Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Hii ndio ileee kanunua simu kampa demu walivyoachana kampokonya.

Back 2 topic
Hapo hata mimi nachukua changu seriouly hata kama tumlipendana asieee. Binafsi sipendi kupewa coz napigana nitafute but ikitokea natafuta nampa afu analeta uchizi nachukua vyangu watu wanachukua hadi mashuka... Itakuaje hiyo tanakilishi. Akuu nabeba vyangu kwa kweli

Kuna watu watakwambie vile wewe "mchagga" ndo maana unasema ivo
 
Acha unyonge km ulimwazima nenda kachukue acha ujinga ucwe ---- mademu huwa wanapenda sana kuwachiwa vi2 na wanaume wanyonge km wew
 
Huu ndo ujanja walioubuni wadada wasio na mapenzi ya kweli,shukuru tu kwa vile kakuachia ka-roho kako
hata mm yameshanikuta kama hayo
 
Acha unyonge km ulimwazima nenda kachukue acha ujinga ucwe ---- mademu huwa wanapenda sana kuwachiwa vi2 na wanaume wanyonge km wew

hiyo kweli wanapenda saaaana na watu wengi wameshalizwa kwa style hihii
 
Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?
Mkuu, laki 9 nyingi sana, komaa uipate aiseee,
 
yani unadiriki kuishi na mwanamke miaka mitatu bila malengo?.. mmh!! eti dem wako-!!

kwa usawa upi???? tena shukuru kachukua ki-pc cha 300k!!! angebeba kabisa na hati za nyumba aipige bei ndo ujifunze!!

three years is too long to stay with a woman with no 'malengo'!!!!

inaonekana mlikuwa mnapendana kwa kubahatisha sana!! haiwezekani compyuta tu ndio isababishe uwe na hasira kama vile umenusurika kung'olewa korodani!!.. hahahaaa!!!
 
dah unaweza ukalipa nguvu zake wakati wa kumake love?????????? je filings zake,vipi kukubebaa
 
sasa mnapoelekea wanawake ni kwenye ujambazi kupitia mgongo wa mapenzi......mtakwisha dada zangu
 
badiebey yeye kunisaliti sio kujidhalilisha ila mimi kudai vitu ni kujidhalilisha tatizo hamjui usaliti sio halali hata adam na hawa Mungu aliwatimua edeni kanuni ni moja tu kwa wasaliti.
alafu vitop vya buku si vifahamu zaidi ya 15,000 and above.


hata kama jamani,YOU ARE BETTER THAN THAT,pole kwa kusalitiwa lakini jaman usichukue hadi nguo lohh....uchungu wa kusalitiwa naujua hata mimi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom