ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
- Thread starter
- #161
ni wazi we ni mlevi hapa si FB rudi ukalale ukiamka utatambua what i meanUmekosa jambo la maana la kuwasilisha hapa Fb? Unaanza majungu ya kuangalia maisha ya watu badala ya kushughulika na issue zinazotusumbua sasa? Hebu acha uchochezi na fitina za kijinga kabisa. Nimechukia kusoma hoja ya namna hii kutoka kwa mtu nilliyedhani ana akili kama wewe.