio shemeji yako ni msabato!Umelia sana kwa hili tukio la waimbaji wa SDA Choir
Hapa tupo sambamba mkuu nawaelewa sana wanakwaya maana nishahudhuria vikao vyao mara kadhaa story zao tu unachokaNdio ni wasabato mkuu, ila wazinzi na waasherati sio wao tu, hata madhwhebu mengine wanazini mkuu.
Mbona mi naimba sana choir?Kimya kimya sana hawanaga mambo ya kupaza sauti ila wanakwaya unawajua vizuri sio wa SDA ni madhehebu yote ukisikia huyu ni mwanakwaya kaa mguu sawa
Hainaga ushemejiNdio shemeji yako ni msabato!