Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Nakusanya ushahidi endapo mleta thread kadanganya uma namfungulia mashtaka mahakamani!

Kama huna hela utachapiwa tu kama unayo hamna wa kukusogelea mkeo

UKIWA NA HELA NA KITANDAN UKIWA MCHOVU NAYO SHIDA
 
hii karne nadhani wanaume na watoto wakiume wengi wanawahi kukua kimwili ila kiakili bado sana,maisha ya vijana wengi sana wakitanzania na kiafrika yanaongozwa na fiction tunazoziona kwenye movie kuliko uhalisia wa maisha yetu..!kikubwa tunakimbizana na muda ambao umekwisha tutupa mkono yaani technologia na sayansi kwa ujumla..!!sasa ku overcome hilo jambo nikuwa patient na kujaribu kulifanya kila jambo kwa hatua tena kwa ukamilifu
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Unantafuta eeehh!!

umsalimie umbea tu!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
Back
Top Bottom