Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

ds story reminds me of sm1 or maybe ni yeye in disguise,nisharudisha miaka mia nanee..laptop kitu gani..mbna the girl hajadai chochote,unataka kuniambia she never invested in the relationshio??3 Good years??..NAT FAIR AT ALL...JAMAA AMEANGALIA GHARAMA,NA SIO PENZI,to me naona ni ushamba,ts like ur using her,the PC is hers only if ur bedding her,WHATS THE POINT?...if it were me,wud have let it go,mana hadi nimempa i had extra,..anyway itakuwa sio mhusika naemjua,unless otherwise...
but MTOA MADA,LET HER GO,PC KITU GANII WEWE,MDAI BASI NA NGUO ULIZONUNUA,and cash ulompa,and th places u took her,
THT GIRL STAYED ALL TH 3 YRS CZ SHE LOVED YOU,and thats what matters...anyway,nice searching for the 'perfect woman' ukishamuacha huyo

kwani alimpa au alimuazima atumie?
 
Mmechezeana miaka mi 3 leo unadai laptop kisa ya laki 9, laki tisa nini? hebu na wewe rudisha dhahabu uliyokuwa unachimba kwenye mgodi wake ndani ya miaka mitatu, ni ushamba, ni umaskini au ni nini?

Si ushamba na wala si umasikini, bali inarudisha confidence na hadhi kwa mwanamume. Ningekuwa mimi ningemshauri jamaa aende kwenye vyombo vya usalama. kama ana shida kweli na laptop na anaihitaji plus vithibitisho vya umiliki wa laptop kama anavyo hiyo ni case rahisi sana. Atapata laptop yake bila matatizo.

Ila kama ana moyo wa kusamehe, haitokuwa mbaya pia akisamehe.
 
Sasa c uende ukadai mpaka ile pichu uliyomnunulia.. Afu hufaham kama kuna exchange ya goods for service wakati unambinuabinua kila unapotaka wewe ulijua papuchi mali yako.. Koma tenaa kupenda vya mteremko jua hakuna cha bure dunia hii... Mssxxxzyyuuuu!!!!

Hahahaaa....! Kubinuliwa si ndo raha yenyewe alokuwa akiipata.?
 
Si ushamba na wala si umasikini, bali inarudisha confidence na hadhi kwa mwanamume. Ningekuwa mimi ningemshauri jamaa aende kwenye vyombo vya usalama. kama ana shida kweli na laptop na anaihitaji plus vithibitisho vya umiliki wa laptop kama anavyo hiyo ni case rahisi sana. Atapata laptop yake bila matatizo.

Ila kama ana moyo wa kusamehe, haitokuwa mbaya pia akisamehe.

Aende akatoe na risiti za pichu,bili za outing na risiti za lodge aseme ilikuwa ni cost sharing arudishe nusu gharama walizotumia.... Yaani wanaume wa cku cjui wakoje wamejisahau kabisa waliumbwa watafute kwa jasho
 
watafute kwa jasho sio kudhulumiwa au kuibiwa na ex.....ukiazimwa rudisha either uko kwenye relation au umeachwa sio unataifisha kisa ulikuwa mpenzi
 
Hahahaaa....! Kubinuliwa si ndo raha yenyewe alokuwa akiipata.?

Yaani laptop ya laki tisa ndo inamtia uchizi amejisahau kabisa inawezekana huyo dada kamkuta bado anasaga ------ vimbwetani au anatembea na bahasha barabarani akaamua kumvumilia na kumpa papuchi yake buree na inawezekana alikuwa hana hata hela ya kiwembe dada wa watu akaendelea kujifanya wife material baada ya kupata kazi na kununua hivyo vilaptop visuvyokuwa na maana anaanza kumsimanga mwenzie...
Loh!!! Masikini akipata ma------ hulia mbwata..
 
uichukue au uiachae...ila kamwe USIMRUDIE.....itakuuma lakini mpteezee.......hii inauma sana
 
Yaani laptop ya laki tisa ndo inamtia uchizi amejisahau kabisa inawezekana huyo dada kamkuta bado anasaga ------ vimbwetani au anatembea na bahasha barabarani akaamua kumvumilia na kumpa papuchi yake buree na inawezekana alikuwa hana hata hela ya kiwembe dada wa watu akaendelea kujifanya wife material baada ya kupata kazi na kununua hivyo vilaptop visuvyokuwa na maana anaanza kumsimanga mwenzie...
Loh!!! Masikini akipata ma------ hulia mbwata..

Kama alivumilia toka mwanzo kwa nini ameshindwa kuvumilia mwishoni.?
 
Kwa tuliopitia law of contract una haki ya kudai kwa sababu hakuna consideration aliyokupa...kwahiyo una haki ya kushitak kama ukipenda..
 
kachukue tena liustaarabu tu bila ugomvi
bt usimrudie hafai huyo
msaliti hyo
 
Alikaa miaka mitatu akimpenda.? Angetoka nje ya mahisiano na mpenziwe.? Watoto wa kike acheni kujidhalilisha kama yeye anaona ni kitu kidogo na anastahili kuachiwa, kwa nini yeye kwa udogo wake huo hicho kitu asikiachie kiende kwa mwenyenacho.?

Halafu mnasema she used her for 3 years, anastahili na kwa kuwa wameachana anastahili laptop, inamaana mnataka sema katika dunia hii mapenzi ya kweli yana price tag.? Watoto wa kike acheni kuwa mnajidhalilisha kwa mambo kama haya.

mwanaume ndo kaweka price tag,PC kitu kidogo sana,ths kind of thng once happened to me,NILIRUDISHA PC YAKE mapema tuu,na sikumdai chochoteee...he js proved how stupid he was
 
kwani alimpa au alimuazima atumie?

hyo ALIMPA,AND KASEMA MWENYEWE ALIPANGA KUMNUNULIA YA KWAKE...
Em nambie leo hii the girl akirudisha uhusiano atamnyang'anya???so atamwacha akae nayo ,as long as ANAMLA?
Kaona he is loosing ndo mana,na mpaka a girl akaku'cheat,WE MWANAUME U GOT ISSUES,UMECHANGIA,TS NOT HER OWN FAULT,
 
Si ushamba na wala si umasikini, bali inarudisha confidence na hadhi kwa mwanamume. Ningekuwa mimi ningemshauri jamaa aende kwenye vyombo vya usalama. kama ana shida kweli na laptop na anaihitaji plus vithibitisho vya umiliki wa laptop kama anavyo hiyo ni case rahisi sana. Atapata laptop yake bila matatizo.

Ila kama ana moyo wa kusamehe, haitokuwa mbaya pia akisamehe.

confidence kivipi mkuu??AU TS PROVING UR SELFISHNESS NA AKILI NDOGO,..ulikuwa ushampa all along ulidhani kwamba mtaachana?...LOGICALLY KAMA KWELI AMEAMUA KUDAI ASIISHIE KWENYE PC TU,adai na vingine...
 
mwanawa e komaa nae tuu mpaka arudishe laptop hiyo...asilete zame hapa kwanza kashakutia aibu kwa kwenda kugegedwa na jamaa mwengine na laptop nayo abebe loh!!!
mkomalie atarudisha tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom