Johnsontz24
Member
- Sep 17, 2016
- 9
- 2
Ni ukweli usiopingika
Kwa hiyo na wewe unachepuka, tulia na Mumeo MamaaKwanini awe wako peke ako, kwani ni sumu hiyo?
unapozungumzia wanawake na mamaako yumo.. unaogopa nini? sasa ni hivi, kama unajua mamaako ni mzuri, basi na yeye anapigwa mashine nje ya ndoa, na una baba wa kambo kibao.Umepanic bro,hbr za wazazi sio mahala pake bna!.
Amani.Ok, let's leave it alone.
Mie ni mwanamke best, hiyo inatokeaga kwa wote bhana hamna haja ya kumfuatilia mtu mzimaaNa hii ndio sababu kwanini wanaume mnakufa mapema kuliko wanawake!
Mkuu sio wote wapo hivyo lakini amini nakuambia, zaidi 78% wanawake walio ktk ndoa wamewahi au wanachepuka. Swali Je wakwako (wewe kama mwanaume) hayupo ktk hao wanawake 78 kati ya wanawake 100? utaona hiyo ni probability ambayo chance ya success (namaanisha uwezekano wa kuchepuka) ni kubwa kuliko fail (uwezekano wa kutochepuka).Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]Baby hawa wanafiki nafiki kama kina atoto usiwasikilize
Hawajui tulipotoka!
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Napita tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unaota?[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
usiku mwemaa!!