Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,468
- 16,168
Naunga mkono hoja. Alishasema kwa kinywa chake mwenyewe kuwa yeye ni shushushu ie usalama wa taifa na ile kazi huwa haiachwi, ni ya maisha, hawafukuzwi.
Mmeshindwa kuwangoa kucha sasa mnataka kuwagombanisha?
Poor strategic plan, poor CCM!