Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Naona baada ya kugundua mkeo anamegwa huko. Umekuja kujifariji huku....Huwenda mkeo anatoa hadi mtandao pendwa...vumilia tu....ulimpenda mwenyewe, ulimchagua mwenyewe
Huo ndoukweli akazemoyo asijitengenezee sababu kuaalichofanyiwa nikila mtu anafanyiwa. Inawezekana unavitabia au vikasoro ambavo kila mwanamke lazma atakucheat ndo life bro, jikaze uface the reality
 
Naamini coz kila nikikumbuka namna navyowafanya na wanavyoingia king kipumbavu HAKUNA MWANAMKE AU MUME WA OEKE YAKO
 
Wapo wanawake na wanaume waaminifu katika ndoa lakini kwa kiwango kidogo,walio wengi sio waaminifu kwa sababu zifuatazo;kufanya mapenzi ni starehe bora kuliko starehe zote zilizoko duniani,wengine hufanya mapenzi kukidhi mahitaji ya kuishi kwa kujiuza na wengine hutafuta hiyo starehe kwingine nje baada ya kuona ndani hapati sawa au anaenda huku na kule kufurahisha nafsi yake kwa kustarehe na watu wengine.
 
Salaam ndg zangu.

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu ktk ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako ktk dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekua wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaaaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikua na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa ktk mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Nahua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyejeeee????

Hongera kwa ku kua....nasema hivyo kwa sababu hii kitu si kigeni, kilikuwepo toka enzi za mababu sema tu wazee wetu waliweza kumezea kwa kishingo upande. Karibu duniani.
 
Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij

It depend kweli na typ ya mkewe! Sio wote
 
Na waliosababisha yote hayo ni wanaume! Hapo zamani wanaume ndo walianzisha michezo ya kuchepuka na sasa wanawake wamejibu mashambulizi mnaanza kulalamika. Walaamikieni mababu na mababa zenu!!!! Hao ndo wameharibu mioyo na fikra za wanawake wa sasa.
 
Mabwakuu. Kizuri kula na mwenzio
Unaona eehe! Ukipata kizuri uwe tayari kushare tu! Wanawake ambao sio wazuri sana hawawataki wanataka aina ambayo kila mwanaume anataka! Afu wanategemea wao kua wamiliki pekee!
 
ukimaanisha wanawake wazuri wanajirahisisha sana? are you one of them? or you are ugly?
 
Akuuu! Am presentable! Sio ugly. Hawajirahisishi ila wanasumbuliwa sana.
 
lakini comment yako inamaanisha wanawake wazuri haiwezekani kumilikiwa na mtu mmoja kwa sababu ya uzuri wao.
kama ulivyosema ukipata kizuri uwe tayari kushea tu.. kwa hio hata wewe ni mgawaji
 
Namaanisha wako hatarini zaidi!
 
Salaam ndg zangu.

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu ktk ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako ktk dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekua wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaaaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikua na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa ktk mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Nahua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyejeeee????

Mkuu
Ninakubaliana nawe kwa kiasi kikubwa. Kina dada/mama waleo asilimia 99% si waminifu.

Lakini tunao 1% iliyosalia ambayo ni committed kwa waume zao.

Hawa viruka njia definetly hawezi kuwa wako tu kwani ulimkuta na wengine ukaunga mnyororo.

Nina uhakika ya baadhi ya wanawake ambao hawana wala hawategemei kuja ku share mwanamme mwingine dhidi ya waume zao. Ndo hiyo 1% niliyokupa.
 
Back
Top Bottom