Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Pete kitu gani Daudi1? Tena siku hizi wanazibiana rizki tu,mtu anavalishwa pete mpaka inafubaa hakuna dalili ya ndoa.
Bint angekuja akaeleza yake story inge balance,wanaume wengi wanadanganya mabint na pete then wanaanza kuwahubiria uvumilivu huku street wanaendelea kufungua wallet kama kawa!!!

sema wew...na mwaka huu mbivu na mbichi zitajulikana
 
Last edited by a moderator:
Pete kitu gani Daudi1? Tena siku hizi wanazibiana rizki tu,mtu anavalishwa pete mpaka inafubaa hakuna dalili ya ndoa.
Bint angekuja akaeleza yake story inge balance,wanaume wengi wanadanganya mabint na pete then wanaanza kuwahubiria uvumilivu huku street wanaendelea kufungua wallet kama kawa!!!
Kuwa muwazi tu unafikiri ni muda gani unafaa mtu kuanza upenzi,uchumba mpaka ndoa? jamaa kasea miaka mitatu kwangu ni reasonable kabisa kwa mapenzi ya sasa ya kujichagulia wenyewe
 
Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?

Hiyo LAPTOP wazazi wako walikupa ukatumie kwa elimu yako au ukahonge mwanafunzi mwenzako? Hiyo mwachie tuu kama ukumbusho na wala usiangaike, ingekuwa gari na kadi unayo wewe ungeweza kumwazima na kuondoka nalo moja kwa moja. Hiyo uliyomwahidi kumnunulia itumie wewe; kwanza inawezekana umemtoa bikira yako bado na Laptop urudishiwe, wewe unaweza kumrudishia bikira yake?
 
Kama ulijua unaihitaji ungehakikisha iko mikononi mwako ndio umuache!
Achana naye!!!!!!!!!!!

Huyu kaachwa yeye bwana,angekuwa yeye ndio muachaji angehakikisha imerudishwa kwanza ndio kibuti kifate.
Huyu kaachwa tena ghafla !!!!!
 
hahaha..dada angu jaman mwenzio ana machungu apo ya laki tisa...unatonesha kidonda ujue......

yani tena akome miaka 3 kamgegeda weeee leo anamdai laki tisa, how many time huyo girl karisk hata maisha yake kwa ajili yake ? what? aisirudishe
 
swaga za jamaa zilikuwa azilipi ndo maana sasa unataka akae na mtu asiyevutiwa nae hilo nalo tatizo......
Kinachomfanya aanze kuomba msamaha ni nini kweli swaga zinaweza kuwa hazilipi then mkakaa miaka mitatu kwenye relation? mbona huko zilikokuwa zinalipa hajaendelea wameachana baada ya miezi nane tuu?
 
Mhhh we mwanaume mbona kama nakujua wew.....mana hyo storiiiii....
 
Kinachomfanya aanze kuomba msamaha ni nini kweli swaga zinaweza kuwa hazilipi then mkakaa miaka mitatu kwenye relation? mbona huko zilikokuwa zinalipa hajaendelea wameachana baada ya miezi nane tuu?

ana uhakika gani kuwa wameachana unajua kila mtu anangalia sehemu anayoweza kuwa yeye ni kichwa huyu jamaa arudi aone kitakachotokea afanye mambo yake tu bwana... laptop kitu gani lakini si atanunua nyingine
 
Si amemwmbia wameachana wiki mbili zilizopita jamani sasa ww unaamini ya nani kama si ya mleta maada mwenyewe?
 
We nawe ulikosea ulipofanya uamuzi tayari wa kuachana nae ungefanya ujanja uipate kwanza ndo utangaze kuachana!
Dah!

Moment of silence please! For a dead relationship!🙁🙁🙁🙁🙁
 
We nawe ulikosea ulipofanya uamuzi tayari wa kuachana nae ungefanya ujanja uipate kwanza ndo utangaze kuachana!
Dah!

Moment of silence please! For a dead relationship!🙁🙁🙁🙁🙁

Tangopori i think its joy:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2: for knowing the truth
 
Kuwa muwazi tu unafikiri ni muda gani unafaa mtu kuanza upenzi,uchumba mpaka ndoa? jamaa kasea miaka mitatu kwangu ni reasonable kabisa kwa mapenzi ya sasa ya kujichagulia wenyewe

Labda bint alishaona uelekeo haupo
 
Mlanje,

Hiyo ni gharama ya mapenzi bwana mdogo!!! Usaliti ni kitu kibaya sana hasa kama aliyesalitiwa aliwekeza kwa 'hali na mali'. Una uchungu moyoni. Moyo usifanye maamuzi kwa sasa. Ishirikishe busara.
Jaribu ku-balance feelings & wisdom ili ufanye maamuzi sahihi. Mimi nakushauri mwachie hiyo laptop unless ina very sensitive information ambazo pia anaweza kukuwekea kwenye 'flash/disc' ukaendelea na maisha.

Everything in life happens for a reason... you will have learnt something from the 'episode'. You are more stronger now than you think!!

PP
 
Huyu kaachwa yeye bwana,angekuwa yeye ndio muachaji angehakikisha imerudishwa kwanza ndio kibuti kifate.
Huyu kaachwa tena ghafla !!!!!

huwa ulioandika sasa ndio ukweli, maana muachaji huwa hajutii since alijiandaa kuacha ila anaye achwa lazima ajutie kama jamaa maana huwa ni kitu hakupanga!
 
aaaah wewe huwezi muachia laptop kama iyo ya galama kwa mtu ambae hakujua usamani wa penzi lako fanya kitu kimoja, Nyenyekea kwanza mwambie nimekusamehe then mega hata mara moja kwa kumpa moyo mwambie kama akuazime laptop uitumie kwamba utamrudishia badae ukiichukua tu mwambie sasa by by!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom