Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Aaahh!wapi hapa kafika hapa!!

Huko kungine ilikua donoa donoa!!
Ataachaje kudonoa donoa wakati ndiko kulimfanya akupate? Anaendelea kudonoa tu as usual, we tulia lea watoto bwana mbona msumbufu!!!
 
Ataachaje kudonoa donoa wakati ndiko kulimfanya akupate? Anaendelea kudonoa tu as usual, we tulia lea watoto bwana mbona msumbufu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata shetani kuna muda huwa malaika!!
so my babua amebadilika kawa malaika mkuu!!

nimemtulizaaa!
 
Cha peke yako kabur tuuuuu
Vingine tunashare kwa upendo tuu
Mwanamke ...mwanaume WA peke yko utamtoa wapi
Atumike popote akimaliza akikoshe akija endelea kutumia
Hii ni nchi ya itikadi ya ujamaa na kujitegemea. Kidogo kilichopo lazima tugawane!
 
Sijui Ashadii, Mwanajamii One, Madame X, Nyumba Kubwa, First Lady, Lizzy, na Faiza Fox wako wapi watupe darsa hapa
 
Salaam ndugu zangu,

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu katika ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako katika dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekuwa wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikuwa na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa katika mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Najua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyeje?
mimi naamini bado wako, inategemea na ulikoweka imani yako. mtegemee Mungu awe kiongozi wa familia yako nawe utaishi kwa raha na hamtasalitiana kwa kuwa mna hofu ya Mungu ndani yenu
 
Na hakuna mwanaume wa peke yako tunabadilishana tu
 
KWANI LAZIMA KUOANA. SI MKAE SINGLE TU MPKA MFE.
KAMA UNAHITAJI KUGEGEDWA BILA KIKOMO WE KUWA SINGLE UZIPANGE WEEE MPK UCHOKE
 
Back
Top Bottom