Amini usiamini Marando ndo anabomoa CHADEMA

Lakini,naomba niseme hakuna ubishi,watanzania ni regerege,why!
Tunalalamika Tembo wanaisha,harafu mtu anasema kuna orodha ya poacher 320 harafu hakuna hata kuhoji,
Ukoo unapiga kampain mtu arudi ikuru,watu kimya,ahadi hadi za boat Dodoma,watu kimya,mtukufu kashikwa na madawa china na ndege kumduata huko usiku,watu kimya,Twiga Wako airport,watu kimya,Loliondo ni Uarabuni ndani ya Tanzania watu kimya,Barabara chini ya viwango,watu kimya,wagaratia nyie,ni nani kawaroga?
 
Hata mm naweza kuungana nawe, huyu jamaa kafanya usalama wa Taifa. Pia kitendo cha CDM kumteua TINDU LISSU kuwa mwanasheria mkuu wa cdm na kuwa acha safari na Marando nika hisi kuna jambo nyuma. Afu kuna yule MM, M1 ;mmoja hakujulikana, huenda akawa yy ila cdhan ki urahisi hivyo!! Uchunguzi wa kina unahitajika.

Asante kk kwa mchango wako
 
Lakini,naomba niseme hakuna ubishi,watanzania ni regerege,why!
Tunalalamika Tembo wanaisha,harafu mtu anasema kuna orodha ya poacher 320 harafu hakuna hata kuhoji,
Ukoo unapiga kampain mtu arudi ikuru,watu kimya,ahadi hadi za boat Dodoma,watu kimya,mtukufu kashikwa na madawa china na ndege kumduata huko usiku,watu kimya,Twiga Wako airport,watu kimya,Loliondo ni Uarabuni ndani ya Tanzania watu kimya,Barabara chini ya viwango,watu kimya,wagaratia nyie,ni nani kawaroga?

Mzee wa kaya anawalinda kwa hiyo hawana wasiwasi.
 
kwa hiyo? hadithi yako inatufundisha nini?
 
Anayevuruga chadema ni mzee mtei..anatumiwa na ccm kuivuruga chadema
 
Huyu ndio aliua upinzani na alitumika pia kummaliza Mrema..apigwe tuu tumechoka.
 
Kk umenena nashukuru sana kwa utambuz wako mungu akubark sana
 
Thread ya kitoto hii! Kama aliwahi kuwa Afisa Usalama ndio awe msaliti wa cdm! Vinginevyo labda kama uma chuki na Usalama wa Taifa.
 
Lakini,naomba niseme hakuna ubishi,watanzania ni regerege,why!
Tunalalamika Tembo wanaisha,harafu mtu anasema kuna orodha ya poacher 320 harafu hakuna hata kuhoji,
Ukoo unapiga kampain mtu arudi ikuru,watu kimya,ahadi hadi za boat Dodoma,watu kimya,mtukufu kashikwa na madawa china na ndege kumduata huko usiku,watu kimya,Twiga Wako airport,watu kimya,Loliondo ni Uarabuni ndani ya Tanzania watu kimya,Barabara chini ya viwango,watu kimya,wagaratia nyie,ni nani kawaroga?
Mkuu hebu jaribu kulianzisha hata ujipige petrol mbele ya jengo la bunge kama yule watanzania labda mshipa wa u lege lege utakatika nakulianzisha hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom