Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Ammwagia tindikali mchepuko wake kisa kaachwa

Mi huwa nasikitika sana nikionaga hivi, inamana nyie Me hamnaga kingine cha kuwafanyia wapenzi wenu ili mwishowe msiwaletee haya madhara hadi muwasomeshe, mana kuna wengine hadi wanawaua na kuwaua hao wapenzi kisa tu waliowasomesha. Khaaa.!

Huwa inashangaza sana pia sababu kipindi anamsomesha unakuta wala hakulazimishwa na huyo msichana bali ni kiranga chake mwenyewe cha kujifanya anajua kupenda. Lol

Mubadilike jamani ili haya mambo yaishe.
Chanzo cha tatizo huwa ni kutokuelewana malengo. Ni asili yetu wanaume kujitoa kusaidia/kuwatunza tuwapendao. Shida inakuja pale unakuta unayejitolea kwake kiasi hicho hajui, hapendi, hatambui, au hathamini unachomfanyia halafu na wewe mwanaume unayejitolea kufanya hayo yote hujui hilo. Kifuatacho hapo mara nyingi huwa ni majanga.
 
Kwa wafatiliaji wa kwaya ya Redemption Ministers Melody watakuwa wanamfahamu dada huyu.
Binti anaitwa Claire Mary amemwagiwa Tindikali na mtu anayedaiwa kutumwa na Ex boyfriendwake aitwaye Elvis !!

Taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba:

Claire ni msichana mwenye umri wa miaka 24, mrembo na mwenye mustakabali mzuri sana wa ndoto yake .

Baba yake Claire ni mchungaji wa kanisa la SDA.

Elvis ni mwanaume aliyeoa na ana watoto wawili.

Wote wawili walikuwa waimbaji hodari katika kwaya ya kanisa la SDA.

Inadaiwa Elvis alimsaidia Claire kugharamia masomo yake ya chuo.

Walikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka kadhaa, lakini Claire aliuvunja ghafla.

Elvis alijaribu kujiua bila mafanikio baada ya kugundua kuwa uhusiano umefikia mwisho.

Inadaiwa Elvis hakuweza kukubali kukataliwa, hivyo akaajiri mtu mwingine kutekeleza shambulio la kumwagia Claire tindikali kama kulipiza kisasi.

Claire kwa sasa anapigania maisha yake katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (Kenya National hospital)

Elvis amekamatwa na huenda akakaa gerezani kwa muda mrefu, mbali na mke wake na watoto wake wadogo.

Maisha ya wote wawili hayatakuwa tena kama yalivyokuwa awali.

Ni tukio la kusikitisha sana linaloonyesha madhara makubwa ya chuki, hasira na kushindwa kukabiliana na kukataliwa kwa njia ya afya.

Demu mwenyewe mbona mbaya hivyo, sura ya kiume kabisa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu naomba nijue hii wanayoita tindikali..
Ni hizo conc HCL au kuna namna zinatengenezwa zaidi,

Maana hizo conc HCL mbna tumecheza nazo sana maaabara na wala hazikua na makali hayo
 
Mkuu una nia gani na afya yangu ya akili 🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵🫵😂😂😂😂

Unataka nikiwa naona tag yako nifungue kwa umakini sana aiseee

Yaani mada unazonitag ni za kutishiana amani aiseee
Acha uoga mkuu, mimi nakupa taarifa… wewe ndo unaamua kuzihisi vibaya! 😃

😂😂 Aiseee sio kama nakutishia, nakutag ili uone upande mwingine wa maisha… sio kila kitu ni soft bro.

Mhenga Nakwambia ukiona giza vizuri, ndipo unaelewa thamani ya mwanga.
 
Back
Top Bottom