Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

Kanunua laptop kampa demu walipoachana kampokonyaaaaaaaaa..singing

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ahadi ni deni !!! atimize ahadi miaka 3 ukiwa unasubiria laptop aiji hata kama ni me sirudishi hata polisi nikienda
Kilichomfanya ahangaike na wengne ambao hata laptop hawaezi kumnunulia ni nin? kumbe hata pete ya uchumba amevalishwa alikuwa anataka nini tena?
 
Kama hawezi kumnunulia kwa vile wameachana basi asimdai pia.
Daraja ndio limeshavunjika asitamani vilivyobaki ng'ambo!!!!!!!
Huyo mwanamke anataka kuwepo na point of contact hakuna lolote amegundua hana jipya,siwapendi wanawake wenye tamaa acha tu,pete umevalishwa unataka nini tena?
 
Alimuazima aitumie mpaka atakapomnunulia ya kwake,akimnunulia atarudishiwa yake!!"!!!!

kununuliwa tena hawezi kwa sababu kavunja vigezo na masharti......arudishe ALICHOAZIMA......kama angekuwa KAMNUNULIA hata mimi nisingemsapoti kudai.
 
Kilichomfanya ahangaike na wengne ambao hata laptop hawaezi kumnunulia ni nin? kumbe hata pete ya uchumba amevalishwa alikuwa anataka nini tena?

swaga za jamaa zilikuwa azilipi ndo maana sasa unataka akae na mtu asiyevutiwa nae hilo nalo tatizo......
 
Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?

kama kaing'ang'ania huna jinsi muachie ila USHAJIFUNZA....na umeona comments za wadada humu lazima uwe muangalifu
 
Huyo mwanamke anataka kuwepo na point of contact hakuna lolote amegundua hana jipya,siwapendi wanawake wenye tamaa acha tu,pete umevalishwa unataka nini tena?

Pete kitu gani Daudi1? Tena siku hizi wanazibiana rizki tu,mtu anavalishwa pete mpaka inafubaa hakuna dalili ya ndoa.
Bint angekuja akaeleza yake story inge balance,wanaume wengi wanadanganya mabint na pete then wanaanza kuwahubiria uvumilivu huku street wanaendelea kufungua wallet kama kawa!!!
 
Last edited by a moderator:
sasa hata kama ni mimi sikupi.... kwa sababu naachana na wewe zaidi ya migegedo na starehe na outing nimebaki na kitu gani cha kwako amna sasa... mwachie bwana miaka mitatu ujamnunulia ya kwake mwachie tu bwana.... au kama kuna kitu kingine ulimpa sema ni haali yake kung'ang'ania kabisa nampa support nipe namba yake nimpe ujanja mwingine ...

hahaha..dada angu jaman mwenzio ana machungu apo ya laki tisa...unatonesha kidonda ujue......
 
Wana jamii wenzangu mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na msichana kwa miaka 3 mwishoni mwa mwaka niligundua kuwa ana uhusiano na mtu mwingine na nilipombana kwa maswali alikubali na kusema wamekuwa pamoja kwa miezi 8 ila wameachana wiki mbili zilizopita nimeumia sana maaana nilimwamini mno, nimeamua kuachana nae ila nilimpa laptop yangu ya gharama sana ya laki 9 kwa makubaliano nitamnunulia ya kwake ila baaada ya usaliti aliofanya nimeona anipe mali yangu .Cha ajabu anang'ang'ania kwa kusema anaitumia na kwa sasa hawezi kunipa,kipekee sipendi fujo nafikiria kutumia nguvu ila naona ni utoto na naweza kusababisha matatizo.Naombeni ushauri nifanyeje?
huyo unatakiwa ujifanye umekubali kumrudia halfu unagonga gonga kama mara mbili ili akuamini umerudia halafu siku isiyo na jina unaichukua tu! kwa mfano mmemgegedea kwake halafu ukimaliza unamtuma dukani unapata upenyo tu onaondoka zako bila hata bugudha!
 
Jongoo hutupwa na mti wake! Kama hupendi misemo samahani.
 
kununuliwa tena hawezi kwa sababu kavunja vigezo na masharti......arudishe ALICHOAZIMA......kama angekuwa KAMNUNULIA hata mimi nisingemsapoti kudai.

Sio kirahisi hivyo!
Ahadi ni deni atiii
 
Back
Top Bottom