Ameni-dump kwa mara ya pili

Ameni-dump kwa mara ya pili

Love is a GAME..tena WIN_LOSE game
And you're a loser..
He is a champion.
The good thing is you girls are inferior creatures since the beginning of this fuckeeen world and your the one who let this world be like this mlipo *** na nyoka
 
Miaka miwili bila bila???? Khaaaaah hongera zako
 
Yaani hicho kinaniuma Zaidi, alipokuwa BF kwa zamani tulivaa mpira, juzi ilikuwa kavu!!!

Wala usiumie mwaya, pole ila kumbuka tunajifunza baada Ya kufanya kosa. Hayo yamepita fungua ukurasa mpya! Ila jacheki mimba!!
 
hata usijute! chukulia tu kuwa Mungu amekuhakikishia kuwa huyo si wako. Kata mawasiliano naye, mpotezee jumla coz anakufanya tairi la spea wala hajali moyo wako! Jihesabie kuwa single lady na ukubaliane na hilo, piga kazi kwa bidii na pia ktk maombi yako kwa Mungu usisahau kumwomba akukutanishe na mume bora! then relax tu...utashangaa ktk mishe mishe za kila siku utakutana na mtu sahihi! lakini ukipania...oh mahusiano..na nini..! utaangukia pabaya patakapokuvunja moyo mara mia zaidi! Ila jifunze hata kwa m'me mwngn isijirudie
 
Attachments

  • 1431199012208.jpg
    1431199012208.jpg
    8.6 KB · Views: 214
miaka miwili ni muda mrefu sana.kwa mwanaume mwezi mmoja tu ni shida.labda kama ana masturbated.nyie wanawake hamu yakufanya inaenda wapi?

wanawake na wanaume tumeumbwa tofauti sana! wanawake tuna uwezo wa kukaa bila sex kwa miaka na miaka kutokana na maumbile yetu! sio kwamba hatuna feelings....ila tuna uwezo wa kujizuia. na hisia zetu huja kwa vipindi....sio kama wanaume muda wowote akivutiwa na mtu tu kosa! Mwanamke huinjoy sex akifanya na ampendaye, while mwanaume huinjoy sex na yeyote! ndo maana mwanaume anaweza kufurahia ngono hata na changudoa ambaye hata sura yake hajaiona vizuri...yaan hamjui kabisa! Ila wapo baadhi ya wanawake ambao nao hawawezi kujizuia
 
Mbona mimi siwezi? Au nina matatizo?
 
Umemalizia vyema, hata wanaume wapo wenye uvumilivu ingawa hatuzaliwi zaliwi.
 
Mbona mimi siwezi? Au nina matatizo?

no, hauna tatizo. Mpo wanawake wa hivyo pia...ndo maana nikamalizia kwa kusema wapo baadhi ya wanawake ambao hawawezi kujizuia. Ila sio wengi kivile! wengine wanaendekeza njaa tu ila uwezo wa kujizuia wanao sana!
 
Mpaka anakuja huyu mwanaume sikuwa nimefanya mapenzi kwa miaka miwili, uone tu jinsi ninavyojiheshimu.

Pole sana dadangu, sisi wanaume tunatofautiana sana. Huyo jamaa alitaka kukutumia tu kwenye semina, alikuwa anajua anachofanya.
 
Kila mtu ana maumivu yake ktk mapenzi, kabla hajaingia kwenye ndoa, ila miye sheria zang km tulikuwa wapenz hatuzoeni tena labda itokee dharula tu
 
Kweli hawala hana talaka.....btw, huo muda ulikuwa bado single tu au na wewe ulichepuka...
 
Yaani hicho kinaniuma Zaidi, alipokuwa BF kwa zamani tulivaa mpira, juzi ilikuwa kavu!!!

Pole lakini kapime kujua afya. That's very important for your future life. God forbid that u don't find yourself infected.
 
no, hauna tatizo. Mpo wanawake wa hivyo pia...ndo maana nikamalizia kwa kusema wapo baadhi ya wanawake ambao hawawezi kujizuia. Ila sio wengi kivile! wengine wanaendekeza njaa tu ila uwezo wa kujizuia wanao sana!

Ooooh hapo nimekupata vyema
 
Back
Top Bottom