lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
tena nakuhakikishia kabisa kuwa kama kweli UWT wanauchungu na wameapa kulinda nchi hii,wao ndio wangekua wa kwanza kuibomoa CCM kutokana na matendo yanayoashiria kutoweka kwa usalama na amani ya nchi. CCM ya sasa hivi ni tofauti na ya enzi za Nyerere iliyokua inalinda rasilimali za nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa manufaa ya vizazi vijavyo. Usalama wa taifa wa nchi kama USA wanamchunguza hadi Rais kwa matendo yake wakati sisi tunaiona CCM kama dhehebu la Mungu lifanye makosa lisifanye lazima lilindwe tu.Naamini UWT wengi wana umia sana na madhira ya dhehebu hili CCM.