Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Niliachaga kuimba kwaya 20yrs ago kwasababu hiyo, leo unakula mke wa mtu ili umpe chance ya kuimbisha next Sunday 🤠🤠🤠😭😭
 
Acha uoga mkuu, mimi nakupa taarifa… wewe ndo unaamua kuzihisi vibaya! 😃

😂😂 Aiseee sio kama nakutishia, nakutag ili uone upande mwingine wa maisha… sio kila kitu ni soft bro.

Mhenga Nakwambia ukiona giza vizuri, ndipo unaelewa thamani ya mwanga.
Mmmh mkuuu acha haya mambo haya daaah..

Yaani badala ya kuogopa wanyama wa mwituni. Sasa tunawinda na Wenyewe kwa wenyewe
 
Elvis ni mwanaume aliyeoa na ana watoto wawili.!!!!!!!
Nimesoma replies ila what I have not seen ni mjadala kuhusu age difference ya hawa watu wawili.

Huyu binti ana miaka 24 na allegedly amekua kwenye uhusiano na huyo married man for over 8 years, which means jamaa alianzisha huu uhusiano binti akiwa na miaka 15 au 16 (most likely alianza kumtamani na kummendea hapo kanisani akiwa na umri mdogo chini ya hapo).

200.gif

We don't talk enough about grooming and sexual abuse kwenye jamii zetu za kiafrika. Wanaume kama Elvis wanaoanzisha mahusiano na mabinti wadogo huwa wanajisikia ni kama wanawamiliki na hawakubali kuachwa.

This whole situation is very sad for the parties involved (the wife, watoto wa huyo jamaa na binti aliyetaka kuuliwa).
 
View attachment 3562715

Sweetheart, apparently, people in our society don’t see age gaps as an issue, even when the girl is not old enough to legally consent. Grooming ni msamiati mgumu sana kwetu, sad part ni kuwa hata wanawake ni enablers wa grooming, utasikia ameshakuwa apate mchumba, 16 of age 🥹

Maadili ni tatizo sugu sana kwenye jamii zetu. Binafsi Nakumbuka watu wote walionitongoza nikiwa age below 24 na unfortunately nimewaresent, i do not see them as human enough.
 
Back
Top Bottom