Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

hapo utata... inawezekana anavyong'ang'ania lapt0p yako anahic ndi0 njia pekee ya kukuweka KARIBU kama ameshakaa sawa malizen mrudiane tu.. UJUE miaka mi3 ming labda alikua haoni dalili yeyote ya mapenZ kwenda step ingine.. funguka bhana.
Nilimwonyesha upendo wangu wa dhati maana nilishamvisha hadi pete ya uchumba bro
 
Urudishiwe! tehetehe ulipokuwa unajikunja kama beberu ulifikiri ni bure hayo ndo malipo yake..........wazinzi na waasherati Mungu atawaleta hukumuni.
 
Kama wewe unayo nyingine,mwachie tu
Sina ila itabidi nimwachie tu maana siwezi kutumia nguvu ila mapenzi yanaturudisha nyuma sana lakini mwisho wa siku sijilaumu maana sikujua kama yangenifika
 
wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.naombeni ushauri nifanyeje?
laki tisa ni vijisent tu unatolea povu mpaka thread kwiwkwiwkwiwkwiwkwi hela za mawazo utazijua tu umesahau jinsi miaka 3 unamkunja mtoto wa watu kama samak kambale nyoooooooooooo
 
Hujambo we binti...heri ya mwaka mpya!!!

laki tisa ni vijisent tu unatolea povu mpaka thread kwiwkwiwkwiwkwiwkwi hela za mawazo utazijua tu umesahau jinsi miaka 3 unamkunja mtoto wa watu kama samak kambale nyoooooooooooo
 
mwachie afanye kumbukumbu ya mahusiano yenu
Wana jamii wenzangu mimi ni
mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3
mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na
nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8
ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini
mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya
laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti
aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema
anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria
kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni
ushauri nifanyeje?
 
sasa hata kama ni mimi sikupi.... kwa sababu naachana na wewe zaidi ya migegedo na starehe na outing nimebaki na kitu gani cha kwako amna sasa... mwachie bwana miaka mitatu ujamnunulia ya kwake mwachie tu bwana.... au kama kuna kitu kingine ulimpa sema ni haali yake kung'ang'ania kabisa nampa support nipe namba yake nimpe ujanja mwingine ...
 
Back
Top Bottom