Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Matatizo ya kugusa rafiki unayaona? Ukionja nyama ya mtu...... Umeniamini sasa?

lazima ulipe ila wewe ukiwa na mpenzi watakusaidia kugusa.... wewe ukiwa unasubiria ufike miaka yako ile ya kutoa lita 5
 
mi si muajiriwa tu,nafanya kazi kulingana na maelkezo ya bosi wangu.ananilipa na kunipa siku mbili ili nidai kwa ajili yake

kwa kuwa unatafuta pesa we nenda tena dai hata ukiweza mpige kabisa na ukifanikiwa nasikia hata ile simu anayo ni mshikaji kanunua chukua tuje tuunze sawa rafiki
 
Naamini ni vitu vingi ulivyo mpatia, ila kwakua hili linaonyesha kukuumiza sana basi idai.
Fanya kama unarejesha mahusiano yenu halafu utaichukua kiulaiiini.
 
Kuna muda technique zote zinayeyuka kuna watu wako serious kwenye haya mambo hawataki ujinga ukishikiwa bastola hizo tekiniki unazitoa wapi zinakuwa zimeyeyuka hapo kilichobaki ni kutapika ukweli tu!

akinishikia bastola navua nguo
 
samehe mara saba sabini mpaka umempa hiyo laptop inamaanisha mlishibana haswaaaaaaaaaaa

usitake muachane kwa ugomvi mshindwe hata kukumbushia ya enzi badae mwachie kwa moyo mweupe
iwe kama profit yake baada ya kuinvest for three years
khaaaaaa jikaze kiume songa mbele laptop tu isikufanye ukose utu wa kusahau mazuri yote aliyokutendea for three years
 
akinishikia bastola navua nguo
Hahahaaaa hapo mwili unakuwa hauna ashk kabisa na hivi anakuwa amekuzoea ndo anakutwanga risas ili isipate shida kutoboa sehemu zingne za mwili wkt kuna sehem zinaingia kirahisi bila kuleta usumbufu
 
lazima ulipe ila wewe ukiwa na mpenzi watakusaidia kugusa.... wewe ukiwa unasubiria ufike miaka yako ile ya kutoa lita 5
Utakuwaje na mpenzi bila kugusa? Mimi mpaka lita 5 ndipo ntakuwa na mpenzi ambaye hajawahi kuguswa. Naisubiri siku hiyo kwa hamu. Utakuwa mgeni mwalikwa na mwelekezaji ati?
 
Utakuwaje na mpenzi bila kugusa? Mimi mpaka lita 5 ndipo ntakuwa na mpenzi ambaye hajawahi kuguswa. Naisubiri siku hiyo kwa hamu. Utakuwa mgeni mwalikwa na mwelekezaji ati?

nadhani kwa wakti huo utakuwa mbakaji kwa sababu kukuta kiu akijagusawa watakuwa wadogo sana ... mmmh nisubirikwa kuwa nitakuwa mwalimu wa kufundisha wapi pa kugusa nisiwe na papara kabisa
 
Hahahaaaa hapo mwili unakuwa hauna ashk kabisa na hivi anakuwa amekuzoea ndo anakutwanga risas ili isipate shida kutoboa sehemu zingne za mwili wkt kuna sehem zinaingia kirahisi bila kuleta usumbufu
mmmh hapo ndo tabu nyingine ndo maana me nashauri kama si mumewo jitahidini kufanya kinguo nguo
 
Sasa atamnunulia lini na kikombe cha kahawa kimeshavunjika? Bora aiache tu ili waendelee kuwa mbali .. Kudaidai vitu ni ulimbukeni

Kung'ang'ania vitu visivyo vyako ndio ujanja.? Kwa nini utegemee vya kupewa.? Komaa tafuta chako.
 
Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?

Kama shidayako ni laptop tuu, fanya kama unarejesha mahusiano. Kama kugharamika endelea kama kawa, ukisha muweka kwenye 18 unaichukua kiulaiiiiini.
 
