Hapo ndipo unapokosea bro! pete is an OBJECTIVE wakati uchumba is a SUBJECTIVE........kwani pete ya uchumba inaziba K ya mwanamke.........It's a psychological manner rather than anatomical and physiological related with your partnerNilimwonyesha upendo wangu wa dhati maana nilishamvisha hadi pete ya uchumba bro
Mhhh we mwanaume mbona kama nakujua wew.....mana hyo storiiiii....
Kwa jinsi ninavyojua pete zaina utaratibu wake,wengine huvalishwa siku ya kutoa mahari,wengine wanaandaa tafrija nk,kimsingi unapovalishwa pete maana yake jama anakuwa ameshatoa mahari sasa kama wanavalishana tu usingizini umeamka asubuhi unapete hilo ni tatizo,hebu sema wewe mtu kuanzia mapenzi ya kawaida mpaka ndoa inatakiwa uchukue muda gani kwa mtazamo wakoPete kitu gani Daudi1? Tena siku hizi wanazibiana rizki tu,mtu anavalishwa pete mpaka inafubaa hakuna dalili ya ndoa.
Bint angekuja akaeleza yake story inge balance,wanaume wengi wanadanganya mabint na pete then wanaanza kuwahubiria uvumilivu huku street wanaendelea kufungua wallet kama kawa!!![/QUOTE
Kwa hili chukua tano ni kweli tena style yao mpyaa wanaenda kununua pete za kavungwe wanakuja na mbwembwe nyingii wanakupotezea mdaa baadae wanakutaftia sababu baada ya kukutumia kama toilet paper. Uliona wap uchumba miaka mitatu kama sio kuzibiana rizki za ndoa... Bora hata alivyojichukulia hako ka laptop ingawa hakana thamani juu ya mda alioupoteza
c ukatafute ya USED laki mbili umpe uachane nae??!!!tupa jongoo na mti wake
Hata kama amekuchukiza.... Isiwe sababu ya kuacha kumpenda!
We mnunulie tu pc uliyomuahidi!
Hayo ndio mapenzi ya kweli! Atakukumbuka sana kwa hilo!
Excel kwani akimuachia atakatika vidoleeHata kama amekuchukiza.... Isiwe sababu ya kuacha kumpenda!
We mnunulie tu pc uliyomuahidi!
Hayo ndio mapenzi ya kweli! Atakukumbuka sana kwa hilo!
Kwa jinsi ninavyojua pete zaina utaratibu wake,wengine huvalishwa siku ya kutoa mahari,wengine wanaandaa tafrija nk,kimsingi unapovalishwa pete maana yake jama anakuwa ameshatoa mahari sasa kama wanavalishana tu usingizini umeamka asubuhi unapete hilo ni tatizo,hebu sema wewe mtu kuanzia mapenzi ya kawaida mpaka ndoa inatakiwa uchukue muda gani kwa mtazamo wako
Kama zingekuwa na utaratibu huo watu wasingeng'ang'ania laptop za watu wakati wakitemwa... Most of men nwdays wanayatumia mapenzi ya dhati na vipete vyao uchwara kama defence mechanism ya kuwatumia wasichana hovyo na kuwapotezea mda waoo... Kama humpendi c umuache apate anayempendaa matokeo yake ndo haya unakaa na mwanamke anakubinualia bure miaka miwili na kitu anaona hausomeki anaamua kutengeneza kikosi cha siri siri ili hata ukimuacha awe tayari ameshakava baada ya miezi minane unakuja eeh umenisalitii cjui nirudishie vyangu ooooh nilimuahidi na mengineyo..huna lolote inawezekana ulikuwa na mpango wa kumuanza kwa kuwa umegundua amekuanza unataftia sababu ya huruma ya watu wakutie ujasiri na kukufariji kwa ujinga ulioufanyaa..
acha hizo wewe unajua ndani ya mahusiano yao waliahidiana nini?
Dah! madam mbona umekuwa mkali pana nini hapaKama zingekuwa na utaratibu huo watu wasingeng'ang'ania laptop za watu wakati wakitemwa... Most of men nwdays wanayatumia mapenzi ya dhati na vipete vyao uchwara kama defence mechanism ya kuwatumia wasichana hovyo na kuwapotezea mda waoo... Kama humpendi c umuache apate anayempendaa matokeo yake ndo haya unakaa na mwanamke anakubinualia bure miaka miwili na kitu anaona hausomeki anaamua kutengeneza kikosi cha siri siri ili hata ukimuacha awe tayari ameshakava baada ya miezi minane unakuja eeh umenisalitii cjui nirudishie vyangu ooooh nilimuahidi na mengineyo..huna lolote inawezekana ulikuwa na mpango wa kumuanza kwa kuwa umegundua amekuanza unataftia sababu ya huruma ya watu wakutie ujasiri na kukufariji kwa ujinga ulioufanyaa..
Ndo maana nakupenda kikaka kaka
Excel kwani akimuachia atakatika vidolee
Kanunua cmu kampa demu alipoachana kamnyanga'anya ahahahaha kifuta jasho hicho babu wewe sio asili ya mwanaume kudai dai ulivyotoa laki 9 tu wengine wanahonga nyumba na wanaachwa na hawatii mguu kudai lol
wala!!! hata kucha hazing'oki Queen Horse!
inaonekana hawa walikuwa wanapendana kwa kupoteza network sana!!
so the reward of the sis is to take the computer!
ndio yale yale ya mzee yusuph.. '' kanunua sim, kampa dem, walipoachana,... kampokonya!!
basi mrudishie laptop yake....:smiling:
Nilimwonyesha upendo wangu wa dhati maana nilishamvisha hadi pete ya uchumba bro