YEYE MBUSHI, kwa uliyoyaandika hapo juu ni kwamba humjui Mabere Nyaucho Marando, pole sana kijana. Huyo ndiye mwanamageuzi kunukuliwa akitoa kauli ya Mwalimu kufilisika kisiasa wakati upepo wa mageuzi ulipotia mguu nchini kwa mara ya kwanza. Kauli hiyo ya kushitua, iliyotolewa Mwalimu akiwa bado hajamkabidhi Raisi Mwinyi uenyekiti wa CCM, ilisababisha Mabere aogopwe na kutengwa na ndugu, marafiki na wanataaluma wenzake. Mabere Nyaucho Marando ni mzalendo wa kwanza kuukataa uteuzi wa Raisi Mwinyi kwenye tume ya eti kuwauliza Watanzania kama wanaridhia demokrasia ya vyama vingi akidai ni kufuja hela kwa jambo lililo wazi. YEYE MBUSHI, kubali kuwa ni kweli humjui Mabere Nyaucho Marando; hujui CCM ilivyohangaika na inavyozidi kuhangaika usiku na mchana kumrubuni lakini mara zote inaangukia pua. Kwa Chadema huyo jamaa ni mtaji tosha...acha kukurupuka.Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana. Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
Nimesema toka mwanzo kuwa mtanipinga kwa kuwa hamjui historia ilofichwa
Naunga mkono hoja. Alishasema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa yeye ni shushushu ie usalama wa taifa na ile kazi huwa haiachwi, ni ya maisha, hawafukuzwi.
Habari wana jf....
Napenda kuwajuza kuwa kuwepo kwa mtu huyu ndani ya cdm ni hatari sana hata akifukuzwa leo cdm wamechelewa sana.
Marando alikuwa mshauri mkuu ikulu enzi za Mwl. Nyerere na anazijua siri kubwa za ukomboz kusini mwa Africa.
Wengi mkitizama umri wake mnaweza kuuliza au kupinga hoja yangu lakn mm nafahamu kinachoendelea...
Mabere ki umri ni mkubwa sana kuliko mdhanivo.
Nasema huyu ndo mbaya wa cdm...
Nawasilisha.
Marando ninamfahamu binafsi japo siyo kwa karibu sana. Alikuwa ni mmoja wa timu ya usalama wa taifa nyakati za Nyerere ambapo kulikuwa na timu kali sana ya akina Walingozi. Hata hivyo mwanzoni mwa mwaka 1987, ikiwa ni ndani ya mwaka mmoja tu baada ya Nyerere kuondoka madarakani, timu ya usalama wa Taifa pale Ikulu ilibaidilishwa sana ikiwa ni pamoja na kustaafishwa kwa Opiyo ambaye ndiye aliyekuwa mkuu wao. Marando akaanzisha kampuni yake ya sheria, kwa vile amesomea sheria, na ndipo pia alipoanzisha vuguvugu la kudai vyama vingi vya siasa kupitia ile mikutano yake ya NCCR; mimi nilihudhuria mikutano michache ya NCCR kabla hajaanzisha chama kilichopewa jina la NCCR-Mageuzi.
Sijajua lengo lake katika NCCR ile wakati huo kwani inawezekana ilikuwa ni preemetive tactics, ila kwa yeyote aliyekuwapo Tanzania mwaka 1995 enzi za NCCR-Mageuzi kabla haijachafuliwa na Mrema ni vigumu kuamini kuwa kweli Marando bado alikuwa akiitumikia serikali ya CCM wakati huo. Na iwapo alikuwa haitumikii CCM wakati huo, ninakuwa na ugumu kuamini kuwa atakuwa anaitumikia CCM leo
Kweli wewe ni mbuzi, sasa marando amefanya nini/ ndio amenzisha ile adf nalu yenu au??!! wacha njaa
Nani kakudanganya chadema inabomoka?
Nimesema toka mwanzo kuwa mtanipinga kwa kuwa hamjui historia ilofichwa
Baada ya kugonga mwamba kuisambaratisha CHADEMA kwa kumutumia ZITTO sasa mnataka kumtumia MARANDO endeleni lakini nawaambia ukombozi huu unacheleweshwa tu lakini uko palepale muda ukifika hakuna wa kuzuia nguvu ya umma
Camp05 usiogope kivuli watu wakichoka wanabadilika, hata ofisini unaweza kugeukwa!!
Marando alisha choka na mfumo
amebadilika!!