Kinguonguo? nan alikuambia habar hizo kondom zenyewe shida kutumia ndo iwe kinguonguo,......aaah! halaf ww hii si sred ya watu tunajifanya tumekaa kitako tunajadili yetu!

twende zetu mikahawani basi...
 
ds story reminds me of sm1 or maybe ni yeye in disguise,nisharudisha miaka mia nanee..laptop kitu gani..mbna the girl hajadai chochote,unataka kuniambia she never invested in the relationshio??3 Good years??..NAT FAIR AT ALL...JAMAA AMEANGALIA GHARAMA,NA SIO PENZI,to me naona ni ushamba,ts like ur using her,the PC is hers only if ur bedding her,WHATS THE POINT?...if it were me,wud have let it go,mana hadi nimempa i had extra,..anyway itakuwa sio mhusika naemjua,unless otherwise...
but MTOA MADA,LET HER GO,PC KITU GANII WEWE,MDAI BASI NA NGUO ULIZONUNUA,and cash ulompa,and th places u took her,
THT GIRL STAYED ALL TH 3 YRS CZ SHE LOVED YOU,and thats what matters...anyway,nice searching for the 'perfect woman' ukishamuacha huyo

Alikaa miaka mitatu akimpenda.? Angetoka nje ya mahisiano na mpenziwe.? Watoto wa kike acheni kujidhalilisha kama yeye anaona ni kitu kidogo na anastahili kuachiwa, kwa nini yeye kwa udogo wake huo hicho kitu asikiachie kiende kwa mwenyenacho.?

Halafu mnasema she used her for 3 years, anastahili na kwa kuwa wameachana anastahili laptop, inamaana mnataka sema katika dunia hii mapenzi ya kweli yana price tag.? Watoto wa kike acheni kuwa mnajidhalilisha kwa mambo kama haya.
 
nadhani kwa wakti huo utakuwa mbakaji kwa sababu kukuta kiu akijagusawa watakuwa wadogo sana ... mmmh nisubirikwa kuwa nitakuwa mwalimu wa kufundisha wapi pa kugusa nisiwe na papara kabisa
Sasa enende kuguswa mwenzi wako atakuwa ananichukia. Gnite tuache sie ambao vigusia na viguswa havijawahi kuonjwa. Kumbuka mzee wa bati ameanza safari ya kutililisha maziwa Tanzania (bofya)
 
ds story reminds me of sm1 or maybe ni yeye in disguise,nisharudisha miaka mia nanee..laptop kitu gani..mbna the girl hajadai chochote,unataka kuniambia she never invested in the relationshio??3 Good years??..NAT FAIR AT ALL...JAMAA AMEANGALIA GHARAMA,NA SIO PENZI,to me naona ni ushamba,ts like ur using her,the PC is hers only if ur bedding her,WHATS THE POINT?...if it were me,wud have let it go,mana hadi nimempa i had extra,..anyway itakuwa sio mhusika naemjua,unless otherwise...
but MTOA MADA,LET HER GO,PC KITU GANII WEWE,MDAI BASI NA NGUO ULIZONUNUA,and cash ulompa,and th places u took her,
THT GIRL STAYED ALL TH 3 YRS CZ SHE LOVED YOU,and thats what matters...anyway,nice searching for the 'perfect woman' ukishamuacha huyo

Alikaa miaka mitatu akimpenda.? Angetoka nje ya mahisiano na mpenziwe.? Watoto wa kike acheni kujidhalilisha kama yeye anaona ni kitu kidogo na anastahili kuachiwa, kwa nini yeye kwa udogo wake huo hicho kitu asikiachie kiende kwa mwenyenacho.?

Halafu mnasema she used her for 3 years, anastahili na kwa kuwa wameachana anastahili laptop, inamaana mnataka sema katika dunia hii mapenzi ya kweli yana price tag.? Watoto wa kike acheni kuwa mnajidhalilisha kwa mambo kama haya.
 
Kung'ang'ania vitu visivyo vyako ndio ujanja.? Kwa nini utegemee vya kupewa.? Komaa tafuta chako.

Sasa c uende ukadai mpaka ile pichu uliyomnunulia.. Afu hufaham kama kuna exchange ya goods for service wakati unambinuabinua kila unapotaka wewe ulijua papuchi mali yako.. Koma tenaa kupenda vya mteremko jua hakuna cha bure dunia hii... Mssxxxzyyuuuu!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom